Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

MosDef kindly enlighten me perhaps beside the scene what does Milner offer that we can't go forward without him maana this is crazy prime Milner was deemed surplus to requirement pale Ethad and yet kwetu tunaona kuliko huo mshahara waje damu changa wake tuwapa hawa madogo Kouadio Kone e au Ryan Gravenberch ambao kwa pamoja nina imani ofa ya £70m tunawapata mapema tu.

Kweli huyu Milner ana bahati duniani hakuna maana tazama Modric anavyosukuma ngozi pembeni yupo Camavinga na Kross sasa Milner pembeni yake yupo Henderson ambae ki uwezo wako sawa tu.. Kwa hali hio niseme hata msimu ujao tunsidikiza wengine kwenye mbio za ubingwa kwa kuwang'ang'ania wachezaji waliopita ubora wao miaka mingi na ni muda mrefu hawa jamaa wametembelea nyota ya Fabinho na kwa bahati mbaya baada ya dogo kutumika sana misimu ya nyuma ameanza kuchoka kwa sababu ni yeye tu mwenye kuelewa majukumu yake kulinda back four...

YNWA
Acha kumdhalilisha Captain wangu tafadhali[emoji23]
Milner hayupo sawa na Hendo kiuwezo.

Kwa kweli mpira wake mguuni kama ulivyosema,Klopp pekee anauelewa.
 
Oooh unlucky Liverpool unakumbuka January 2021 i guess tukiwa kwenye super crisis baada ya kupata majeruhi back line FSG wakatuletea akina Kabak wakati Klopp alikua anaowahitaji ni akina Sven Botman, Duje Caleta-Car kweli maisha yanakwenda kasi sana maana huyo Botman kumtoa Newcastle watakomaa bei ya ajabu angalau huyu Duje just incase wakishuka daraja ama wakibakia waamue ku cash to invest naona ana adapt vyema EPL japo kwa pale I would prefer his partner Salisu na itakua a proper back line...

Nwa Gabriel since atue Arsenal alionyesha uwezo hata kipindi hawajawa compact but with the way Arsenal are playing with thier LB na RB when under attack they like become MFs to close th spaces and this makes its hard ku wa penetrate and this has worked wonders for Arteta so far.

Pep is full of sill ideas but cool nwa yaani anamtoa Cancelo akiwa ame clock lots of minutes kuliko mchezaji yotote pale Ethad na akasema nenda Bayern kwa kua anae Ake who has switched and delivering without issues.. Ake is a generation talent defence wise, its takes a lot to swith positions and perform better...

VVD is lost hua naona tukifungwo anachotafuta sana sana ni nani amnyooshe kidole duh so bad kama lile goli la Bournemouth the boy just got tired and he couldn't be there to present the cross...

YNWA
Mimi bado nasimama na VVD kwenye lile goli.
Hivi baada ya ile cross kupigwa,uliona akina Trent,Konate,Robbo wakifanya chochote?
Yawezekana VVD anaboronga ila kwa lile goli hapana aisee.
 
Oooh unlucky Liverpool unakumbuka January 2021 i guess tukiwa kwenye super crisis baada ya kupata majeruhi back line FSG wakatuletea akina Kabak wakati Klopp alikua anaowahitaji ni akina Sven Botman, Duje Caleta-Car kweli maisha yanakwenda kasi sana maana huyo Botman kumtoa Newcastle watakomaa bei ya ajabu angalau huyu Duje just incase wakishuka daraja ama wakibakia waamue ku cash to invest naona ana adapt vyema EPL japo kwa pale I would prefer his partner Salisu na itakua a proper back line...

Nwa Gabriel since atue Arsenal alionyesha uwezo hata kipindi hawajawa compact but with the way Arsenal are playing with thier LB na RB when under attack they like become MFs to close th spaces and this makes its hard ku wa penetrate and this has worked wonders for Arteta so far.

Pep is full of sill ideas but cool nwa yaani anamtoa Cancelo akiwa ame clock lots of minutes kuliko mchezaji yotote pale Ethad na akasema nenda Bayern kwa kua anae Ake who has switched and delivering without issues.. Ake is a generation talent defence wise, its takes a lot to swith positions and perform better...

