Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hivi Trent ni wa kumpigia kelele Salah Nini Cha kufanya wakiwa uwanjani?!! au Allison[emoji23] Klopp kachemka hii ni Robbery ya wazi.

Captain sio kupiga kelele tu. Kuongoza sio kelele tu kuna namna anaweza kumueleza na akafaulu pia. Gerrard alifanya vivyo hivyo kwa wakubwa. Na inategemea na players pia. Pale LFC hamna wakora kama Obetain au Baloteli. Bado kuna Senior players pale.

Kwa mimi nasapoti hasa kwa TAA
 
Nyie mnaosema ubaguzi nawashangaa

Trent ni mzungu?

Kubalini tu Salah hana sifa za kuwa Captain..
Mtu ambaye kitu kidogo tu anakasirika,
Akifanyiwa sub ananuna,atawafundisha Nini wenzie humo uwanjani?

VVD na Dogo Trent ndo Macaptain,kama hamtaki katafuteni wenu[emoji1787]

Last para [emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060][emoji3060]
 
Sidhani hata kama tukifanya signing ya DM au new CB itasaidia Defence yetu kutulia. Nadhani our defensive issue sio Personnel issue ni Coaching Issue.
This new formation exposes our defence even more.

There you are both ways torture us
Personal and system issues.
 
Ben Doak hv Klopp anampango gani nae? Huyu dogo ni talent anatakiwa amuamini wakuu.

Natamani nimeone akipata dk walau 20 ikiwa tuna mechi tuliyoidominate.

What i like pep ukionesha uwezo age is nothing kwake utapata some minutes za kuonesha uwezo, unlike Klopp.

Mbaya zaidi natural no ya Doak ni RW anapocheza Salah, can he sub Salah for him? Lets see. Hiyo RW ndio natural no ya Elliot na alishine hapo akiwa Fulham. Tumemuona Klopp mara zote akilazimisha ELLIOT kucheza LCM. Anampenda Elliot anampenda Salah, he cant rotate them. Nina wasi wasi na Doak kama atapata game time.

Maana Klopp preseason yote atawatumia madogo ila season ikianza hawatumi
 
Hapo ndipo anapo feli sasa, ndio maana pep anamzidi vingi
 
Natamani nimeone akipata dk walau 20 ikiwa tuna mechi tuliyoidominate.

What i like pep ukionesha uwezo age is nothing kwake utapata some minutes za kuonesha uwezo, unlike Klopp.

Mbaya zaidi natural no ya Doak ni RW anapocheza Salah, can he sub Salah for him? Lets see. Hiyo RW ndio natural no ya Elliot na alishine hapo akiwa Fulham. Tumemuona Klopp mara zote akilazimisha ELLIOT kucheza LCM. Anampenda Elliot anampenda Salah, he cant rotate them. Nina wasi wasi na Doak kama atapata game time.

Maana Klopp preseason yote atawatumia madogo ila season ikianza hawatumi
Klopp sio mwalimu ni msimamizi wa mazoezi kama morinho tu kama bado mnaimani nae tuendelee kusubili japo dalili zipo wazi kabisa.

Kugeuzwageuzwa na Brighton nimemshusha vyeo nyie endeleeni kusifia.
Kocha hanahakika na kiwango Cha Lavia ila kwa Keita alie na sifa za majeruhi alimuamini.
Ole wetu Newcastle wamtamani au asenal
 
Jinsi Liverpool inavyoendeshwa ni kichekesho kwa kweli.

Yaani tulishindwa kutoa £50m kwa Urgate sasa tunalia lia kwa Lavia.

Tunachekesha kutoka msimu haujaisha tulijua 100%

Milner
Keita
Bobby
Ox wanaondoka. Je hapakuwa na plans walau kununua wachezaji wawili kuchukuq nafasi zao maana Especially kwa Ox, Keita na Milner replace yao ni mchezaji mmoja.

Then mmeuza Faby plus Henderson na hawajafanya chochote, then Klopp anakuja kukuambia anahitaji kufanya formation itakayotumika na wachezaji waliopo maana hali ipo tofauti, ni maajabu haya.

Nilitegemea baada ya wale free offload cha kwanza tunge deal kupata CB, RB, DM & CM kuimarisha defensive issues.

Vvd ametuma ujumbe japo hajafunguka ila alichoongea unajua uhalisia.

Ni upuuzi kwa Kocha kama Klopp kumtegemea JONES & ELLIOT
 
Shida sio kloop shida wamiliki. Na Aina Yao ya matumizi. Kwamba ukiuza ndio ununue.... Ndio maana wanalialia kwa soton washushiwe bei. Hawa wamarekani ni profit oriented kwa US based sports sio kwa football.... Huku wananyonya tu na kulisha huko kwao
 
Nilidhani sisi The Blues tumepata matajiri lialia kama Liverpool. Huyu wetu shida anatapanya pesa tu bila plan utafikiri anaziokota.
 
Jinsi Liverpool inavyoendeshwa ni kichekesho kwa kweli.

Yaani tulishindwa kutoa £50m kwa Urgate sasa tunalia lia kwa Lavia.

Tunachekesha kutoka msimu haujaisha tulijua 100%

Milner
Keita
Bobby
Ox wanaondoka. Je hapakuwa na plans walau kununua wachezaji wawili kuchukuq nafasi zao maana Especially kwa Ox, Keita na Milner replace yao ni mchezaji mmoja.

Then mmeuza Faby plus Henderson na hawajafanya chochote, then Klopp anakuja kukuambia anahitaji kufanya formation itakayotumika na wachezaji waliopo maana hali ipo tofauti, ni maajabu haya.

Nilitegemea baada ya wale free offload cha kwanza tunge deal kupata CB, RB, DM & CM kuimarisha defensive issues.

Vvd ametuma ujumbe japo hajafunguka ila alichoongea unajua uhalisia.

Ni upuuzi kwa Kocha kama Klopp kumtegemea JONES & ELLIOT
Upuuzi wa Klopp ni upi ??? Linapokuja suala la Financial ya Club Klopp anahusikaje, Klopp ni Employees hana Kauli ya mwisho kwenye Club.
Paying Wages ni kazi ya Owners FSG , Paying Transfer Fee ni kazi ya Owners FSG........Klopp alihitaji Backed na hii inatokea timu ikiwa na Good Owners ambao wanaelewa Football.
 
Shida sio kloop shida wamiliki. Na Aina Yao ya matumizi. Kwamba ukiuza ndio ununue.... Ndio maana wanalialia kwa soton washushiwe bei. Hawa wamarekani ni profit oriented kwa US based sports sio kwa football.... Huku wananyonya tu na kulisha huko kwao

Klopp anachangia pia trust it. Kuwakumbatia the likes of Adrian, Keita, Milner, Ox, Matip, Gomez and Thiago injury prone na low quality ni ushahidi tosha naye ana sehemu yake.

Klopp alitaka Milner na Bobby waongezewe mkataba (jiulize tu ni kocha yupo top quality angeendelea kuwa na Milner?)

Sipingani na ulichosema kwa FSG, nakubaliana nawe. Ila nimejikuta kuonesha Klopp ana % yke kubwa tu. Calvin Ramsey aliyeletwa kumchallange TAA leo yupo kwa mkopo Preston N .E hii ni idea ya Klopp. Transfer ya Carvalho ni Klopp alimtaka, after a season bila game time kaondoshwa kwa mkopo idea ya Klopp.

Kuna mahali Klopp kayumba sana. Ni yeye kalazimisha TAA kucheza RB huku kadiri siku ziendavyo anakosa Defensive ability and capability (imemcost mara nyingi).

Ile 4-3-3 media nyingi ziliandiks hata humu ndani, kwamba inatuacha wazi mno hatuna energy kwenye MF ya kutumia huo mfumo. Klopp akakaza kichwa weeeee mpaka March ndipo akakubali yaishe aka switch kwenye 3-2-2-3 na ilitufaa sana. Hapo ni baada ya kupokea vipigo vya kutosha.

Kocha mzuri ni yule anayetumia wachezaji waliopo kuleta mafanikio.

Klopp alipokuja alitumia wachezaji waliopo kina Sacko, lovren, Mignolet, Clyne kutinga fainali mbili FA & UEL japo alipoteza.

Nini kimebadilika kwa Klopp, kutopokea ushauri kutoka kwa Sporting director (Edward) hapa ndipo mambo yalivurugika.
FSG kumkingia kifua, kumemfanya ajse kiburi.

Anyway ngoja tuone itakavyokuwa

YNWA
 
pension huu ndio upuuzi wa Klopp.

Davies & Kabak was his idea waletwe.
Arthur Melo was his idea aletwe.

Yeye ndiye aliye suggest Gomez snd Henderson kupewa deal ya 5 years contract extension. Na hapa ndiopo Michael Edward aliamua kujiuzulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom