Kamanda, matamanio yako ya kumaliza nje ya top 4 ndo reality iliyopo mbele yetu, realistically tunagombea nafasi ya kucheza Europa next season (tunaweza pia kuikosa).tokea dec mwaka jana tulijua mido inahitaji overhaul, alafu saizi ndio wanajifanya wapo busy kubid 100, hii timu ina mashabiki na wamiliki wapumbavu sana,
saizi watajitetea tulibid 110 zikakataliwa, hatuna option nyingine, natamani tumalize nafasi nje ya top 4 tena msimu huu, na kule europa tutolewe sf
Kwa usajili waliofanya Chelsea watakuwa ndani ya top three with Man City, Arsenal na wao Chelsea. Fourth place ni either Man Utd au Newcastle (they are both better than us currently). Sisi tunapambana na Tottenham, Brighton, Villa na West Ham. Tukifanikiwa kusajili top CDM na CB labda tunaweza kupata nafasi ya nne na hapo ni kama tutasajili instant hit na sio potential players, zaidi ya hapo ni miujiza tu ndo tunangojea.
Ukiangalia vizuri hapo utagundua kuna timu 5 ambazo ni bora zaidi yetu, then kuna timu nne ambazo ndo saizi yetu. If we collapse and players lose motivation tunaweza kujikuta tupo number 8 mpaka 10. Kama wachezaji tulionao wakipush to their limit labda tutakuwa between 5 mpaka 7.
Zaidi ya hapo ni over achievement (top four)