VVD is lost hua naona tukifungwo anachotafuta sana sana ni nani amnyooshe kidole duh so bad kama lile goli la Bournemouth the boy just got tired and he couldn't be there to present the cross...

YNWA

Mimi binafsi, VVD amenitoka kabisa msimu huu Mkuu.

I thought he was a good. leader, but dude is full of arrogance, ni kama Trent tu wanahisi wame-complete football kabisa, lile goal la Bournemouth liliniuma sana, sana yaani, ni goal jepesi ambalo lilikuwa linazuilika kabisa.

kina Daniel Agger, walikuwa wanaweza kuua kwaajili ya team, na. walikuwa ni SUPER TALENTED, VVD amekuwa naive & arrogant, ni aibu kuona a kid konate anajaribu ku-step up kuliko VVD, kwenye game ya Bournemouth alikuwa anamlaumu Konate kwa kumchezesha Dango Ouattara onside, wakati he was his MAN, na pia uliona Trent alivyofail kum-track Billing kabisa, he didnt even try.

Sven Botman & Bruno Guimaraes, wote wangekuwa LFC players kama FSG & Klopp wangekuwq serious, Botman ni FSG's fault, Bruno ni Klopp's fault.
 
Thats my point, with Milner kwenye our MF, unge-expect Madrid kuwa na easy day, buy we were just good kwenye defensive phases.

Madrid are not even that good this season, at Anfield tuli-collapse, kutokana na structure mbovu at the back, kutokuwepo kwa Konate kulifanya tuwe Vulnarable zaidi at the back.

At Santiago, Konate managed to kill/block direct runs karibia zote za Vinicius, na kama Konate angekuwepo at Anfield, Vinicius asingekuwa threat sana kama tulivyoona.

We lost that game at Santiago, baada ya zile subs za Klopp, our defensive structure ilivurugika baada ya zile subs.

Always nimekuwa soft spot kwa Milner, although naombea asi-renew au huwa napenda sana kama angekuwa ameondoka 2-3 years ago, but pamoja na yote hayo, huwa anajitoa anapohitajika, MFs wetu wanaolipwa millions na ambao ni. super talented kila siku wanakuwa out with injuries, Milner (kwa uwezo wake mdogo alionao) did a very good job at Santiago.

Arthur Melo, hakuwa registered kwenye team/squad ya CL.
Aiseee
Ila pamoja na yote ,wewe na Klopp mnampenda Milner aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Trent cant be a captain, he's not a leader.

I dont like Henderson, but he's a definition of a good leader, same kwa Milner.

Trent, hana guts za ku-back at Thiago, Fabinho or VVD wakipoteza mipira, Trent hana uwezo wa ku-arrange meetings/crisis calls kwenye dressing room.

Katika youngster, tulionao LFC, ni Elliott tu anaweza kuwa leader, Trent is NOT a leader.

Alisson should be a captain kama Henderson akiondoka, na kama tukimsajili Jude, awe second captain, na kuja ku-take over baadae.

But, NOT Trent.
Duh Bro unamuonea Trent jamani [emoji3064]
Kwanza yule dogo ni mfia timu.

Akipewa nafasi hayo yote mbona ataweza tu.
 
Definitely Allison deserves th arm band but after hiki kizazi kikiodoka Liverpool hakuna mwingine anastahili zaidi ya dogo Trent amekua na msimu mbaya kama wengine but naamini mbele yake akisimama Jaoa Palhinha dogo atarudi kwenye ubora wake..

VVD is full of praise kwa sasa ana mtihani kwake arejeshe heshima.

YNWA
Dogo ndo Captain wetu aisee
Tunamtaka huyohuyo
 
MosDef kindly enlighten me perhaps beside the scene what does Milner offer that we can't go forward without him maana this is crazy prime Milner was deemed surplus to requirement pale Ethad and yet kwetu tunaona kuliko huo mshahara waje damu changa wake tuwapa hawa madogo Kouadio Kone e au Ryan Gravenberch ambao kwa pamoja nina imani ofa ya £70m tunawapata mapema tu.

Kweli huyu Milner ana bahati duniani hakuna maana tazama Modric anavyosukuma ngozi pembeni yupo Camavinga na Kross sasa Milner pembeni yake yupo Henderson ambae ki uwezo wako sawa tu.. Kwa hali hio niseme hata msimu ujao tunsidikiza wengine kwenye mbio za ubingwa kwa kuwang'ang'ania wachezaji waliopita ubora wao miaka mingi na ni muda mrefu hawa jamaa wametembelea nyota ya Fabinho na kwa bahati mbaya baada ya dogo kutumika sana misimu ya nyuma ameanza kuchoka kwa sababu ni yeye tu mwenye kuelewa majukumu yake kulinda back four...

YNWA
Uchawi upo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuhesabu tu maumivu na vipigo..
Sijui kama tutakuja kuwafunga Madrid kweli kwa 1St Eleven ya kina Milner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna post yangu hapo juu, nimesema kuwa huwa nakuwa na soft spot na Milner kwasababu ya "utayari" na "leadership skills" alizonazo.

Milner is a leader behind the scenes, ndiyo kiongozi wa wachezaji behind the scenes, he's a "popular" figure kwenye dressing room, Klopp anampenda kwasababu ni good motivational speaker and hard worker.

You know, Klopp huwa ana value zaidi Hard work na loyality kuliko kitu chochote kile, player's attitude ni kitu ambacho Klopp anakithamini zaidi, ndiyo maana ameumia sana kumpoteza Firmino.

But, personally, i think its time to let Milner go, (kama anataka kuendelea kucheza mpira), but kama anaamua. kuachana na mpira, just give him a role kwenye our technical staff.

As a footballer, i think muda wake at LFC umeisha, kama tutakuwa tunafikiria kuendelea kubaki na kina Milner, itakuwa ngumu sana ku-evolve as a team.

Guardiola got rid of his two leaders (Kompany, then Fernandinho), its true kwamba unaona kabisa tatizo la leadership kwenye baadhi ya games za Man City, but you have to take some risks kwaajili ya better future, you have to go extra miles kama unataka ku-evolve as a team.

We dont need Milner & we are well past the need of Henderson kwenye our team.

As long as Thiago & Alisson are in the team, hatuna tatizo kubwa sana la leaders, kuna vitu tuta-miss kwenye sense ya leadership kutoka kwa Hederson & Milner, but tunahitaji. ku-move on as a team.
Ni kweli at times unahitaji well tamed speaker kwenye dressing room especially when the going get tough that i support maana EPL is full of surprises and sometimes players are broken kabisa so having that big brother figure motivating the others is essential kwa uimara wa timu with that said i do believe tunao hao wachezaji ambao probably have learnt kutoka kwa Milner maana moja ya nguzo ya kumbakisha ni sababu anakua kama role model ya other players.. Tunae Allison, Thiago na Henderson hawa naamini wanaweza kabisa kusimamia yale ambayo sasa anafanya Milner na tukasonge mbele.

Real Madrid waliwatema Ronaldo na Ramos very influential players na waka survive bila changa moto kwa sababu that was well planned in advance na hilo hata Klopp is supposed kua na plan ya how to evolve past era ya Henderson, Milner, VVD nk ili ajenge continuity ya philosophy yake na kikosi imara but haya mambo ya kusajili MF mmoja kwa miaka mitano ni kujiadalia bomu tu hakuna kingine ndio maana tulipo sasa sishangai sana kwa this has been coming... The last 2 senior signing of MFs are injury prone and here we are with the current form perhaps only FSG are surprised...

YNWA
 
Acha kumdhalilisha Captain wangu tafadhali[emoji23]
Milner hayupo sawa na Hendo kiuwezo.

Kwa kweli mpira wake mguuni kama ulivyosema,Klopp pekee anauelewa.
Msome MosDef vyema dogo acha papara haha hawa watoto wa Malkia nadhani kwa kua ni ma natives na lugha kwao inpamba fresh wana kazi ya ziada kwa kumsaidia Klopp kule vyumbani ama mazoezini ama kwenye mikutano ya wachezaji wanakua ndio motivational speakers na jambo muhimu sana unahitaji sana hicho kipengele ili ustawi wa timu upatikane ukumbuke Klopp kuna baadhi ya majukumu hua anawaachi ma Kapteni wake hivyo Le Kapteni na Le Kapteni msaidizi upo uwezekano tukawa nao msimu ujao pengine kwa Klopp kutazama hakuna mchezaji wa kuvaa majukumu ya Milner anaona amamhitaji kwa kazi maalum nje ya uwanja au hata ndani ya uwanja.

