MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,208
- 2,591
C mlikuwa mnasema ni mizigo hawana mchango wowote Sasa kwa nn tuhofie wakati mizigo iliyoondoka hata Haina pengo kwenye timuOutgoing ni 7 Hadi sasa
Wakati incoming ni wawili tu..
C mlikuwa mnasema ni mizigo hawana mchango wowote Sasa kwa nn tuhofie wakati mizigo iliyoondoka hata Haina pengo kwenye timuOutgoing ni 7 Hadi sasa
Wakati incoming ni wawili tu..
Na Milner kidogo maana alikuwa kiraka anakanyaga Hadi upande wa TrentMe pia nawashangaa hao wanaohofia number ya wacheza walio ondoka.
OX- mkuu wa clinic
KEITA- katibu mkuu wa clinic
MILNER- umri ulishamuaga , akili inataka, mwili hautaki
Mchezaji wa kuwaza replacement yake kwa wote hao ni FAB3 tu.













Nenda yalla shotNaomba mwenye link anisaidie
Kamati ya roho mbaya iundwe huyu mtu akamatwe aliwe aisee.Matip tunakuamini baba
Matip ni kama mwalimu wa Mathe tunamuelewa vipanga tu
Sema hayupo sharp kama vijana,Matip ni kama mwalimu wa Mathe tunamuelewa vipanga tu
Tabia gani izi watoto wa kiume mmeanzaOooh mac alister I love you![]()


Stupid....Tabia gani izi watoto wa kiume mmeanza![]()