Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220715_153327_com.android.chrome_edit_191256112418211.jpg

lembu niaje huyu mbona mnamkataa😝😝😝😝...

Chelsea inakua kama PSG mnakomaa na wazee🙈🙈🙈🙈

YNWA
 
Screenshot_20220715_154021_com.android.chrome_edit_191212939966135.jpg

Soooooon to be Kops favourite boy....

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Huyu dogo ndio atakua mchezaji wa kwanza Liverpool kulipwa £500k kwa wiki ama ndio atakua mchezaji wa kwanza kutoka EPL kuuzwa Real Madrid kwa £180m...

Go boy hit em hard...

YNWA
 
Screenshot_20220715_153652.jpg

🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Hatupoi....

YNWA
 
Lukaku mweupe
Aisee wakati Lukaku anatua kwa bwebwe tulikua hatupumui humu pamoja kwa kwamba mlitonywa huyu Lukaku hawezi mikiki ya EPL bado mlikomaa anawapa Epl 2022 lakini wapi huyo Inter tena baada ya kuwatia hasara ya kutosha....yaaaaani hata CR7 kamzidi kibegi Lukaku.

Hatuna noma na D Nunez hayu anakuja kufumania nyavu mtajua hamjui.

YNWA
 
Sio tuchel,kocha wenu alikuja kwa mbwembwe leo hii kiko wapi?

Klopp kashindikana hapo Epl sasa hivi mnamuombea mabaya tu,hamtafanikiwa ,

Tayari Klopp anauzoefu hapo Epl. Mtaendelea kutubu tu.
Tuchel amekaa msimu mmoja tu keshabeba makombe makubwa uyu Klopp alikaa miaka minne akistruggle kujenga timu, japo amefanikiwa Ila mwisho wake unakuja soon
Kaa kwa kutulia ..mutamkataa Klopp huu msimu mpya
#CFC💙💙💙
 
Kwa hiyo mshajihakikishia kabisa kuwa hao kina vvd na mzee wenu matip wanauwezo wa kumzuia mtu mrefu dunian terminator sybog halaand na Alvarez wasifunge goli? Mko na uhakika ?
 
Aisee wakati Lukaku anatua kwa bwebwe tulikua hatupumui humu pamoja kwa kwamba mlitonywa huyu Lukaku hawezi mikiki ya EPL bado mlikomaa anawapa Epl 2022 lakini wapi huyo Inter tena baada ya kuwatia hasara ya kutosha....yaaaaani hata CR7 kamzidi kibegi Lukaku.

Hatuna noma na D Nunez hayu anakuja kufumania nyavu mtajua hamjui.

YNWA
Mkuu Mimi siongei Sana nadhani umejionea mwenyewe clip zinazosambaa mitandaoni sahv khs game yenu na mliocheza nao leo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom