Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ukinuwejea Nunez na Fiston Mayeke namchagua Mayele, huo usajili niliupinga hata kabla haujatokea na klopp alionywa akaambiwa huyo mchezaji ni wakawaida amevuma msimu mmoja tuu thamani yake haizidi 40m, akakaza fuvu.

Usajili mwingi tuu Klop amefeli sema kuna watu wanamuona Mungu mtu hakosei
1. Keita ( alionywa kabisa kuwa ni injury prone, akamwaga mahela halafu aka sacrifice msimu mmoja kumsubiri.

2. Nunez, ( tusitarajie mabadiliko yoyote kwa huyu mchezaji)

3. Carvalho ( akatuaminsha ni mchezaji potential kisha akamweka bench)

4. Arthur ( hapa alivuta bangi kisha akafanya huo usajili)

5. Luis Diaz ( kuja kuwa mbadala wa Mane, bado sana, huyu mchezaji ni machachari ila sio hatari, namuona akiwika tuu pre season, ligi ikianza anakua injury kisha anaflop

6. Ibou Konate ( huyu beki bado, hana kasi ni mzito, klop kamsajili ila bado anampanga Matip, hii inaonesha konate bado sana

7. Thiago (huyu ni kiungo maestro sema injury, ila kwa bei aliyonunuliwa sio hasara sana
 
Namba 1. Keita alipokuwa kule RB Lpz hakuwa injury prone ni aina ya uchezaji na mfumo ndo ulimzingua au umesahau ya shaqiri anakimbia alaf anavimba (pumzi Hana).
Namba 2. Nunez Bado mdogo na kumjaji kwa msimu mmoja haijakaa sawa. Hata mane msimu wa kwanza alikuwa ana vurugu lakin hakuwa na shabaha nzur Golini baada ya msimu wa kwanza ndo akawa wa.
Namba 3. Klopp alishindwa kumwamini na ndio tabia yake ya kutoamini teenagers. ila ni great potential ya baadae.
Namba 4. Kwa hili klopp alivuta Moshi mkali sana.
Namba 5. Wachezaji wachache sana kuwaka kwenye mfumo mpya msimu wa kwanza tu lazima uchomwe sindano kidogo.
Namba 6. Konate Yuko vzur Kasi anayo ya kawaida sio awe na kasi sana kwani ni winga yule. Ana makosa madogo madogo yanarekebishika.
Namba 7.
 
Sidhani hata kama tukifanya signing ya DM au new CB itasaidia Defence yetu kutulia. Nadhani our defensive issue sio Personnel issue ni Coaching Issue.
This new formation exposes our defence even more.
Very true. This formation demands a lot from our players than what they can offer, tena kuanzia mbele mpaka nyuma.
 
Sidhani hata kama tukifanya signing ya DM au new CB itasaidia Defence yetu kutulia. Nadhani our defensive issue sio Personnel issue ni Coaching Issue.
This new formation exposes our defence even more.
Nawaza tu… how did we win Epl, wow, fa, ucl , darling na coach huyohuyo
 
Ukinuwejea Nunez na Fiston Mayeke namchagua Mayele, huo usajili niliupinga hata kabla haujatokea na klopp alionywa akaambiwa huyo mchezaji ni wakawaida amevuma msimu mmoja tuu thamani yake haizidi 40m, akakaza fuvu.

Usajili mwingi tuu Klop amefeli sema kuna watu wanamuona Mungu mtu hakosei
1. Keita ( alionywa kabisa kuwa ni injury prone, akamwaga mahela halafu aka sacrifice msimu mmoja kumsubiri.

2. Nunez, ( tusitarajie mabadiliko yoyote kwa huyu mchezaji)

3. Carvalho ( akatuaminsha ni mchezaji potential kisha akamweka bench)

4. Arthur ( hapa alivuta bangi kisha akafanya huo usajili)

5. Luis Diaz ( kuja kuwa mbadala wa Mane, bado sana, huyu mchezaji ni machachari ila sio hatari, namuona akiwika tuu pre season, ligi ikianza anakua injury kisha anaflop

6. Ibou Konate ( huyu beki bado, hana kasi ni mzito, klop kamsajili ila bado anampanga Matip, hii inaonesha konate bado sana

7. Thiago (huyu ni kiungo maestro sema injury, ila kwa bei aliyonunuliwa sio hasara sana
4. Arthur ( hapa alivuta bangi kisha akafanya huo usajili)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee baba natofautiana sana na wewe katika mtazamo wako

1. Keita - alikuwa ni box to box mzuri sana kule alipotoka, mfumo na high demand ndiyo iliyo muathiri (Liver inaongoza kwa injury crisis kwenye EPL probably kutokana na style that demands a lot from the players players)

2. Nunez - Labda amenunuliwa mapema kwakuwa bado sio finished article lakini tungechelewa asingekuwa kwenye uwezo wetu within 2 seasons. Hapo alipo sasa hivi yeye ni mmoja kati ya wachezaji wanaoongoza katika kupata nafasi za kufunga licha ya kwamba liver haikucheza vizuri msimu uliopita na yeye pia hakuchezeshwa katika his preffered role (He is a goal getter not LF also not a false 9)

3. Carvalho - He is a number 10 (attacking oriented), we did not play with a number 10 last season plus his small stature haikumsaidia kabisa kuadopt. Na pia huyu haikuwa usajili wa Klopp! alipewa tu kwasababu za kibiashara as he was one of the available promising young talents for the future.

4. Arthur - Hii ilikuwa ni panic move kwakuwa tulishindwa kusajili midfield tunaemtaka (Tchuameni) na FSG waliona wasubiri kumsajili Bellingham msimu huu kuliko kusajili tu mtu yoyote. That's why tulimchukua on loan. Ila bado tunarudi palepale, our training methods hazikumsaidia kabisa badala yake zikamuongezea injuries.

5. Luis Diaz - nakubaliana na wewe japo mtu si mbwa, ametuokoa mara kadhaa na huo umachchari wake. Kuna kitu anacho lakini yeye sio mane kama ambavyo Ronaldo sio Messi na Messi pia Ronaldo (if u understand what I mean)

6. Konate - Kamanda naomba nitajie CB mwenye kasi zaidi yake kwa statistics ndo utagundua umemuonea. Ana tatizo la concentration lakini bado experience ni ndogo, hopefull atakuwa on of the best if he stays fit.

7. Thiago - Hapa ni kama kumuomba Pirlo awe Seedorf! huyu jamaa akicheza katika timu ambayo ana uhakika nyuma yake kuna strong DM na strong CBs he is one of the best katika ku-influence tempo ya game as well as kupiga defence splitting passes, lakini saivi hatumpati katika huo ubora kwa sababu mfumo wetu kila mchezaji ana majukumu ya kuzuia kwanza halafu ndo afanye kazi yake, pia training methods zinamuongezea injuries.

Liverpool tuna attacking force nzuri only kama tutawapa uhuru wa ku-cocentrate na kazi yao. Tujenge defence yetu ili timu isitegemee wachezaji wa mbele kuzuia.
 
Elioti sio kiungo nimshambuliaji wa pembeni dogo anakipaji anajitahidi tu Kuna watu wanamuunga mkono Klopp dogo kupangwa kati na ufupi ule.

Klopp anawaogopa nyota wake ndomana nasema sio mwalimu.

Elliot mzuri hasa akicheza RW ila kwa kuwa Klopp hana roho ngumu ya ukocha analazimisha wachezaji wengine off positions ili wale wachezaji pendwa wacheze.
 
Asipo kuelewa hapo hayokuelewa hata kidogo.

Hoja kuu hapo kakuta tim kafanya nayo vyema alioandaa yeye inaporomoka tatizo lipo kwake asilimia kubwa

Wewe kocha mwenye vyeti vya UEFA na FIFA, kocha umeshinda makombe yote

Bado unataka kumongezea mkataba Milner ,??? Bobby??? Utawaambia nini wakuelewe kiu imeshakata umri umesonga??

Kocha kama Klopp ni wa kumchezesha Jones No. 6? Ana mjadibu Jones as 6 kwamba hana mpngo na DMF? Jones hana ability wala attribute ya kucheza either 6/8. Aliyemloga Klopp amuhurumie tu kams yupo hai. Sasa naona karudi kwa Mac Allister kumchezaji 6, wapi na wapi kulazimisha mambo.

Kutoka january timu ilionesha inahitaji CB’s, RB, DMF, LCM, RCM ila mpka sasa tumesajili LCM & RCM. Kocha professional mpka sasa hajasajili mahitaji yke ma4 mpka ma5.

Kocha huyu huyu aliahidi mpka july nani akienda preseason anataka signings zake ziwe zimekamilika. Na yeye ndiye mamlaka ya usajili, bado mtu atamtetea Klopp katika hili???

Mpaka sasa hamna utofauti wowote wa kikosi cha last season na hiki zaidi naona kimepungua.

Imagine anaumia Mac Allister na Konate.

Heheh Klopp bana. Nafikiri Liverpool ndio Klabu ipo under pressure mpaka sasa.
 
Kuna wachezaji wangapi Klopp aliwahitaji na akawakosa kama kweli anahiyo Final say si wangekuja, Hawakuja kwa sababu ilikuwa ni FSG Job......Klopp ni Mfanyakazi wa LFC hana kauli ya Mwisho kwenye Financial ya Club zaidi ya kutoa Maoni tu.

Mkuu hatukatai katika hili, lkn je ni sahihi kuendelea kuwang’ang’ania Kina Matip Gomez??? Au FSG ndio wamemshurutisha???

Je unajua FSG ndio walikataa Milner asiongezewe mkataba??? Umejiuliza kwa nini???
 
Timu bado inaendeshwa kwa sera ya kuuza na kununua ili ku-balance vitabu vyake na matumizi halisi, Na hii ina maana kwamba OWNERS hawa ivenst pesa kwenye klabu, Klabu inajiendesha yenyewe.

Timu ina lack ya our spending na wa kulaumiwa ni FSG.

Tulikaa miaka 30 bila PL title LFC hatunaga Ambition.

Mkuu nachopingana na wewe ni kujaribu kumtetea Klopp hausiki??? Yote hayo kuhusu FSG binafsi nimeyazungumza na ukweli ni kwamba sera hii haifanyi kazi tena kwa mpira wa sasa.

Turudi kwa Klopp, ni kweli hamna £35 M players wa kumpigia kazi?? Tumeona Brighton wanawachezaji wazuri why? Good scouting.

Toka Michael Edward ameondoka kwa upuuzi wa Klopp kulazimisha Milner, Henderson na Gomez kuongezwa mikataba mirefu hasa Gomez na Henderson. Under Edward tumeuza mtu kama Solanke kwa £25M unafikiri tungeshindwa ku cash £45M kwa Gomez, Ox, Keita, Milner, Origi?? Big no.

Bei tulizowanunua kina Salah Mane Wijnaldum Robertson, bei che. Uwepo wa Edward tulimaanisha biashara hasa. Since then mambo yanaenda enda tu kwa upuuzi wa Klopp.

Sera ya sell to buy under Edward ilifanya kazi kwa mafanikio na aliimudu na alitaka kuendeleza kwa kuwauza Henderson, Gomez, Milner, keita wakiwa wazima na bei tungepatq nzuri for replacement nzuri tu.

Sasa hivi inakuwa ngumu kwani huwezi uza wengi kwa sababu hatuna world class players demanded highly.

Sidhani kama Klopp angesema siwahitaji hawa na hawa FSG wamlazimishe hapana. Embu kumbuka ubishi wa Klopp kulazimisha TAA kucheza RB licha ya kuonesha kushindwa kupamudu, 4-3-3 licha kumfurumusha kutokana na Inequality kwenye kikosi chake.

FSG wametuangusha sana several transfer markets kwa USAIDIZI wa Klopp mwenyewe, kwa kukosa proper Team Management

YNWA
 
Haiwezekani tushindwe kuongeza pound 5 kumpata lavia. Chelsea wanakuja mazima wabambeba. Hawa wamarekani ni WAHUNi tu. Fabinho si kaondoka na 40 na hendo kama 20 hivi na wanategemea kupata hata 20 kwa Philips Sasa why washindwe kumpata lavia. Ni uzembe na ubahili WA hali ya juu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom