Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Wote hao hakuna kitu, umeona kikosi cha pili kwenye mechi dhidi ya Leicester....kuna madogo wanahitaji kuja kuwa kumbusha hawa mabeki wajibu wao ..
Klopp huo uthubutu wa kuwaamini vijana wadogo hana

Kwenye hizi mechi za pre season utaona akiwatumia sana
ngoja ligi zianze sasa imani inakuwa ndogo sana kwao sijui kwa nini
 
Sure Lavia and 1 CB ready for the season.

Jarell Quansah is expected to join the Liverpool first team for the 2023/24 season.

Huenda Klopp aka opt kusajili senior CB akasajili two MF’s kwa taarifa ya Quansah amepandishwa senior team then akaenda na waliopo

Gomez, Vvd, Matip, Konate, Robbo, Tsimikas.

Kwa mimi nitamuelewa kama atasajili DM (probably Lavia) na another physical CM mwenye uwezo wa kucheza DM too.
mkuu si tunaenda kujilinda sasa! Ahahah

Btw nimekuelewa Mido wawili itakuwa fresh sana mabeki wa kati tunao wengi hata kama sio bora kihivyo
ulinzi wetu utakuwa ni kati kati mwa uwanja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom