Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Hawa Southampton
Screenshot_20230801-195047.jpg
 
Nyie mnaosema u aguzi nawashangaa

Trent ni mzungu?

Kubalini tu Salah hana sifa za kuwa Captain..
Mtu ambaye kitu kidogo tu anakasirika,
Akifanyiwa sub ananuna,atawafundisha Nini wenzie humo uwanjani?

VVD na Dogo Trent ndo Macaptain,kama hamtaki katafuteni wenu
Ule uchochoro kwa sasa, huyohuyo VVD ndio atakuwa anaonesha vidole wengine wakabe.
 
Back in 2017, 2018,2019 Nikikumbuka ubishi wa jamaa wa Liverpool halisi na Liverpool fake. Nikasema ngoja niite wana liverpool fake wenzangu😃. Maana ubishi wa uwezo wa Hendo ndio ulileta yote hayo.

Juzi Jumamosi nilienda Vikindu kutafuta mbuzi kuna Mndengereko ameniuzia Beberu mmoja Safi sana kama 170K nikatinga naye Tandika nikawapa Vijana Offer ya Nyama Choma na Pepsi moja moja kwa ajili ya kusherehekea tukio la kuondoka Hendo tu.
 
Hivi Trent ni wa kumpigia kelele Salah Nini Cha kufanya wakiwa uwanjani?!! au Allison
emoji23.png
Klopp kachemka hii ni Robbery ya wazi.
Hahahahaaaa
Nyie mnaosema u aguzi nawashangaa

Trent ni mzungu?

Kubalini tu Salah hana sifa za kuwa Captain..
Mtu ambaye kitu kidogo tu anakasirika,
Akifanyiwa sub ananuna,atawafundisha Nini wenzie humo uwanjani?

VVD na Dogo Trent ndo Macaptain,kama hamtaki katafuteni wenu🤣
machochoro mawili yamekua manahodha

Mvuvi lazima asafiri na ndoo chomboni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom