Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,698
MATIP-piga kazi baba
Kile kijamaa Arteta kina kera Sana...
Hawa Southampton tushawakamata ..na chenyewe kinakuja kuleta pua yake Kwa Lavia
Bado kama Thiago anaondoka tunahitaji tena cover kama 2 hivi bado mabeki kama watatu...safari ndefu kidogoTumeshatuma 42m plus ads on. Naona hili linaweza kukubaliwa
Huenda tukaamka na taarifa njema
Yes,tuna kikos cha ndan ila benchi nikilio kile kile cha siku zoteBado kama Thiago anaondoka tunahitaji tena cover kama 2 hivi bado mabeki kama watatu...safari ndefu kidogo
Hatuwezi kumaliza matatizo yote ya timu kwa Dirisha moja la usajili hatuna Owners wa namna hiyo.Bado kama Thiago anaondoka tunahitaji tena cover kama 2 hivi bado mabeki kama watatu...safari ndefu kidogo
Shida yetu LFC ni,We don't buy enough and We don't replace declining players early enough.Yes,tuna kikos cha ndan ila benchi nikilio kile kile cha siku zote
MilnerHatuwezi kumaliza matatizo yote ya timu kwa Dirisha moja la usajili hatuna Owners wa namna hiyo.
Tukimpata LAVIA na CB 1 ,Itakuwa ni it's an Excellent ,Exciting Rebuild kwa Summer ambayo wengi Hatukuhitarajia.
Thiago Haondoki.Milner
Keita
Ox..
Henderson
Fabinho
Thiago
Hapo tunaachia watu 6..
Tumesajili wawili ..tukipata Lavia inakuwa watatu...
Bado tuna nafasi tatu ...za kujaza
Pengo la Hendo halizibiki
Tutammiss sana mwamba JordanView attachment 2700087
AMONG SURPRISED TRANSFER IN LIVERPOOL HISTORY.