Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
Ni mwehu pekeyake angeamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ni mwehu pekeyake angeamini hili[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anamtoa NunezView attachment 2556666
Klopp next game vs Real Madrid asimpange huyu dogo, yaani anawazaga revenge kila akiwaona nyeupe nyeupe.
YNWA
Huyu nayeView attachment 2556665
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Wewe haya. We will come back stronger
YNWA
Msimu huu umekuwa wa maumivu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaaaa msimu huu hatuna raha maana ushindi na vipigo havituachi kabisa unakamata pop corn mechi ya Nottingham au Bournemouth ukiamini kadada safi na pointi safi unajikuta unanuna hata kabla ya mechi kuisha kwa kuangalia tunavyohenyeshwa...
Msimu huu uishe tu kwa kweli tu sahau yote lakini sio ule ushindi wa 7 juu aaaa that sooo sweet to be forgotten [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
YNWA
😜😜😜😜Hii soda hivi inakuaga na wanywaji kweli itakua imepata soko sana kipindi hiki cha kuwapiga mahasimu zile 7 juu...Msimu huu umekuwa wa maumivu..
Ile mechi ya juzi iliniliza.
Ah Bobby ile sabajuu ndio kombe letu pekee mwaka huu.
Ukuje tunywe[emoji1787]View attachment 2556784
Dogo ana kipaji cha hali ya juu binafsi namkumbali kwa sababu pia anajua kujilinda vyema sana na majeruhi... Kama sikosei ndio winga anaongoza ksa Ligi zote Ulaya kuchezewa rafu lakini anakomaa na pia akiwa mchezaji anaeongoza kuzomewa na ma racist kwa sababu ya rangi yake.Huyu naye
Brasil iliwashinda,bize kunyoa viduku.
Mechi ya juzi kazi yake ilikuwa kulialia na kudondoka.
Milner ana bahati ajabu yaani kwa mpira gani alionao mpaka apate starting berth ugenini UCL lol, haya ni moja ya makosa ambayo sio FSG mbali ni Klopp mwenyewe hua anajiletea like serious 37 out of form, out of ideas, clueless na bado anapata dakika mechi ya mtoano hapo utaona utofauti wa Klopp na Pep... Kipara is scary n brutal but his methods do deliver...Anamtoa Nunez
Anambakisha Salah
Anamuacha Milner abutue pira mwanzo mwisho
Uchawi upo[emoji119]
Milner mganga wake mkali sana [emoji91]
He cant be a Captain.View attachment 2556647
Huyu ndio Le Kapteni mtarajiwa Liverpool baada ya kizazi cha wale wa over 28 years wakishasepa.
YNWA
Saliba is having a good season, but Gabriel Magalhaes has been better than him at Arsenal.View attachment 2556669
Definitely Saliba is best CB.. Back from exile na kuja kuwaimarisha the Gunners vilehe sure is something else.
YNWA
View attachment 2556666
Klopp next game vs Real Madrid asimpange huyu dogo, yaani anawazaga revenge kila akiwaona nyeupe nyeupe.
YNWA
Milner ana bahati ajabu yaani kwa mpira gani alionao mpaka apate starting berth ugenini UCL lol, haya ni moja ya makosa ambayo sio FSG mbali ni Klopp mwenyewe hua anajiletea like serious 37 out of form, out of ideas, clueless na bado anapata dakika mechi ya mtoano hapo utaona utofauti wa Klopp na Pep... Kipara is scary n brutal but his methods do deliver...
Usishangae Milner tunae sana tu msimu ujao akianza mechi za kurudisha heshima yetu.
YNWA
Bora Jacky Grealish unaona kabisa alikuwa na ubora na takwimu nzuri Tena kaonesha akiwa epl kwa kikosi Cha kawaida na alikuwa ni main man wa Aston villa binafsi na tatizo na Grealish kabisa hata sifa alizokuwa anapewa alistahili labda zinatofautiana kwenye kiwango Cha basi Lakini as individual player Grealish ni mtu na nusu ana. Uwezo wa kutengeneza nafasi nyingi, mzuri kwenye dribbling pia ana uwezo wa kuchezesha team but kwa huyo Jude bellingham ni utumbo kabisa sio mbunifu, sio mkabaji mzuri, sio good scoring hana hata kitu kinachombeba inakuwaje thamani yake iwe paund million 100? Na kilichonikera zaidi wachambuzi wa kiingereza wakawa wanamlinganisha na Enzo Hernandez serious?
Anamtoa Nunez
Anambakisha Salah
Anamuacha Milner abutue pira mwanzo mwisho
Uchawi upo[emoji119]
Milner mganga wake mkali sana [emoji91]
Dah! Ila huyu kocha anaboa ile mbayaTimu bila kocha hakuna timu hapo
Mnapoteza muda
Ubora wa huyo jude ni upi mkuu? Enzo pamoja na dau lake kuwa kubwa lakini ni mchezaji alikuwa Bora kwanza alishinda Tuzo ya mchezaji Bora kijana kwenye kombe la dunia lakini ameonyesha ubora wake na Benfica uefa champions league ndio maana usajili wake ulikuwa ni wakutoa statement niambiwe huyo jude ana nini special usajili wake uwe wakutoa statement?As LFC fans, kuna trend nimeiona, especially, kwenye big forums zingine, people are undermining sana signing ya Jude (Well, kama akija LFC, maana kwenye football chochote kinaweza kutokea)
Kuna tofauti kubwa sana, kati ya ku-build a team na ku-rebuild a team, vitu viwili hivi vyote siyo vyepesi, but kwa mtazamano wa hapa, kutengeneza team ni rahisi sana kuliko KUTENGENEZA UPYA team, i mean kwenye kutengeneza upya team unakuwa na mtihani wa ku-replace players waliokuletea mafanikio, unakuwa na mtihani wa kurudisha motisha/muamko wa ushindi kwenye dressing room, unakuwa na mtihani wa kurudisha trust/support ya mashabiki tena, tofauti sana na unapotengeneza team, as ile hali na muamko unakuwepo kwa pande zote, players + fans, so inakuwa rahisi sana kupata trust na support kutoka kwa fans na players pia.
Kwenye football, mambo yakiwa yanaenda kombo, siyo mashabiki tu wanaopoteza trust/support na muamko wa kushinda, bali hata players, especially wale wanaojiaona ni wakubwa kwenye team.
Mfano, at LFC, Klopp now amepoteza trust/support kwa baadhi ya fans (its normal), na pia baadhi ya wachezaji wake wapo de-motivated, unaona kabisa kuna baadhi ya players hawana muamko wa ushindi, its like wamekata tamaa na huu msimu, they just want msimu huu uishe, wakati Klopp bado ana matumaini ya top 4 kuna baadhi ya big players washaanza kuwaza kuhusu msimu ujao, they dont care, mfano mdogo tu, kwenye game ya Bournemouth, goal lao lisingefungwa kama VVD angeendelea kutembea na mchezaji aliyetoa pass ya goal kwa Billing, but baada ya kupitwa, VVD decided to stop, wakati angeenda nae, angefanikiwa kupata corner au ku-recover the ball, but he decided to stop bila sababu yeyote, but kama tungekuwa kwenye title race asingesimama kabisa, inaonesha tu hakuna hunger ya ushindi, no matter Klopp atachofanya kama his big player hawapo tayari ku-fight for him au kuwa na belief kama ya kwake, hakuna cha maana kitatokea.
So, re-building a team is so different, kwasababu as a coach, sometimes unakuwa hautaki kupoteza your world class talents, na suala hili huwa linakuja na huge responsibility, maana utahitaji ku-prove kwao kuwa tutaendelea kuwa top, na kuendelea kuwa top ni ku-sign good players.
You see, kwenye modern football, players ndiyo wamekuwa na power now, na hata hivyo, kwenye re-build huwezi kuondoa/kuuza wachezaji wote, ni kwamba unatoa wale ambao wameisha/hawa-perform tena katika ubora wao, na kuweka engines mpya around wale ambao bado unaona wanafaa kuwepo kwenye team, na hapa ndiyo linapokuja suala la. signings kama za Jude, etc.
Unafanya re-build, the whole. football. world. inajua kuwa unatanya re-build, so they are watching, i mean rivals are watching, your own fans are watching, your own players are watching etc, you need to make a statement, statement ambayo ita-lift your world class players and the dressing room, statement ambayo itarudisha imani na belief za fans, statement ambayo itafanya rivals waone upo serious (rivals wenyewe ndiyo hawa City, Utd, Arsenal, Chelsea etc), hapa ndiyo unahitaji BIG SIGNING ya ku-start your re-build, you need a BIG SIGNING ya ku-kick start a new ERA.
Juzi, niliweka, aina ya MFs watakaofaa at Anfield (my opinion), ukiachana na Jude/Caicedo, niliweka pia Manu Kone na Manuel Ugarte, these are 2 good MFs, but huwezi kumshtua Pep au ETH na hizi siginings, they are NOT statement siginings.
Yes, we need profile ya Manu au Ugarte at LFC, but hizi sigings zikija na Jude, itakuwa ni STATEMENT tosha, fear-factor in the football world itakuwepo, believe me.
LFC, ilianza kuwa untouchable baada ya VVD kuja LFC, achana na Mane, Salah etc, hii ndiyo signing ambayo ilitupeleka next level, interms of AURA and FEAR FACTOR, na kwa teams zetu kama hizi ambazo kununua wachezaji wakubwa na kwa big fees ni majaliwa, we need these BIG SIGNINGS, kwaajili ya STATEMENT.
Jude is one of the most thought after. youngster in the game, Man City wants him, Madrid are there kama chance ikitokea, United are there kama chance ikitokea, signing him kama facilitator wa re-build, itakuwq ni huge statement, and trust me, he wont fail at LFC, barring injuries.
Todd Boehly, was once a laughing stock kwenye football world, but now kila Club in europe inajitahidi sana kukwepa bidding war na Chelsea, baada ya kufanikiwa kumtoa Enzo Fernandez at Benfica, LFC were there, United were there, Bayern were there, Madrid were there, but Boehly got him, that was the STATEMENT, sema tu kina Klopp, Guardiola etc wali-relax kidogo, baada ya Potter ku-settle for Graham Potter, ingekuwa ni habari mbaya kama Boehly angebaki na Tuchel, but i think Tuchel's drug abuse got the best of him (he's recovering).
We need Jude, we need Manu, we need Ugarte, we need Caicedo etc, but we need a STATEMENT signing.
Jude, will be a transformative signing.
Enzo by far much better compare with jude, Enzo ni midfielder ambaye anakupa vitu vingi na kupitia uwezo wake aliyonao ana uwezo wakucheza nafasi nyingi, ana uwezo wa kucheza kama kiungo mkabaji no 6 na 8, beki wa Kati na kiungo mshambuliaji. Enzo ni fundi wa pass ndani ya Muda mfupi pale chelsea ana assist 2 Tena anacheza no 6, ameweka record kuwa mchezaji wa Chelsea aliyefanya interceptions nyingi ndani ya mechi Moja, kapiga key pass nyingi na pia mzuri kwenye dribbleJude Bellingham is a better football. player than Jack Grealish.
And, Jude & Enzo Fernandez are 2 different profiles.
And, umeweka hiyo "serious? " as if Enzo Fernandez ni heaven above Jude, au?