Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

😜😜😜😜Hii soda hivi inakuaga na wanywaji kweli itakua imepata soko sana kipindi hiki cha kuwapiga mahasimu zile 7 juu...

Huu msimu tuuite Liverpool 7 Up season hakuna namna

YNWA
Haikuwa na wanywaji wengi
Sema toka tumeshinda zile saba, haikamatiki sokoni.

Leo tena makolo FC wanaongeza soko lake..
Kuna hatari ikaisha kabisa sokoni.
 
Dogo ana kipaji cha hali ya juu binafsi namkumbali kwa sababu pia anajua kujilinda vyema sana na majeruhi... Kama sikosei ndio winga anaongoza ksa Ligi zote Ulaya kuchezewa rafu lakini anakomaa na pia akiwa mchezaji anaeongoza kuzomewa na ma racist kwa sababu ya rangi yake.

Ana mapungufu yake kama mchezaji whining nk kwa kucheza tu La Liga hio hua ni moja ya vitabia vyao utaona mchezaji akimkomalia refa atoe kadi kwa mchezaji, na pia kupoteza muda kwa kujiangusha hua ipo sana tu.

YNWA
Wameiangusha timu yao ya taifa, benchi limejaa vipaji tupu ila wakaenda kufanya usanii uwanjani na kucheza Kwa show off.. Neymar anacheza utadhani hataki kuchafuka.
Wachezaji wa hivi mimi hapana Kwa kweli, hata kama ana kipaji kiasi gani.
 
Ivi nyie matakataka hamuyiogopi Chelsea?!
Hivi nyie livakuku muna mupango gani musimu huu?!
We takataka Jana mmefanya yule mbwa wenu amezimia
Hiyo timu ni Bure kabisa, timu linachapwa dakika za mwisho
 
Attachments

  • JamiiForums2002144580.jpeg
    JamiiForums2002144580.jpeg
    24.1 KB · Views: 9
Milner ana bahati ajabu yaani kwa mpira gani alionao mpaka apate starting berth ugenini UCL lol, haya ni moja ya makosa ambayo sio FSG mbali ni Klopp mwenyewe hua anajiletea like serious 37 out of form, out of ideas, clueless na bado anapata dakika mechi ya mtoano hapo utaona utofauti wa Klopp na Pep... Kipara is scary n brutal but his methods do deliver...

Usishangae Milner tunae sana tu msimu ujao akianza mechi za kurudisha heshima yetu.

YNWA
Umeona msg ya bro usiku?
Anasema Milner tayari ameandaliwa mkataba mpya😭
Kweli uchawi upo😭🙌💔
Hivi Klopp ni mwehu namna hii jamani chaaaa🥺
Klopp has already offered him a new contract, labda Milner mwenyewe akatae (Kama Firmino).

But, Contract offer ipo kwenye table tayari.
 
Lets not make this about Salah, Captain.

Its just a mental block, Klopp cant find a way to beat Madrid, and NO, its not about finding a way to beat Madrid, its about uwezo mdogo wa ku-raise up against Madrid.

Peak LFC team under Klopp, ilishindwa kuifunga Madrid katika majaribio kadhaa, haikuwa suprise kuona LFC hii inayo-struggle now, kufungwa 5 at home.

Its not about Salah, if anything huwa ana-turn up kila tukicheza na Madrid, its just that, Klopp huwa haoni njia nyingine ya kuifunga madrid kwasababu ya UOGA.

When we went 2 up at Anfield, it was right time ya kujaribu ku-see out the game, because as a MANAGER unajua kabisa kuwa your MF haina legs ya ku-sustain counter-pressures/pressing patterns kwa zaidi ya 20 minutes, na imekuwa ni story ya msimu huu, kwahiyo ni kitu kinachojulikana, kwa advantage ya goals 2 dhidi ya Madrid, ilikuwa ni time ya ku-set a mid-deep block, and try to minimize Vinicius's direct balls threat at any cost, but as i expected, Klopp decided to go toe to toe with Madrid, and matokeo yake ndiyo yale.

Its not about Salah, record yetu against Madrid under Klopp, inaongea yenyewe.

We just cant beat Madrid.
Kwa kweli tumeshindwa kabisa kiwafunga.
Kama vile Manchester united wasivyoweza kutufunga.

Mechi ijayo hivi huwa haiwezekani kukubali tu kwamba tumeshindwa hata kabla ya mechi?
 
Nunez was playing na Pain killers.

Tie was already over at Anfield, kilicouwa kinafanyika at SB ni kujaribu kuepusha aibu zaidi, na kwa kiungo cha Milner + Fabinho, tulijitahidi sana kufungwa Moja tu.

Milner started, because hakukuwa na good options kwenye bench, Thiago, Henderson & Keita wote walikuwa injured, Arthur Melo hakuwa registered kwenye CL games. Fabinho, Milner & Ox were the only fit senior MFs, so he hasd to choose between Milner and Ox, chose Milner at LCM, and. played Gakpo at RCM.

Suala la Milner kuanza at Santiago, tulishaliona na kulitabiri few years ago, yote haya yanaangukia katika ubovu wa squad planning, na Klopp's loyality & arrogance.

On the bright side, tuliihitaji sana msimu kama huu, ili iwe good wake-up call kwa Klopp & his staff, pamoja na FSG.
Tulifungwa moja Kwa sababu Madrid walikuwa wanacheza kifather sana, Kwa kurelax,, pia bidii ya Allison kuzuia
Lakini si Kwa sababu ya kiungo hicho Cha Milner na Fabinho
Sijui ndio Kwa vile sijui mpira, ila binafsi Kwa kweli sikuona chochote alichofanya Milner.

Kumbe wengine huwa hawajasajiliwa kucheza Uefa,,
Hivi kwani brother, haiiuwezekana pale kuingiza tu yeyote aliyepo benchi kuliko kukomaa na Milner mwanzo mwisho?
Milner kweli kiungo halafu tunacheza na Madrid? 🤣
 
As LFC fans, kuna trend nimeiona, especially, kwenye big forums zingine, people are undermining sana signing ya Jude (Well, kama akija LFC, maana kwenye football chochote kinaweza kutokea)

Kuna tofauti kubwa sana, kati ya ku-build a team na ku-rebuild a team, vitu viwili hivi vyote siyo vyepesi, but kwa mtazamano wa hapa, kutengeneza team ni rahisi sana kuliko KUTENGENEZA UPYA team, i mean kwenye kutengeneza upya team unakuwa na mtihani wa ku-replace players waliokuletea mafanikio, unakuwa na mtihani wa kurudisha motisha/muamko wa ushindi kwenye dressing room, unakuwa na mtihani wa kurudisha trust/support ya mashabiki tena, tofauti sana na unapotengeneza team, as ile hali na muamko unakuwepo kwa pande zote, players + fans, so inakuwa rahisi sana kupata trust na support kutoka kwa fans na players pia.

Kwenye football, mambo yakiwa yanaenda kombo, siyo mashabiki tu wanaopoteza trust/support na muamko wa kushinda, bali hata players, especially wale wanaojiaona ni wakubwa kwenye team.

Mfano, at LFC, Klopp now amepoteza trust/support kwa baadhi ya fans (its normal), na pia baadhi ya wachezaji wake wapo de-motivated, unaona kabisa kuna baadhi ya players hawana muamko wa ushindi, its like wamekata tamaa na huu msimu, they just want msimu huu uishe, wakati Klopp bado ana matumaini ya top 4 kuna baadhi ya big players washaanza kuwaza kuhusu msimu ujao, they dont care, mfano mdogo tu, kwenye game ya Bournemouth, goal lao lisingefungwa kama VVD angeendelea kutembea na mchezaji aliyetoa pass ya goal kwa Billing, but baada ya kupitwa, VVD decided to stop, wakati angeenda nae, angefanikiwa kupata corner au ku-recover the ball, but he decided to stop bila sababu yeyote, but kama tungekuwa kwenye title race asingesimama kabisa, inaonesha tu hakuna hunger ya ushindi, no matter Klopp atachofanya kama his big player hawapo tayari ku-fight for him au kuwa na belief kama ya kwake, hakuna cha maana kitatokea.

So, re-building a team is so different, kwasababu as a coach, sometimes unakuwa hautaki kupoteza your world class talents, na suala hili huwa linakuja na huge responsibility, maana utahitaji ku-prove kwao kuwa tutaendelea kuwa top, na kuendelea kuwa top ni ku-sign good players.

You see, kwenye modern football, players ndiyo wamekuwa na power now, na hata hivyo, kwenye re-build huwezi kuondoa/kuuza wachezaji wote, ni kwamba unatoa wale ambao wameisha/hawa-perform tena katika ubora wao, na kuweka engines mpya around wale ambao bado unaona wanafaa kuwepo kwenye team, na hapa ndiyo linapokuja suala la. signings kama za Jude, etc.

Unafanya re-build, the whole. football. world. inajua kuwa unatanya re-build, so they are watching, i mean rivals are watching, your own fans are watching, your own players are watching etc, you need to make a statement, statement ambayo ita-lift your world class players and the dressing room, statement ambayo itarudisha imani na belief za fans, statement ambayo itafanya rivals waone upo serious (rivals wenyewe ndiyo hawa City, Utd, Arsenal, Chelsea etc), hapa ndiyo unahitaji BIG SIGNING ya ku-start your re-build, you need a BIG SIGNING ya ku-kick start a new ERA.

Juzi, niliweka, aina ya MFs watakaofaa at Anfield (my opinion), ukiachana na Jude/Caicedo, niliweka pia Manu Kone na Manuel Ugarte, these are 2 good MFs, but huwezi kumshtua Pep au ETH na hizi siginings, they are NOT statement siginings.

Yes, we need profile ya Manu au Ugarte at LFC, but hizi sigings zikija na Jude, itakuwa ni STATEMENT tosha, fear-factor in the football world itakuwepo, believe me.

LFC, ilianza kuwa untouchable baada ya VVD kuja LFC, achana na Mane, Salah etc, hii ndiyo signing ambayo ilitupeleka next level, interms of AURA and FEAR FACTOR, na kwa teams zetu kama hizi ambazo kununua wachezaji wakubwa na kwa big fees ni majaliwa, we need these BIG SIGNINGS, kwaajili ya STATEMENT.

Jude is one of the most thought after. youngster in the game, Man City wants him, Madrid are there kama chance ikitokea, United are there kama chance ikitokea, signing him kama facilitator wa re-build, itakuwq ni huge statement, and trust me, he wont fail at LFC, barring injuries.

Todd Boehly, was once a laughing stock kwenye football world, but now kila Club in europe inajitahidi sana kukwepa bidding war na Chelsea, baada ya kufanikiwa kumtoa Enzo Fernandez at Benfica, LFC were there, United were there, Bayern were there, Madrid were there, but Boehly got him, that was the STATEMENT, sema tu kina Klopp, Guardiola etc wali-relax kidogo, baada ya Potter ku-settle for Graham Potter, ingekuwa ni habari mbaya kama Boehly angebaki na Tuchel, but i think Tuchel's drug abuse got the best of him (he's recovering).

We need Jude, we need Manu, we need Ugarte, we need Caicedo etc, but we need a STATEMENT signing.

Jude, will be a transformative signing.
Yawezekana kijana ni mzuri lakini si Kwa kiwango Cha hiyo hela aisee
Hapana Kwa kweli.
 
He cant be a Captain.

Henderson akiondoka, give it to Alisson.

Virgil, is not a good captain pia.
Definitely Allison deserves th arm band but after hiki kizazi kikiodoka Liverpool hakuna mwingine anastahili zaidi ya dogo Trent amekua na msimu mbaya kama wengine but naamini mbele yake akisimama Jaoa Palhinha dogo atarudi kwenye ubora wake..

VVD is full of praise kwa sasa ana mtihani kwake arejeshe heshima.

Trent cant be a captain, he's not a leader.

I dont like Henderson, but he's a definition of a good leader, same kwa Milner.

Trent, hana guts za ku-back at Thiago, Fabinho or VVD wakipoteza mipira, Trent hana uwezo wa ku-arrange meetings/crisis calls kwenye dressing room.

Katika youngster, tulionao LFC, ni Elliott tu anaweza kuwa leader, Trent is NOT a leader.

Alisson should be a captain kama Henderson akiondoka, na kama tukimsajili Jude, awe second captain, na kuja ku-take over baadae.

But, NOT Trent.
 
Klopp has already offered him a new contract, labda Milner mwenyewe akatae (Kama Firmino).

But, Contract offer ipo kwenye table tayari.
MosDef kindly enlighten me perhaps beside the scene what does Milner offer that we can't go forward without him maana this is crazy prime Milner was deemed surplus to requirement pale Ethad and yet kwetu tunaona kuliko huo mshahara waje damu changa wake tuwapa hawa madogo Kouadio Kone e au Ryan Gravenberch ambao kwa pamoja nina imani ofa ya £70m tunawapata mapema tu.

Kweli huyu Milner ana bahati duniani hakuna maana tazama Modric anavyosukuma ngozi pembeni yupo Camavinga na Kross sasa Milner pembeni yake yupo Henderson ambae ki uwezo wako sawa tu.. Kwa hali hio niseme hata msimu ujao tunsidikiza wengine kwenye mbio za ubingwa kwa kuwang'ang'ania wachezaji waliopita ubora wao miaka mingi na ni muda mrefu hawa jamaa wametembelea nyota ya Fabinho na kwa bahati mbaya baada ya dogo kutumika sana misimu ya nyuma ameanza kuchoka kwa sababu ni yeye tu mwenye kuelewa majukumu yake kulinda back four...

YNWA
 
Saliba is having a good season, but Gabriel Magalhaes has been better than him at Arsenal.

Sven Botman, is having a monstorious season at Newcastle.

And, Overall kwenye defense, Nathan Ake is having a lovely season, though Guardiola anamchezesha mara chache sana at CB, but he's a proper defender.

I'd say for the past 2 seasons, Ruben Dias amekuwa ni best CB in the league, but kwa msimu huu, for me personally, its between Botman & Gabriel.
Oooh unlucky Liverpool unakumbuka January 2021 i guess tukiwa kwenye super crisis baada ya kupata majeruhi back line FSG wakatuletea akina Kabak wakati Klopp alikua anaowahitaji ni akina Sven Botman, Duje Caleta-Car kweli maisha yanakwenda kasi sana maana huyo Botman kumtoa Newcastle watakomaa bei ya ajabu angalau huyu Duje just incase wakishuka daraja ama wakibakia waamue ku cash to invest naona ana adapt vyema EPL japo kwa pale I would prefer his partner Salisu na itakua a proper back line...

Nwa Gabriel since atue Arsenal alionyesha uwezo hata kipindi hawajawa compact but with the way Arsenal are playing with thier LB na RB when under attack they like become MFs to close th spaces and this makes its hard ku wa penetrate and this has worked wonders for Arteta so far.

Pep is full of sill ideas but cool nwa yaani anamtoa Cancelo akiwa ame clock lots of minutes kuliko mchezaji yotote pale Ethad na akasema nenda Bayern kwa kua anae Ake who has switched and delivering without issues.. Ake is a generation talent defence wise, its takes a lot to swith positions and perform better...

VVD is lost hua naona tukifungwo anachotafuta sana sana ni nani amnyooshe kidole duh so bad kama lile goli la Bournemouth the boy just got tired and he couldn't be there to present the cross...

YNWA
 
Tulifungwa moja Kwa sababu Madrid walikuwa wanacheza kifather sana, Kwa kurelax,, pia bidii ya Allison kuzuia
Lakini si Kwa sababu ya kiungo hicho Cha Milner na Fabinho
Sijui ndio Kwa vile sijui mpira, ila binafsi Kwa kweli sikuona chochote alichofanya Milner.

Kumbe wengine huwa hawajasajiliwa kucheza Uefa,,
Hivi kwani brother, haiiuwezekana pale kuingiza tu yeyote aliyepo benchi kuliko kukomaa na Milner mwanzo mwisho?
Milner kweli kiungo halafu tunacheza na Madrid? 🤣

Thats my point, with Milner kwenye our MF, unge-expect Madrid kuwa na easy day, but we were just good kwenye defensive phases.

Madrid are not even that good this season, at Anfield tuli-collapse, kutokana na structure mbovu at the back, kutokuwepo kwa Konate kulifanya tuwe Vulnarable zaidi at the back.

At Santiago, Konate managed to kill/block direct runs karibia zote za Vinicius, na kama Konate angekuwepo at Anfield, Vinicius asingekuwa threat sana kama tulivyoona.

We lost that game at Santiago, baada ya zile subs za Klopp, our defensive structure ilivurugika baada ya zile subs.

Always nimekuwa soft spot kwa Milner, although naombea asi-renew au huwa napenda sana kama angekuwa ameondoka 2-3 years ago, but pamoja na yote hayo, huwa anajitoa anapohitajika, MFs wetu wanaolipwa millions na ambao ni. super talented kila siku wanakuwa out with injuries, Milner (kwa uwezo wake mdogo alionao) did a very good job at Santiago.

Arthur Melo, hakuwa registered kwenye team/squad ya CL.
 
Nunez was playing na Pain killers.

Tie was already over at Anfield, kilicouwa kinafanyika at SB ni kujaribu kuepusha aibu zaidi, na kwa kiungo cha Milner + Fabinho, tulijitahidi sana kufungwa Moja tu.

Milner started, because hakukuwa na good options kwenye bench, Thiago, Henderson & Keita wote walikuwa injured, Arthur Melo hakuwa registered kwenye CL games. Fabinho, Milner & Ox were the only fit senior MFs, so he hasd to choose between Milner and Ox, chose Milner at LCM, and. played Gakpo at RCM.

Suala la Milner kuanza at Santiago, tulishaliona na kulitabiri few years ago, yote haya yanaangukia katika ubovu wa squad planning, na Klopp's loyality & arrogance.

On the bright side, tuliihitaji sana msimu kama huu, ili iwe good wake-up call kwa Klopp & his staff, pamoja na FSG.
I would rather play Jones or Elliott waoje presha playing at Bernabeu which is part of thier development kuliko kumchezesha Milner...

Duu Kieta again majeruhi hivi huyu dogo kweli ana miaka 27 ama alidanganya umri, i feel for him kwa huyu June 2023 ifike asahau hii chapter ya maisha yake maana he is toooo unlucky...

YNWA
 
MosDef kindly enlighten me perhaps beside the scene what does Milner offer that we can't go forward without him maana this is crazy prime Milner was deemed surplus to requirement pale Ethad and yet kwetu tunaona kuliko huo mshahara waje damu changa wake tuwapa hawa madogo Kouadio Kone e au Ryan Gravenberch ambao kwa pamoja nina imani ofa ya £70m tunawapata mapema tu.

Kweli huyu Milner ana bahati duniani hakuna maana tazama Modric anavyosukuma ngozi pembeni yupo Camavinga na Kross sasa Milner pembeni yake yupo Henderson ambae ki uwezo wako sawa tu.. Kwa hali hio niseme hata msimu ujao tunsidikiza wengine kwenye mbio za ubingwa kwa kuwang'ang'ania wachezaji waliopita ubora wao miaka mingi na ni muda mrefu hawa jamaa wametembelea nyota ya Fabinho na kwa bahati mbaya baada ya dogo kutumika sana misimu ya nyuma ameanza kuchoka kwa sababu ni yeye tu mwenye kuelewa majukumu yake kulinda back four...

YNWA

Kuna post yangu hapo juu, nimesema kuwa huwa nakuwa na soft spot na Milner kwasababu ya "utayari" na "leadership skills" alizonazo.

Milner is a leader behind the scenes, ndiyo kiongozi wa wachezaji behind the scenes, he's a "popular" figure kwenye dressing room, Klopp anampenda kwasababu ni good motivational speaker and hard worker.

You know, Klopp huwa ana value zaidi Hard work na loyality kuliko kitu chochote kile, player's attitude ni kitu ambacho Klopp anakithamini zaidi, ndiyo maana ameumia sana kumpoteza Firmino.

But, personally, i think its time to let Milner go, (kama anataka kuendelea kucheza mpira), but kama anaamua. kuachana na mpira, just give him a role kwenye our technical staff.

As a footballer, i think muda wake at LFC umeisha, kama tutakuwa tunafikiria kuendelea kubaki na kina Milner, itakuwa ngumu sana ku-evolve as a team.

Guardiola got rid of his two leaders (Kompany, then Fernandinho), its true kwamba unaona kabisa tatizo la leadership kwenye baadhi ya games za Man City, but you have to take some risks kwaajili ya better future, you have to go extra miles kama unataka ku-evolve as a team.

We dont need Milner & we are well past the need of Henderson kwenye our team.

As long as Thiago & Alisson are in the team, hatuna tatizo kubwa sana la leaders, kuna vitu tuta-miss kwenye sense ya leadership kutoka kwa Hederson & Milner, but tunahitaji. ku-move on as a team.
 
As LFC fans, kuna trend nimeiona, especially, kwenye big forums zingine, people are undermining sana signing ya Jude (Well, kama akija LFC, maana kwenye football chochote kinaweza kutokea)

Kuna tofauti kubwa sana, kati ya ku-build a team na ku-rebuild a team, vitu viwili hivi vyote siyo vyepesi, but kwa mtazamano wa hapa, kutengeneza team ni rahisi sana kuliko KUTENGENEZA UPYA team, i mean kwenye kutengeneza upya team unakuwa na mtihani wa ku-replace players waliokuletea mafanikio, unakuwa na mtihani wa kurudisha motisha/muamko wa ushindi kwenye dressing room, unakuwa na mtihani wa kurudisha trust/support ya mashabiki tena, tofauti sana na unapotengeneza team, as ile hali na muamko unakuwepo kwa pande zote, players + fans, so inakuwa rahisi sana kupata trust na support kutoka kwa fans na players pia.

Kwenye football, mambo yakiwa yanaenda kombo, siyo mashabiki tu wanaopoteza trust/support na muamko wa kushinda, bali hata players, especially wale wanaojiaona ni wakubwa kwenye team.

Mfano, at LFC, Klopp now amepoteza trust/support kwa baadhi ya fans (its normal), na pia baadhi ya wachezaji wake wapo de-motivated, unaona kabisa kuna baadhi ya players hawana muamko wa ushindi, its like wamekata tamaa na huu msimu, they just want msimu huu uishe, wakati Klopp bado ana matumaini ya top 4 kuna baadhi ya big players washaanza kuwaza kuhusu msimu ujao, they dont care, mfano mdogo tu, kwenye game ya Bournemouth, goal lao lisingefungwa kama VVD angeendelea kutembea na mchezaji aliyetoa pass ya goal kwa Billing, but baada ya kupitwa, VVD decided to stop, wakati angeenda nae, angefanikiwa kupata corner au ku-recover the ball, but he decided to stop bila sababu yeyote, but kama tungekuwa kwenye title race asingesimama kabisa, inaonesha tu hakuna hunger ya ushindi, no matter Klopp atachofanya kama his big player hawapo tayari ku-fight for him au kuwa na belief kama ya kwake, hakuna cha maana kitatokea.

So, re-building a team is so different, kwasababu as a coach, sometimes unakuwa hautaki kupoteza your world class talents, na suala hili huwa linakuja na huge responsibility, maana utahitaji ku-prove kwao kuwa tutaendelea kuwa top, na kuendelea kuwa top ni ku-sign good players.

You see, kwenye modern football, players ndiyo wamekuwa na power now, na hata hivyo, kwenye re-build huwezi kuondoa/kuuza wachezaji wote, ni kwamba unatoa wale ambao wameisha/hawa-perform tena katika ubora wao, na kuweka engines mpya around wale ambao bado unaona wanafaa kuwepo kwenye team, na hapa ndiyo linapokuja suala la. signings kama za Jude, etc.

