Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Ila leo na hasira aisee
Kama tumeshidwa 50 tutaweza 100 kwa caicedo? Na bayern kaingia pia
Hatumtaki hataShabiki wa Liverkuku baada ya kusikia Caicedo kaikataa Liverpool
View attachment 2714493
Kula chuma hicho 💪💪💪Shabiki wa Liverkuku baada ya kusikia Caicedo kaikataa Liverpool
View attachment 2714493
Liverpool ni timu kubwaKama hataki aende anapopataka
There is no a big player than a club
Vipaji vipo vingi sokoni
Hii team nalipia kadi ya uanachamaNini shida?
Sizitaki mbichi hizi, ulisomaga hiyo riwaya?Hatumtaki hata
Akwende
Linaenda kutumbukia darajani na kuua kipaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ni mmatumbi yule yani anapiga teke gari la makombe kwenda kuangaikia relegation battle...no UCL spotMtt msenge huyu
Kishamba yaani kitoto Kishamba sanaSijui ni mmatumbi yule yani anapiga teke gari la makombe kwenda kuangaikia relegation battle...no UCL spot
Damn
Mbona nipo jamvini sana..unajua uzi wa INSIDER na story yake?
Sasa,, Pep ajiandae.
Unamuoffer Caicedo game za kutosha halafu Thiago anakuwa anampokeza kijiti siku moja moja.


Mnajidanganya Sana, had klopp kathibitisha agreement za klabu unasema ni mchezoMi nahisi kama Liverpool wamecheza game hapa na Brighton
Unawezaje ku secure a deal without any personal terms and agreements this is football business not slavery
Na hapa Chelsea kajaa ataenda ku bid more than 110m hii scenario ni kama ile ya pep kutaka ku hijack deal la rice na kutokomea ...kwa kuwaachia msala arsenal waka up bid over priced player
Naona liver wakienda kufanya major signings since hela ya usajili bado ipo... Lavia encisio na beki 1-2
No player is bigger than the club