Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Pure NONSENSE this from Billy. And it's worse if fans listen huu Upumbavu.

Arsenal haven't been in the Uefa Champions League since 2017 before Qualifying last season, Lakini they have been able to spend £100s of Millions in last 3 years.

Pesa ipo kaka. Na sera zao wajue kwa sasa hata timu ndogo hawazitumii kwa sasa.

Soko limebadilika. Huyo Billy kaniboa kwa report yake hiyo
 
Sorry Nje ya Mada:
Hivi Yule Dogo - J.Gomez mkataba wake unaisha lini? Maana sioni kashkash ya kumpata RB
Kibanda kitaungua kuanzia hapa msimu huu kama ndo Trent atasogea ndani halafu Gomez akae RB

Gomez aliongezewa mkataba wa miaka mitano. Mkataba wake unaisha summer 2027.

Kwa mfumo wa mabeki watatu unahitaji strong CB’s hasa. 3-2-2-3 na mbele ya hao watatu upate Mid kisiki kupunguza spaces

Ngoja tu seal deal la Caicedo kwanza. Tumeshapeleka £110m na Brighton wameikubali leo medical inafanyika. Tukimaliza hii deal. Walau tuta solve kitu. Ila upana wa kikosi bado hautakuwepo atleast tupate one MF and CB then we will be read to challenge trophies
 
Aisee Mimi nalia na CB's Hali si shwari kabisa tunarudi Liverpool ya 2017 forward goli nyingi na nyavu zetu zinatikiswa
 
Kwa mapungufu yote hayo uliyotaja hebu nitajie kocha gani mwengine angeweza kukibebea hiki kikosi mpaka hapo alipofikia yeye tu! Tatizo hapa ni FSG wabahili! hata hao wachezaji wazuri tulionao tuwewanunua kwa kuvizia e.g. Salah, Mane etc. wote wamekuwa wakubwa kwenye mikono ya Klopp.

Bila ya klopp kamanda na sisi tungekuwa kama Chelsea kama sio Everton.

Mkuu ujue watu hawatofautishi kukosoa na kumkubali mtu.

Kumkubali mtu haimaanishi huwezi kumkosoa.
Nafikiri kabla ligi haijaisha mimi na MosDef tulisema Klopp kachangia downfall yetu na yeye ndiye atakaye turudisha kwenye ramani huko juu. Aachwe ila apewe mamlaka ya usajili na pesa.

Sasa umeona kama nimesema hafai, hapana. Anafaa sana ila ukweli juu ya mapungufu yake usemwe.
 
Sasa,, Pep ajiandae.
Unamuoffer Caicedo game za kutosha halafu Thiago anakuwa anampokeza kijiti siku moja moja.
 
Nyie wahuni kwanza hongereni Kwa kumpata Caicedo. Jamaa anatakiwa acheze timu kubwa kama Livakuku sio wale makenge waingiliaji madili. Safi sana Kwa kuwachezea mchezo wao.

Pili, hivi nyie wabahili/maskini wakubwa mmepata wapi hiyo Hela? Je, inamaana mtabidi mpunguze wachezaji, say, Diaz na Nunez labda?
 
hii timu ya kijinga sana, ndio watoe 110????
hii hela si bora wangepata mlinzi mmoja wa uhakika, na kiungo mmoja?
anyway, hii ni paniki bila shaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom