Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Hajakataa bwanaCaicedo kaikataa Liverpool, ngoma sasa ni bila kwa bila. Hukumu ya usajili wa Caicedo uko mikononi mwa Chelsea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajakataa bwanaCaicedo kaikataa Liverpool, ngoma sasa ni bila kwa bila. Hukumu ya usajili wa Caicedo uko mikononi mwa Chelsea
Sasa awatishie walete na CB hata wawiliHapa sio ya kingese tena
Ila hii movie Ni kumtuliza klopp inaonekana kiliwaka humo ndani
Pia inawezekana liva walimind mcheza wa Chelsea kwenda kwa lavia
Bro 110 hela nyingi sana hio hela ya kumchukua Bellingham au Federico Valverde
Hii move Ni ya hasira za klopp itakua aliwatishia nasepa



Huu ni usajiri wa kukulupukaWazee wa kubana matumizi ,mara ooh sisi hatutumii pesa nyingi ,pumbavu sana average player mnapigwa Kwa 112m![]()
Sio kukurupuka nowadays football is money ,no money no football..Huu ni usajiri wa kukulupuka
..Caicedo kashatua Liverpool𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Chelsea are not giving up on Caicedo despite Liverpool agreement
Chelsea want to try until the end despite Klopp confirmed the agreement and also Liverpool booked medical
…the craziest saga of the summer is still ON
Kumekucha huko


Wawili tu?Sasa awatishie walete na CB hata wawili
Alikuwa anaona sifa kubania matumiziSio kukurupuka nowadays football is money ,no money no football..
Mambo ya kucheza Kwa passion yalishapitwa na wakati ...
Ndio maana unaona watu kama kina Henderson ,mane wako saudia ...
Hata hapo epl kama mishahara na pesa nyingi zisipotumika kuwalipa wachezaji ,soon wanaenda zao saudia ...hizo passion mnazotaka hazina uwezo wa kununua unga supermarket...
Money si football no money no football..
Kama hutaki kuinvest acha ,lakin uwanjan utakutana na team zimeinvest pesa za kutosha na zitakufundisha what is football..
I think klopp na yeye kashagundua Sasa ,maana zamani alikuwa anavimba Kwa kusema hawezi spend 100m Kwa mchezaji ....
Lini mchezaji yupo London akisubiri kutambulishwa ChelseaCaicedo kashatua Liverpool![]()
Labda liverfool ya kibadaCaicedo kashatua Liverpool![]()
Caicedo kashatua Liverpool![]()
𝐄𝐗𝐂𝐋𝐔𝐒𝐈𝐕𝐄: Moisés Caicedo told Liverpool that he only wants to join Chelsea! 



