Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mchezeji mwenyew kigeugeu sana, mbona wachezaji wengine hua wanatoa angalizo mwanzo kua, siitaji team nyingine iingilie dili hili naitaji team fulani tu basi..
Kama ilivyotokea kwa Timber,Troussard, enzo na wengine wengi.. Kuliko team kukubaliana alf unakuja kuwatoa nishai watu kua huwataki inauma sana
 
mbona alishasema kitambo ad kuigomea Brighton alisema anaitaka Chelsea Ila kuku wakaja kuhijack deal
 
Mchezeji mwenyew kigeugeu sana, mbona wachezaji wengine hua wanatoa angalizo mwanzo kua, siitaji team nyingine iingilie dili hili naitaji team fulani tu basi..
Kama ilivyotokea kwa Timber,Troussard, enzo na wengine wengi.. Kuliko team kukubaliana alf unakuja kuwatoa nishai watu kua huwataki inauma sana
Hapana ,hapa namtetea Caicedo , Liverpool hawakukubalina nae Caicedo, Liverpool walijiamini watashinda,

Hata kudus kawakatalia Brighton

Magwaya Hadi Sasa hajaenda Westham ingawa manjesta na Westham walishamalizana bei
 
Mnajidanganya Sana, had klopp kathibitisha agreement za klabu unasema ni mchezo

Mambo yakawaida kwenye sajili hasa Hawa wamiliki wa Chelsea wanapenda hiyo michezo ,
Arsenal fans mnafurahia hii saga coz... Mnajua how ita impact strength ya Liverpool toward epl title

Hapo Liverpool kumkosa huyo dogo nikama wanapiga hatua 2 kwenda nyuma... Na wakisema eti alternative iwe huyo dogo lavia... Mhhh bora waende uko inter wakambebe yule dogo barella he is only 26yrs na anakiwasha ile mbaya
Then 2 cbs na 1-2 extra midfielder

Kuna mtu humu alisema kama vipi Liverpool ajilipue aende mazima kwa tchomeni... Real hawawez kataa bid ya 90-100m
Sababu ya mbappe saga kwao pia

Win-Win situations
 
Fabrizio nae mnoko tu
Screenshot_20230811-153112.png

Screenshot_20230811-153118.png

Screenshot_20230811-153134.png
 
Kabla hamjamkasirikia Caicedo ,jiulizeni Lin alimalizana Personal term na nyie

Magwaya kule bado yupo manjesta,hajamalizana personal term na westham ,ingawa manjesta na Westham walishamalizana Bei

Hivi vitu vya kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom