Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

pension huu ndio upuuzi wa Klopp.

Davies & Kabak was his idea waletwe.
Arthur Melo was his idea aletwe.

Yeye ndiye aliye suggest Gomez snd Henderson kupewa deal ya 5 years contract extension. Na hapa ndiopo Michael Edward aliamua kujiuzulu
Suggestion without Budget is a bit useless Mkuu.
 
Suggestion without Budget is a bit useless Mkuu.

Sawa tuseme upande wa transfer hana say.

Kuwang’ang’ania the likes of Ox, Keita,Milner nalo?? What about forcing 4-3-3 huku ukiadhibiwa mara kwa mara na sababu zipo na unazijua??
Vipi kuhusu off positions??

Klopp hakwepi katika hili. I am a big fan of him ila penye uhalisis tunauweka.
 
Hii ni kwa wote mnaosema kuwa klop hana say kwenye usajili
Screenshot_20230809-155330.jpg
 
Jinsi Liverpool inavyoendeshwa ni kichekesho kwa kweli.

Yaani tulishindwa kutoa £50m kwa Urgate sasa tunalia lia kwa Lavia.

Tunachekesha kutoka msimu haujaisha tulijua 100%

Milner
Keita
Bobby
Ox wanaondoka. Je hapakuwa na plans walau kununua wachezaji wawili kuchukuq nafasi zao maana Especially kwa Ox, Keita na Milner replace yao ni mchezaji mmoja.

Then mmeuza Faby plus Henderson na hawajafanya chochote, then Klopp anakuja kukuambia anahitaji kufanya formation itakayotumika na wachezaji waliopo maana hali ipo tofauti, ni maajabu haya.

Nilitegemea baada ya wale free offload cha kwanza tunge deal kupata CB, RB, DM & CM kuimarisha defensive issues.

Vvd ametuma ujumbe japo hajafunguka ila alichoongea unajua uhalisia.

Ni upuuzi kwa Kocha kama Klopp kumtegemea JONES & ELLIOT
Elioti sio kiungo nimshambuliaji wa pembeni dogo anakipaji anajitahidi tu Kuna watu wanamuunga mkono Klopp dogo kupangwa kati na ufupi ule.

Klopp anawaogopa nyota wake ndomana nasema sio mwalimu.
 
Upuuzi wa Klopp ni upi ??? Linapokuja suala la Financial ya Club Klopp anahusikaje, Klopp ni Employees hana Kauli ya mwisho kwenye Club.
Paying Wages ni kazi ya Owners FSG , Paying Transfer Fee ni kazi ya Owners FSG........Klopp alihitaji Backed na hii inatokea timu ikiwa na Good Owners ambao wanaelewa Football.
Upuuzi wake ni kukubali kuongoza timu anayojua wazi itashindwa.

Upuuzi mwingine anapigwa nje ndani na timu kama Brighton yenye wachezaji walio feli kwenye timu yake
 
Klopp anachangia pia trust it. Kuwakumbatia the likes of Adrian, Keita, Milner, Ox, Matip, Gomez and Thiago injury prone na low quality ni ushahidi tosha naye ana sehemu yake.

Klopp alitaka Milner na Bobby waongezewe mkataba (jiulize tu ni kocha yupo top quality angeendelea kuwa na Milner?)

Sipingani na ulichosema kwa FSG, nakubaliana nawe. Ila nimejikuta kuonesha Klopp ana % yke kubwa tu. Calvin Ramsey aliyeletwa kumchallange TAA leo yupo kwa mkopo Preston N .E hii ni idea ya Klopp. Transfer ya Carvalho ni Klopp alimtaka, after a season bila game time kaondoshwa kwa mkopo idea ya Klopp.

Kuna mahali Klopp kayumba sana. Ni yeye kalazimisha TAA kucheza RB huku kadiri siku ziendavyo anakosa Defensive ability and capability (imemcost mara nyingi).

Ile 4-3-3 media nyingi ziliandiks hata humu ndani, kwamba inatuacha wazi mno hatuna energy kwenye MF ya kutumia huo mfumo. Klopp akakaza kichwa weeeee mpaka March ndipo akakubali yaishe aka switch kwenye 3-2-2-3 na ilitufaa sana. Hapo ni baada ya kupokea vipigo vya kutosha.

Kocha mzuri ni yule anayetumia wachezaji waliopo kuleta mafanikio.

Klopp alipokuja alitumia wachezaji waliopo kina Sacko, lovren, Mignolet, Clyne kutinga fainali mbili FA & UEL japo alipoteza.

Nini kimebadilika kwa Klopp, kutopokea ushauri kutoka kwa Sporting director (Edward) hapa ndipo mambo yalivurugika.
FSG kumkingia kifua, kumemfanya ajse kiburi.

Anyway ngoja tuone itakavyokuwa

YNWA
Asipo kuelewa hapo hayokuelewa hata kidogo.

Hoja kuu hapo kakuta tim kafanya nayo vyema alioandaa yeye inaporomoka tatizo lipo kwake asilimia kubwa
 
Timu bado inaendeshwa kwa sera ya kuuza na kununua ili ku-balance vitabu vyake na matumizi halisi, Na hii ina maana kwamba OWNERS hawa ivenst pesa kwenye klabu, Klabu inajiendesha yenyewe.

Timu ina lack ya our spending na wa kulaumiwa ni FSG.

Tulikaa miaka 30 bila PL title LFC hatunaga Ambition.
 
Huyu Nunez naona usuarez ndani yake.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 2291503


Huyu ametumwo na ukoo, kijiji, wilaya, mkoa na nchi aje kusaka maisha Ulaya na hataniiiii🔥🔥🔥🔥....

New el nino in town...

YNWA
😂😂😂😂
View attachment 2291504

Soooooon to be Kops favourite boy....

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Huyu dogo ndio atakua mchezaji wa kwanza Liverpool kulipwa £500k kwa wiki ama ndio atakua mchezaji wa kwanza kutoka EPL kuuzwa Real Madrid kwa £180m...

Go boy hit em hard...

YNWA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
2017 - 2022 Liverpool is Over,Back to fighting for 4th spot Now. Future is not looking good at All.
 
Nunez ni project iliyo feli, Gakpo is better than Nunez.
Kwa umri wake Bado, Nunez tatizo lake ni Mapepe kwenye goli baaasi. ni suala la msimu huu tumwone development yake maana ana mikimbio hatari sana wakati tukishambulia (Complete Forward) kama umemcheki gemu alizocheza.
-Ball control
-Speed
-Dribbling
-Flair
-Clinical Finish
 
Kwa umri wake Bado, Nunez tatizo lake ni Mapepe kwenye goli baaasi. ni suala la msimu huu tumwone development yake maana ana mikimbio hatari sana wakati tukishambulia (Complete Forward) kama umemcheki gemu alizocheza.
-Ball control
-Speed
-Dribbling
-Flair
-Clinical Finish
Huyo mchezaji ana
1. First touch ya lukaku
2. Mikimbio ya Magwaya
3. Mapepe ya Raheem Sterling
4. Kukosa magoli kama Kai
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom