Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,460
- 32,906
😂😂😂😂😂Hapana Milner asepe tu kwanza wage bill ipumue ili usajili mpya waje kuchukua nafasi yake kwenye mshahara kwa sababu kwa sasa mapato ya klabu karibu zaidi ya asilimia 70 yanaingia kwenye kuedesha klabu hivyo hatuna hio luxury ya kumbakisha babu kikosini huku tuko hitaji kusajili angalau wachezaji watatu.. Kwa mfano unadhani Jude akitua Liverpool ataingia na mshahara huu wa akina Nunez wakati anaona pale Ethad dogo Haaland anapata mkwaja mrefu ajabu japo upo kwenye bonus na yeye ata demand kuanzia £300k kwa wiki na ma bonus kadhaa sasa kwa staili hio babu Milner atakua mzigo kwa payroll...Nimemsoma bro
Nimemuelewa sana
Na Mimi naunga hoja mawazo yake,
Kama Milner anabaki basi wampe cheo chochote,awe hata Haji Manara wa timu yetu😊
Ila siyo tena yeye kuingia front kucheza.
Milner mi✊ tena
Wafuatao mpaka sasa wanatakiwa washaambiwa wasepe
Milner
Keita
Matip
Ox
Firmino
Hawa mkopo
Jones
Fabio.
Doak
Hawa kuuzwa
Salah😂😂😂😂😂typing error.
YNWA