DuhSometimes players huwa wana-stop kucheza for the manager, ku-stop kucheza for the manager, ina maana kuwa unakuwa kwa maksudi hufati maelekezo ya manager au kwa maksudi unacheza kwa kiwango cha chini.
Losing a dressing room kwa managers kwenye mpira wa sasa ni rahisi sana, mchezaji kama Salah au VVD, au Alisson akigoma kucheza for the manager, ni lazima manager uwe kwenye hot seat, as club lazima itaegamia kwa players, maana ni business assets.
So, you need father figures kwenye dressing room, kwa mfano now at LFC kuna mambo mengi sana yanaendelea behind the scenes, kuna players ambao hawapo happy na tactics za Klopp, kuna players ambao wameshakata tamaa na msimu, so you need a popular figures kwenye teams ambazo zitakuwa zinawakumbusha hawa wachezaji umuhimu wa kuchezea. our badge, na muhimu zaidi kutengeneza mutual connection kati ya Manager na players.
Mfano, at Spurs, hakuna leaders kwenye ile team, ndiyo maana unaona kabisa Conte anatoka kusema kama yale aliyosema jana, but a LFC, huwezi kuona Klopp. akisema vile, because kuna mutual respect kati yake na players, na hii inatengenezwa na popular players in the dressing room, players ambao wana-act kama brigdes, Milner can call out Klopp kama akizingua, Henderson can call out Thiago kama akizingua, thats leadership.
Niungishe basi brother dadako nisakate kambumbu safi😁They are getting paid. peanuts.
Kumbe ndo maana jana nimepita jukwaa la akina Allypipi,wapo wanatoa macho wanaulizana itakuwaje Casmiro hayupo🤣Na mizigo ya Manjesta ni ngumu sana kuuzika lol that team akicheza vyema Casmiro na Fernado basi ushindi upo ila wakipoteana basi ushindi unashaulika... With Casmiro on the field win percentage inakua ova 60% na kama hayupo ni mbaya sana..
I have hope na Klopp maana huyu mzee anajua ku point vipaji rarely anaharibu sokoni hivyo akiwa afforded £200m+ itakua well spent cash kujenga kikosi... Nina imani na Klopp kwamba anahitaji kupewa back up na uzuri kasema mwenyewe kuna baadhi ya mambo yatabadilika tu na pia sasa anaambiwa at point blank aache kua tooo loyal inamcost ushindi hivyo we are heading to a proper June 2023 yenye hope kubwa sana.
YNWA
🤣🤣Nwa better akajaribu maisha kwingine his body is made of delhi biscuits mikiki ya EPL is way tooo much to handle...
Akichoka kucheza apewe ukocha kabisa ajenge CvTuna Imani na Milner
Aongezewe muda hadi atakapochoka [emoji23]
Tunampa mkataba wa maishaAkichoka kucheza apewe ukocha kabisa ajenge Cv
Dah Asante[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2558240
Cc allypipi.. Hatujasahau till we meet again msimu mpya ili kufuta huu uteja[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwako Saint Anne
YNWA
Mimi na Captain Marvelous tuna Imani na MilnerJurgen Klopp is pushing the board at Liverpool to offer James Milner a new deal.
📰 [@SportsPeteO] #LFC
Hii habari inazidi kunichanganya tu, kwani kuna nini kati ya Milner na Klopp?...pumbavu kabisa
Klopp outJurgen Klopp is pushing the board at Liverpool to offer James Milner a new deal.
[emoji438] [@SportsPeteO] #LFC
Hii habari inazidi kunichanganya tu, kwani kuna nini kati ya Milner na Klopp?...pumbavu kabisa
Na FSG wasiuze timuTunampa mkataba wa maisha
Hakuna kuondoka kabisa
Tuna Imani nao[emoji23]Na FSG wasiuze timu
Klopp is to loyal haya mambo hua yanamchanganya sana kung'ang'ania watu that his weakness na ameshindwa kua adapt kwenye proper transition ya kuachilia baadhi ya wachezaji japo wengine ambao hawakua watu wake aliwatema bila kupepesa macho kama Gini lakini wengine ana soft spot nao kiasi anakua kipofu to see the big picture... FSG ni wamiliki ambao kwao cost comes kabla ya mambo mengine hivyo Klopp anajidanganya mwenyewe kwamba atapewa kikosi kipana kwamba asajili wachezaji angalau wanne huku na Milner asiungane na akina Ox...Mimi na Captain Marvelous tuna Imani na Milner
Msitutoe kwenye reli🤣😂😂😂
Tuna imani na MilnerKlopp is to loyal haya mambo hua yanamchanganya sana kung'ang'ania watu that his weakness na ameshindwa kua adapt kwenye proper transition ya kuachilia baadhi ya wachezaji japo wengine ambao hawakua watu wake aliwatema bila kupepesa macho kama Gini lakini wengine ana soft spot nao kiasi anakua kipofu to see the big picture... FSG ni wamiliki ambao kwao cost comes kabla ya mambo mengine hivyo Klopp anajidanganya mwenyewe kwamba atapewa kikosi kipana kwamba asajili wachezaji angalau wanne huku na Milner asiungane na akina Ox...
Anyway mkataba kashapewa bado kusaini hivyo hii no closed chapter huyu tunae sanaa na Henderson yaaani we are damn doomed....
Abaki Milner powaa tu wametaka wenyewe lakini hatutaki kusikia yale maneno ya Klopp kwamba ana kipengele where he stretch his hand kwenye usajili mara ohh hana pesa za waarabu hizo bla bla hatutaki kusikia kama alivyokomaa babu Milner na ndio akomae sokoni tuone mabadiliko kwa sababu tumechoka sana sisi kuona haya mambo yakijirudia kwa kukosa tu ku react mapema sokoni..
Muda utasema wapi tutasimamia... Natamani kama tukose UCL ili hawa FSG wakome kucheza kamali na uwezo wa Klopp kwamba sion mtenda miujiza [emoji23][emoji23][emoji23]
YNWA
Duh Bro unamuonea Trent jamani [emoji3064]
Kwanza yule dogo ni mfia timu.
Akipewa nafasi hayo yote mbona ataweza tu.
Duh
Imebidi nikaangalie alichokisema jamaa.
Kumbe kuna muda wachezaji wanacheza chini ya kiwango makusudi!
Basi hao watakuwa pretender wa kiwango cha lami..Mbona machoni huwa hawaonyeshi?
Na hivi huko kambini huwa wanakaa muda wote hadi msimu uishe?
Au huwa wanapata free time kwenda makwao?