Milner mmoja tenaaa.

YNWA
 
Kuna post yangu hapo juu, nimesema kuwa huwa nakuwa na soft spot na Milner kwasababu ya "utayari" na "leadership skills" alizonazo.

Milner is a leader behind the scenes, ndiyo kiongozi wa wachezaji behind the scenes, he's a "popular" figure kwenye dressing room, Klopp anampenda kwasababu ni good motivational speaker and hard worker.

You know, Klopp huwa ana value zaidi Hard work na loyality kuliko kitu chochote kile, player's attitude ni kitu ambacho Klopp anakithamini zaidi, ndiyo maana ameumia sana kumpoteza Firmino.

But, personally, i think its time to let Milner go, (kama anataka kuendelea kucheza mpira), but kama anaamua. kuachana na mpira, just give him a role kwenye our technical staff.

As a footballer, i think muda wake at LFC umeisha, kama tutakuwa tunafikiria kuendelea kubaki na kina Milner, itakuwa ngumu sana ku-evolve as a team.

Guardiola got rid of his two leaders (Kompany, then Fernandinho), its true kwamba unaona kabisa tatizo la leadership kwenye baadhi ya games za Man City, but you have to take some risks kwaajili ya better future, you have to go extra miles kama unataka ku-evolve as a team.

We dont need Milner & we are well past the need of Henderson kwenye our team.

As long as Thiago & Alisson are in the team, hatuna tatizo kubwa sana la leaders, kuna vitu tuta-miss kwenye sense ya leadership kutoka kwa Hederson & Milner, but tunahitaji. ku-move on as a team.
Aisee,
Motivational speaker bila mpira wowote mguuni inatupeleka Europa🤣🤣🤣
 
Mkuu hilo la statement I stand with you but kama atakuja mchezaji mmoja tu Jude basi hio statement itakua useless na hilo ndio hofu yangu kwamba kama FSG hawajapata mteja kuuza share kadhaa by June upo uwezekano wakanunua mchezaji mmoja tu ana kusepa zao Boston wakisubiri maajabu mapya ya Klopp. Hofu yangu sio uwezo wa Jude mbali hio bei yake kutoa na kapu la ela liwe empty itakua disaster kwetu ndio maana Jude alone hatakua na uwezo wa kuamsha ile MF yetu ilivyo choka.. Kutokana na hio concern nikasema ni bora regardless ya kutoa statement tukomae kwa angalau wachezaj wawili aidha Caiceido na Nunes ama Kano na Nunes au Gravenberch na Nunes au Nunes na Palhinha ambao sasa MF yetu itakua Palhinha, Fabinho, Nunes wakiwa sapoti na Thiago, Elliott, Henderson...

Antony pale Manchester United was a statement signing believing they have got thier own Salah lakin unaona how the deal has proved costly..

Jude ni kweli ni after sought MF kwa sasa but i fear we don't that leisure to afford him at all cost kama hakuna wawekezaji wapya na pia ukumbuke sio tu MF inahitaji uwekezaji pia pale nyuma panahitaji mabeki wawili RB mmoja na CBR mmoja since Konate can't afford 15 games a season bila issue na Gomez, Matip have dropped scary levels we can't assume lini watakua bora rather then we strengthen..

YNWA
Tukimnunua pekeyake kwa hela hiyo akiyanani tutapata kizunguzungu🤣🤣🤣🤣🤣
Labda wamwage hela kama mchele ili wanunuliwe na wengine wa kutosha

Vinginevyo tutaenda kujutia
 
Uchawi upo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tuendelee kuhesabu tu maumivu na vipigo..
Sijui kama tutakuja kuwafunga Madrid kweli kwa 1St Eleven ya kina Milner[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂 😂 😂 😂 Madrid hawa chini ya prime Gerrard walichapika sio kwamba hawafungiki la hasa, kama ile fainali in terms of real threat aa they felt the heat lakini kama ujuavyo mpira ni mchezo wa kutumia nafasi hata iwe moja itumie vyema na ndio walivyo fanya Madrid pale Paris one chance well executed n goal scored... Hii ya msimu huu its was written in tye stars kwa udhaifu wa kikosi uliopo kwa sasa ingekua really super lucky to pass past Real Madrid...

In layman eyes kama hatuwawezi Nottingham Forest, Leeds, Bournemouth nk unadhani ule mziki wa Real Madrid tungeuweza wapeee... Wenyewe washajimilikisha Uefa haha kwao its means more.

YNWA
 
Msome MosDef vyema dogo acha papara haha hawa watoto wa Malkia nadhani kwa kua ni ma natives na lugha kwao inpamba fresh wana kazi ya ziada kwa kumsaidia Klopp kule vyumbani ama mazoezini ama kwenye mikutano ya wachezaji wanakua ndio motivational speakers na jambo muhimu sana unahitaji sana hicho kipengele ili ustawi wa timu upatikane ukumbuke Klopp kuna baadhi ya majukumu hua anawaachi ma Kapteni wake hivyo Le Kapteni na Le Kapteni msaidizi upo uwezekano tukawa nao msimu ujao pengine kwa Klopp kutazama hakuna mchezaji wa kuvaa majukumu ya Milner anaona amamhitaji kwa kazi maalum nje ya uwanja au hata ndani ya uwanja.

Milner mmoja tenaaa.

YNWA
Nimemsoma bro
Nimemuelewa sana

Na Mimi naunga hoja mawazo yake,
Kama Milner anabaki basi wampe cheo chochote,awe hata Haji Manara wa timu yetu😊
Ila siyo tena yeye kuingia front kucheza.

Milner mi✊ tena
 
😂 😂 😂 😂 Madrid hawa chini ya prime Gerrard walichapika sio kwamba hawafungiki la hasa, kama ile fainali in terms of real threat aa they felt the heat lakini kama ujuavyo mpira ni mchezo wa kutumia nafasi hata iwe moja itumie vyema na ndio walivyo fanya Madrid pale Paris one chance well executed n goal scored... Hii ya msimu huu its was written in tye stars kwa udhaifu wa kikosi uliopo kwa sasa ingekua really super lucky to pass past Real Madrid...

In layman eyes kama hatuwawezi Nottingham Forest, Leeds, Bournemouth nk unadhani ule mziki wa Real Madrid tungeuweza wapeee... Wenyewe washajimilikisha Uefa haha kwao its means more.

YNWA
Yaani ni huzuni🥺
Mimi kama shabiki, maumivu ni makali eti misimu yote 2 mfululizo wanatufunga.

Naungana tu na Trent kulia
I've given up 🙌
 
Mkuu hilo la statement I stand with you but kama atakuja mchezaji mmoja tu Jude basi hio statement itakua useless na hilo ndio hofu yangu kwamba kama FSG hawajapata mteja kuuza share kadhaa by June upo uwezekano wakanunua mchezaji mmoja tu ana kusepa zao Boston wakisubiri maajabu mapya ya Klopp. Hofu yangu sio uwezo wa Jude mbali hio bei yake kutoa na kapu la ela liwe empty itakua disaster kwetu ndio maana Jude alone hatakua na uwezo wa kuamsha ile MF yetu ilivyo choka.. Kutokana na hio concern nikasema ni bora regardless ya kutoa statement tukomae kwa angalau wachezaj wawili aidha Caiceido na Nunes ama Kano na Nunes au Gravenberch na Nunes au Nunes na Palhinha ambao sasa MF yetu itakua Palhinha, Fabinho, Nunes wakiwa sapoti na Thiago, Elliott, Henderson...

Antony pale Manchester United was a statement signing believing they have got thier own Salah lakin unaona how the deal has proved costly..

Jude ni kweli ni after sought MF kwa sasa but i fear we don't that leisure to afford him at all cost kama hakuna wawekezaji wapya na pia ukumbuke sio tu MF inahitaji uwekezaji pia pale nyuma panahitaji mabeki wawili RB mmoja na CBR mmoja since Konate can't afford 15 games a season bila issue na Gomez, Matip have dropped scary levels we can't assume lini watakua bora rather then we strengthen..

YNWA

Antony was not a Statement signing for Utd, STATEMENT signing ya United itakuwa ni FDJ au Kane/Rice, na kama waki-pull off signing ya Victor Osimhen, pia itakuwa statement signing.

Hakuna big club ambayo ilikuwa serious na Antony, he wasnt ready for the step up, ni big fee signing, but ni project player, he needs time, FDJ/Kane/Osimhen/Rice ni transformative signings, zinakupeleka next level in a second, hawa wote ni hot commodities kwenye market now.

Jude wont be our only signing in the summer, concern ni ishu ya Nunes/Mount, we want 3 MFs minmum, sasa kama anakuja Jude (IF), we need to choose between Nunes & Mount, ujue Mount kabadilisha Agency now, na suala la mkataba mpya na Chelsea limekuwa na ukakasi, na Klopp nadhani ameshaongea na wazazi wake pia, Nunes kulikuwa na gentleman agreement na Jorge mendes, sasa kama tuki-move out kwenye deal ya Nunes, itabidi tufanye deal na mteja wake, mwingine (maybe Ugarte)

But, MF ya Jude, Nunes & Mount hai-make sense kabisa, it should be Jude + Nunes/Mount + Destroyer.

I think we will get 4 players max in the summer, 3 Mfs and 1 LCB

For the reported bugdet ya £200m, tunauwezo wa kupata 3 MFs.

Jude - £110m

Nunes/Mount - £40-50m

Maybe, Ugarte ambaye ana release clause ya £52m

Assuming kwamba upfront fee ya Mount/Nunes itakuwa ni £20m, na iliyobaki ni over the course of their contracts.

Keheller, Phillips & other academy sales itasaidia ku-fund a CB, get Goncalo Inacio, his price range is good, and his upfront fee itakuwa ni very affodable.

I really want Jude at LFC mkuu, he's everything we need at RCM, engine kama ya prime Henderson but with TALENT, he's only 19.
 
Ni kweli at times unahitaji well tamed speaker kwenye dressing room especially when the going get tough that i support maana EPL is full of surprises and sometimes players are broken kabisa so having that big brother figure motivating the others is essential kwa uimara wa timu with that said i do believe tunao hao wachezaji ambao probably have learnt kutoka kwa Milner maana moja ya nguzo ya kumbakisha ni sababu anakua kama role model ya other players.. Tunae Allison, Thiago na Henderson hawa naamini wanaweza kabisa kusimamia yale ambayo sasa anafanya Milner na tukasonge mbele.

Real Madrid waliwatema Ronaldo na Ramos very influential players na waka survive bila changa moto kwa sababu that was well planned in advance na hilo hata Klopp is supposed kua na plan ya how to evolve past era ya Henderson, Milner, VVD nk ili ajenge continuity ya philosophy yake na kikosi imara but haya mambo ya kusajili MF mmoja kwa miaka mitano ni kujiadalia bomu tu hakuna kingine ndio maana tulipo sasa sishangai sana kwa this has been coming... The last 2 senior signing of MFs are injury prone and here we are with the current form perhaps only FSG are surprised...

YNWA
Ngoja nianze kufwatilia stori wanazoongeaga huko kambini

Kelele zote hizi, sijawahi hata kufwata anachoongeaga mwamba Milner babu wa timu yetu.
 
Ni kweli at times unahitaji well tamed speaker kwenye dressing room especially when the going get tough that i support maana EPL is full of surprises and sometimes players are broken kabisa so having that big brother figure motivating the others is essential kwa uimara wa timu with that said i do believe tunao hao wachezaji ambao probably have learnt kutoka kwa Milner maana moja ya nguzo ya kumbakisha ni sababu anakua kama role model ya other players.. Tunae Allison, Thiago na Henderson hawa naamini wanaweza kabisa kusimamia yale ambayo sasa anafanya Milner na tukasonge mbele.

Real Madrid waliwatema Ronaldo na Ramos very influential players na waka survive bila changa moto kwa sababu that was well planned in advance na hilo hata Klopp is supposed kua na plan ya how to evolve past era ya Henderson, Milner, VVD nk ili ajenge continuity ya philosophy yake na kikosi imara but haya mambo ya kusajili MF mmoja kwa miaka mitano ni kujiadalia bomu tu hakuna kingine ndio maana tulipo sasa sishangai sana kwa this has been coming... The last 2 senior signing of MFs are injury prone and here we are with the current form perhaps only FSG are surprised...

YNWA

Klopp kajiharibia sana kaka, but unakumbuka yote haya tulikuwa tunayaongea miaka mitatu nyuma, ni aibu sana, bado tunayaongelea now, ni aibu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom