Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Going from Milner ,Keita ,Arthur ,Ox ,Henderson To Szoboszlai, Mc Allister and ( Lavia) is sunch a mental Upgrade.

We go from one of the Worst Midfields in the league to one of the Strongest all in on Window.
Hao midfielders wapya hawajatuonesha chochote bado mshaanza kuwaponda walipita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao midfielders wapya hawajatuonesha chochote bado mshaanza kuwaponda walipita

Sent using Jamii Forums mobile app
Wahajatuonesha nini ????Based off last season.......If actually think Milner or Keita or Henderson or Ox is better than Mc Allister or Szoboszlai unajidanganya.......Simple......Kulingana na Msimu uliopita hakuna kiungo yoyote mwenye uwezo tuliyemuacha anayeweza kuwafikia uwezo hawa tuliowa-signs mpaka sasa.
 
Ox
Milner
Henderson
Keita
Thiago
Fabinho
Arthur.

Wachezaji wanaondoka ni hawa tu?..
 
Nimeona Notification yako ikabidi nije nichungulie kuona kunani.

Sikuwahi kuwaza kama Liverpool inaweza kumuuza Henderson lakini imetokea
Back in 2017, 2018,2019 Nikikumbuka ubishi wa jamaa wa Liverpool halisi na Liverpool fake. Nikasema ngoja niite wana liverpool fake wenzangu😃. Maana ubishi wa uwezo wa Hendo ndio ulileta yote hayo.
 
Katika hao 7 waliokuwa wanatumika hawazidi watatu (3) wengine wote (4) walikuwa ni wakushinda vitandani tu.Hawakuwahi kuwa na Msaada wowote ule kwa team walikuwa ni Mizigo.
Me pia nawashangaa hao wanaohofia number ya wacheza walio ondoka.

OX- mkuu wa clinic
KEITA- katibu mkuu wa clinic
MILNER- umri ulishamuaga , akili inataka, mwili hautaki
Mchezaji wa kuwaza replacement yake kwa wote hao ni FAB3 tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom