Grau
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 4,791
- 4,680
alikuwa ameanza kuflopFabinho
Machozi yananitoka
And elite player of football
watuache na Matip ahahahMatip ni kama mwalimu wa Mathe tunamuelewa vipanga tu
ila ukiniwekea Matip na Konate naenda na MatipSema hayupo sharp kama vijana,
Kifo cha Hendo kimeniuma sana, dah, hadi nimelia.Hatutamuona tena Shujaa Hendo akiwa kwenye kikosi chetu


Kifo cha Hendo kimeniuma sana, dah, hadi nimelia.






Wote hao hakuna kitu, umeona kikosi cha pili kwenye mechi dhidi ya Leicester....kuna madogo wanahitaji kuja kuwa kumbusha hawa mabeki wajibu wao ..ila ukiniwekea Matip na Konate naenda na Matip
Kunawatu ni wanafki naww ukiwemo
Mwamba Hendo
Ameibeba timu kwa miaka zaidi ya kumi
Shujaa Milner ,kaka wa timu,msemaji wa dressing room
Jamani vyuma vimeondoka![]()







Kichaa weweSijaona timu ya kutuzia msimu huu
Epl tunabeba
FA tunabeba
Carabao tunabeba
YNWA FOREVER![]()



Mimi Mkuu?Kunawatu ni wanafki naww ukiwemo![]()
Msiogope chukueni ichi kiungo hamtojutia aise hii ni kiungo ya ballFabinho wetu,
Nani atapiga Penalty?
Salah anakosa kila siku
Kiukweli watu wote walioondoka nimefurahi sana,ila Fabinho roho imeniuma mno![]()

Sijaona timu ya kutuzia msimu huu
Epl tunabeba
FA tunabeba
Carabao tunabeba
YNWA FOREVER![]()





Hatuwezi kumaliza matatizo yote ya timu kwa Dirisha moja la usajili hatuna Owners wa namna hiyo.
Tukimpata LAVIA na CB 1 ,Itakuwa ni it's an Excellent ,Exciting Rebuild kwa Summer ambayo wengi Hatukuhitarajia.
Mambo mrembo wanguMimi Mkuu?