Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Nyie takataka liverp*mbu msimu unao kuja ronaldo atapiga goli nyingi peke ake kuliko izo takataka nunez sijui na sarah.

sisi sio wajinga kuacha iyo mtu maana tulikuwa tunaweza kuipa hata 350k kwa wiki tumeona haitufai kwenye mfumo wetu iyo mmeuziwa ng'ombe wa mayele.
 
...
IMG_20220613_083103_985.jpg
 
Mpira takwimu, Salah ndio amemaliza na assists kuliko wote epl, Sasa huo uchoyo anautoa wap?
Hii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba

Otherwise time will tell!!
 
View attachment 2258722

Karibu Anfield Darwin Nunez hakika umechagua mahala sahihi kabisa kukuza kipaji chako zaidi. Hapa utakumbatiwa na mahaba mazito sana na kweli unajituma kazini na wimbo watakutungia...

Hili dili imekaa utamu sana miaka 6 huyu sasa anakuka kuteka hii ligi. Ni play maker kuwaleta wengine mchezoni, anafumania nyavu kwa miguu yote miwili na vichwa yumoo.

Julian Ward mpaka sasa ameridhi mikoba ya Edwards kibishi sana yaaani hatupoi...

Tukumbashane tu Michael Edwards alijiunga na Liverpool mwaka 2011 alihudumua idara tofauti kabla ya kufikia hili la Sporting Director ina maana mpaka FSG wameamua kuajiri kwa kumpadisha Julian kutoka kua msaidizi wa Edwards na sasa kua SD ni jambo la kujivunia.
Huyu Julian Ward ni mbombezi wa soko la Spain na Ureno hivyo tupo kwenye mikono salama. Jamaa ana network nzuri sana tutulie tu afanye yake.

YNWA
Ward afanye utaratibu aniletee GAVI NA BRUMER ....AU AMLETE BISSOUMA AU YULE MASTER WA INTER NICOLA BARELA SIJUI NICOULA ILA KITU KAMA HICHO
 
Hii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba

Otherwise time will tell!!
Ramli chonganishi kwa liverpool huwa zinafeli
 
Hii partnership ya Nunez na Salah haitashine kwa sababu Salah ni selfish na Nunez anapenda kufunga.
Unselfish Mane ndo aliekuwa anaweza kucheza na Salah
Hapo ndo tutajua Mane alimsaidia vp Salah kutamba

Otherwise time will tell!!
unselfish mane mwenye asisst ndogo kuliko salah. salah mnamwita selfish ndo amenyakua tuzo ya assist nyingi EPL
 
Nyie takataka liverp*mbu msimu unao kuja ronaldo atapiga goli nyingi peke ake kuliko izo takataka nunez sijui na sarah.

sisi sio wajinga kuacha iyo mtu maana tulikuwa tunaweza kuipa hata 350k kwa wiki tumeona haitufai kwenye mfumo wetu iyo mmeuziwa ng'ombe wa mayele.
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Maneno ya mkosoji hayo ujue kwani mkisema laivu amewakataa nani atashangaa jamani maana mpo vimbaya sana kwa sasa...

Roho safi tumekumbali Tchouameni kuwachagua Real Madrid na kutuacha sisi yaaani hatuna noma wala maneno mengi.

Kwa sasa Liverpool ina mvuto sana kwa wachezaji wengi...

YNWA
 
Ward afanye utaratibu aniletee GAVI NA BRUMER ....AU AMLETE BISSOUMA AU YULE MASTER WA INTER NICOLA BARELA SIJUI NICOULA ILA KITU KAMA HICHO
Mkuu pale mbele nilikuq natamani sana kuona dogo Zaniolo wa Roma akija kumridhi Salah 2023 yaaani dogo ana mguu wa kushoto mtamu balaa na bado kinda sana.

MFs ndio jukumu jipya kwa Julian Ward.. Aidha tupate mmoja kati ya Pellegrini wa Roma, Barela wa Inter, Bissuoma wa Sea Gulls tutakua sorted mpaka 2028 😂😂🔥🔥🔥🔥🔥

Tuwe na subira.

Bremer anakwenda Inter nadhani development ya Konate ipo up to the expected levels aisee.

YNWA
 
Halaand £60million

Darwin £100million ...

Bado Kuna mtu anasema Liverpool hawatumii pesa kwenye usajili
 
Halaand £60million

Darwin £100million ...

Bado Kuna mtu anasema Liverpool hawatumii pesa kwenye usajili

Deal ya Halaand inafika £80+m ukiweka pia za wakala, signing bonus nk lakini pia mshahara kwa hio miaka mitano itakua zaidi ya Darwin.
Halaand 350k

Pain killer usiposhinda UCL sasa na huyu mfumania nyavu basi tena usahau... Lakini Manchester City mnakoelekea sio pazuri sana kwa kuwatoa Gabriel Jesus na Bernardo Silva yaaani ziishie tu kua tetesi especially kwa Silva maana ni workhouse huyu dogo.

Darwin 200+k

Haya ngoja tuone namba za magoli zitadhibitisha ubora wao.

Halaand Jana tu team ya taifa katupia 2 goal + assist ...

Ni goal machine ...

Bernado yupo Sana city ,hata Jesus sion akiondoka city maana hata arsenal hawaeleweki .. !
 
Darwin deal in numbers...

Jurgen Klopp's Reds would meet Benfica's demands of £64 million to be paid up-front. The deal will rise to £85 million if add-ons are unlocked.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom