Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Looks like Jude is heading to Man City.

All that ground-work, countless meetings with Mark Bellingham (his father), verbal agreements, etc, means nothing at the end.

FSG, kwa mara nyingine tena, wametu-let down, cant say i'm suprised.

Waited and wasted 2 years for Jude, for NOTHING, and oh! before we put blame on Klopp, sidhani kama angeamua kumsubiria Jude bila kuwa ASSURED na FSG.

As long as FSG, wataendelea kuwepo at LFC, hatutakuja kuwa a serious club again.
Ox na Milner wanatosha
 
Hii nimeisoma dogo Caiceido alipelekwa hawa jamaa kwa £4.5m wakasema pass ona sasa dogo alivyopanda value... Wakati mwingine hawa wenye maamuzi ya kusajili wakati mwingine hua wanishindwa kuona vipaji especially kwa hawa wachezaji wenye umri mdogo kama Caiceido nk

ETG akishapewa mpunga na kupunguza wale dead woods anaweza akafanya jambo... Wakati mwingine wala haihitajika kusajili wachezaji wengi mbali hata mmoja mchezaji kama Casmiro anaweza kuja na ushawishi kikosini na akabidili kabisa namna hali na kuleta ari mpya...

Uzuri hio June 2023 itafika tu tutaon niaje Ma Yankees wetu wamejiadaa kutuletea target za Klopp.

YNWA
Targets za Crops ni Milner
 
Inshu ya Caiceido na Man U haikuwa hivyo.
 
Badala umetete HB wako Joel wewe unakomaa na babu babuka[emoji23][emoji23][emoji23] abakie tu hakuna noma wala nini maana awepos asiwepo hatuhami timu maumivu twapata lakini tumoooo sanaaa.

YNWA
Si tulishakubaliana Matip wangu yupo sana
Kwani mnataka kumfukuza? [emoji24]
Ntamuangalia nani sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Si tulishakubaliana Matip wangu yupo sana
Kwani mnataka kumfukuza? [emoji24]
Ntamuangalia nani sasa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂 😂 😂 Nimekupa HB Cody Gakpo mapema tu kabla hajapata mwingine 😀😀

Matip kashakua mzigo inabidi atembee nafasi yake tupate kijana mdogo mdogo mwenye injury trend ya kawaida na mwenye kiu ya ushindi aisee... Matip na Gomez ni mizigo pale nyuma kwa sasa kapotea VVD nao wamepoteana.

YNWA
 
Screenshot_20230321_141620.jpg

Aisee maskini Klopp kwa mara nyingine tena FSG wamempa za uso.

Kama alivyoelezea MosDef huyu dogo Klopp amekua akafanya kila linalowezekana kwa miaka miwili iliyopita ili atue Liverpool lakini huyoo sasa asilimia kubwa tu atatu Manchester City ambao wanajiaadaa maisha bila Gudgon, Silva nk.

Pamoja na mapungufu ya FSG tukumbaliane pia Director of football pale Ethad bwana Txiki Begiristain anajua vyema namna ya kutekeleza majukumu yake ipasavyo.

Maskini Klopp kwa mara nyingine tena listi ya wachezaji aliowakosa inazidi kuongezeka na kua ndefu balaa.

With FSG at the top we are doomed.

YNWA
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nimekupa HB Cody Gakpo mapema tu kabla hajapata mwingine [emoji3][emoji3]

Matip kashakua mzigo inabidi atembee nafasi yake tupate kijana mdogo mdogo mwenye injury trend ya kawaida na mwenye kiu ya ushindi aisee... Matip na Gomez ni mizigo pale nyuma kwa sasa kapotea VVD nao wamepoteana.

YNWA
Huyu mdogo wake VVD ananikosha sana yule mtoto.
Timu ikija kutengemaa atatupa raha zisizo kifani.

Ila Trent kabla hajawa Ras nilikuwa namuelewa vibaya..
Kuna kaka yake anafanana naye HB balaa[emoji119]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom