View attachment 2560446
Aisee maskini Klopp kwa mara nyingine tena FSG wamempa za uso.
Kama alivyoelezea MosDef huyu dogo Klopp amekua akafanya kila linalowezekana kwa miaka miwili iliyopita ili atue Liverpool lakini huyoo sasa asilimia kubwa tu atatu Manchester City ambao wanajiaadaa maisha bila Gudgon, Silva nk.
Pamoja na mapungufu ya FSG tukumbaliane pia Director of football pale Ethad bwana Txiki Begiristain anajua vyema namna ya kutekeleza majukumu yake ipasavyo.
Maskini Klopp kwa mara nyingine tena listi ya wachezaji aliowakosa inazidi kuongezeka na kua ndefu balaa.
With FSG at the top we are doomed.
YNWA