Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,463
- 32,906
On spot kaka huyu VVD ni pure arrogance yaaani ni kweli ametuwakilisha vyema sana lakini dude anajiona kama ana hati miliki ya ile namba na kwamba anaweza ku shout kwa hawa juniors partners atavyo damn that so low... We have witnessed prime Kompany, Vidic, Terry, Agger, Hypia nk and this great men rarely you would see them ranting kwa sabbabu timu imefugwo maana that exposing our dirty linen in the public eyes... VVD is down ward trend na hataki kukumbali kwamba ameshuka na too bad kwa Klopp hana like for like ama pia he is too loyal kwa dogo kiasi hawazi kusajili msaidizi capable ama pia kwa kukosa kupewa mpunga... Nwa msimu huu tumemjua vyema huyu dogo na Klopp asipo address hivi vimaneno vyake viishe basi tujiadae kua na mkata morale ndani ya klabu for long time kwa kua mkataba wake bado yupo yupo...Mimi binafsi, VVD amenitoka kabisa msimu huu Mkuu.
I thought he was a good. leader, but dude is full of arrogance, ni kama Trent tu wanahisi wame-complete football kabisa, lile goal la Bournemouth liliniuma sana, sana yaani, ni goal jepesi ambalo lilikuwa linazuilika kabisa.
kina Daniel Agger, walikuwa wanaweza kuua kwaajili ya team, na. walikuwa ni SUPER TALENTED, VVD amekuwa naive & arrogant, ni aibu kuona a kid konate anajaribu ku-step up kuliko VVD, kwenye game ya Bournemouth alikuwa anamlaumu Konate kwa kumchezesha Dango Ouattara onside, wakati he was his MAN, na pia uliona Trent alivyofail kum-track Billing kabisa, he didnt even try.
Sven Botman & Bruno Guimaraes, wote wangekuwa LFC players kama FSG & Klopp wangekuwq serious, Botman ni FSG's fault, Bruno ni Klopp's fault.
FSG na Klopp wote ni wa kulaumiwa kwa nni hata hawakuangalie Prime Chelsea au Manchester City /United wanavyodili na over 30yrs players kwenye ku re new mikataba yaaani sijui waliangalia kipengele kipi kuwapa hawa wazee mikataba mirefu vile ilhali ubora kwa namna yoyote ile kushuka haukwepeki.... Chelsea zamani ilikua mchezaji akishagonga 30 ni mkataba wa mwaka mmoja with mwaka wa pili ikiwa ni option na hii ilikua inawapa muda kuadaa vijana wa kuja kuridhi wakiodoka... Lakini hapa kwetu hatuna mridhi wa uhakika wa Robertson, VVD, Fabinho, Henderson nk ni ishu sana.
YNWA