MosDef
JF-Expert Member
- Mar 13, 2014
- 8,420
- 17,183
Na mizigo ya Manjesta ni ngumu sana kuuzika lol that team akicheza vyema Casmiro na Fernado basi ushindi upo ila wakipoteana basi ushindi unashaulika... With Casmiro on the field win percentage inakua ova 60% na kama hayupo ni mbaya sana..
I have hope na Klopp maana huyu mzee anajua ku point vipaji rarely anaharibu sokoni hivyo akiwa afforded £200m+ itakua well spent cash kujenga kikosi... Nina imani na Klopp kwamba anahitaji kupewa back up na uzuri kasema mwenyewe kuna baadhi ya mambo yatabadilika tu na pia sasa anaambiwa at point blank aache kua tooo loyal inamcost ushindi hivyo we are heading to a proper June 2023 yenye hope kubwa sana.
YNWA
We need 3 hard MFs, i think our attacking line ipo stacked, wanahitaji tu support ya MF.
£200m + sales ni very enough, though tungekuwa na new owners, ningesema £300m + sales, but kwa kuwa ni FSG lazima tuwe na expectations ndogo, maana ni rahisi sana hawa jamaa kutu-let down.