Unafanya re-build, the whole. football. world. inajua kuwa unatanya re-build, so they are watching, i mean rivals are watching, your own fans are watching, your own players are watching etc, you need to make a statement, statement ambayo ita-lift your world class players and the dressing room, statement ambayo itarudisha imani na belief za fans, statement ambayo itafanya rivals waone upo serious (rivals wenyewe ndiyo hawa City, Utd, Arsenal, Chelsea etc), hapa ndiyo unahitaji BIG SIGNING ya ku-start your re-build, you need a BIG SIGNING ya ku-kick start a new ERA.

Juzi, niliweka, aina ya MFs watakaofaa at Anfield (my opinion), ukiachana na Jude/Caicedo, niliweka pia Manu Kone na Manuel Ugarte, these are 2 good MFs, but huwezi kumshtua Pep au ETH na hizi siginings, they are NOT statement siginings.

Yes, we need profile ya Manu au Ugarte at LFC, but hizi sigings zikija na Jude, itakuwa ni STATEMENT tosha, fear-factor in the football world itakuwepo, believe me.

LFC, ilianza kuwa untouchable baada ya VVD kuja LFC, achana na Mane, Salah etc, hii ndiyo signing ambayo ilitupeleka next level, interms of AURA and FEAR FACTOR, na kwa teams zetu kama hizi ambazo kununua wachezaji wakubwa na kwa big fees ni majaliwa, we need these BIG SIGNINGS, kwaajili ya STATEMENT.

Jude is one of the most thought after. youngster in the game, Man City wants him, Madrid are there kama chance ikitokea, United are there kama chance ikitokea, signing him kama facilitator wa re-build, itakuwq ni huge statement, and trust me, he wont fail at LFC, barring injuries.

Todd Boehly, was once a laughing stock kwenye football world, but now kila Club in europe inajitahidi sana kukwepa bidding war na Chelsea, baada ya kufanikiwa kumtoa Enzo Fernandez at Benfica, LFC were there, United were there, Bayern were there, Madrid were there, but Boehly got him, that was the STATEMENT, sema tu kina Klopp, Guardiola etc wali-relax kidogo, baada ya Potter ku-settle for Graham Potter, ingekuwa ni habari mbaya kama Boehly angebaki na Tuchel, but i think Tuchel's drug abuse got the best of him (he's recovering).

We need Jude, we need Manu, we need Ugarte, we need Caicedo etc, but we need a STATEMENT signing.

Jude, will be a transformative signing.
Mkuu hilo la statement I stand with you but kama atakuja mchezaji mmoja tu Jude basi hio statement itakua useless na hilo ndio hofu yangu kwamba kama FSG hawajapata mteja kuuza share kadhaa by June upo uwezekano wakanunua mchezaji mmoja tu ana kusepa zao Boston wakisubiri maajabu mapya ya Klopp. Hofu yangu sio uwezo wa Jude mbali hio bei yake kutoa na kapu la ela liwe empty itakua disaster kwetu ndio maana Jude alone hatakua na uwezo wa kuamsha ile MF yetu ilivyo choka.. Kutokana na hio concern nikasema ni bora regardless ya kutoa statement tukomae kwa angalau wachezaj wawili aidha Caiceido na Nunes ama Kano na Nunes au Gravenberch na Nunes au Nunes na Palhinha ambao sasa MF yetu itakua Palhinha, Fabinho, Nunes wakiwa sapoti na Thiago, Elliott, Henderson...

Antony pale Manchester United was a statement signing believing they have got thier own Salah lakin unaona how the deal has proved costly..

Jude ni kweli ni after sought MF kwa sasa but i fear we don't that leisure to afford him at all cost kama hakuna wawekezaji wapya na pia ukumbuke sio tu MF inahitaji uwekezaji pia pale nyuma panahitaji mabeki wawili RB mmoja na CBR mmoja since Konate can't afford 15 games a season bila issue na Gomez, Matip have dropped scary levels we can't assume lini watakua bora rather then we strengthen..

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom