Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,255
Nmemind sana aisee
Mbona unakuwa kama mgeni na Liverpool matajiri wetu wapumbavuNmemind sana aisee
Yani tushindwe kwa Lavia tuweze kwaTcoumeni?Tukimpata Tchoumeni...ubingwa nje nje
Tchoumeni ana quality zaidi...issue sio hela...issue ni Ku betYani tushindwe kwa Lavia tuweze kwaTcoumeni?
Hata hivyo Lavia anaelekea kuzuli zaidi ya huyo
Mchezaji wa kawaida sanaLiverpool have submitted third bid for Roméo Lavia, as expected — it’s worth £45m add ons included#LFC
Southampton, not accepting again as they insist on £50m asking price.
Told negotiations now continue.
Yaan wanavyo mkomalia sasa ili aje kukaa sub. Na tusipo sajili back tumeishaMchezaji wa kawaida sana
DuuuhTuna beki za ajabu mnoo...ingawa siangalii mechi ila kwakikosi hicho tunaruhusu vipi GOLI?Kwa TIMU kama hiyo tunayocheza nayo
Aiscore apk, ipo playstoreMwenye link ya hii game please naomba niiangalie
Thanx mkuu
Dogo anajiamin mnoo...anakufuata TUBen Doak hv Klopp anampango gani nae? Huyu dogo ni talent anatakiwa amuamini wakuu.