Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Manjesta anacheza kwa kubahatisha bahatisha ,huo mpira alikuja nao Conte msimu uliopita ukampeleka had UCL league wachambuz uchwara wakasema na usajili alioufanya msimu huu Basi atagombea EPL , Sasa hivi anajipanga kutimuliwa

EPL haitaki janja janja ,ndio maana manjesta kulambwa 7 hakubahatishwa , Vs Betis ni sababu timu ya kawaida ,ila walishazawadiwa goals 2 na Degea , makosa ambayo Liverpool waliyatumia .
Betis ni timu ya kawaida ambayo Real Madrid ameshindwa kumfunga hata goli moja kwenye mechi yao ya mwisho La League sio?
 
Manjesta anacheza kwa kubahatisha bahatisha ,huo mpira alikuja nao Conte msimu uliopita ukampeleka had UCL league wachambuz uchwara wakasema na usajili alioufanya msimu huu Basi atagombea EPL , Sasa hivi anajipanga kutimuliwa

EPL haitaki janja janja ,ndio maana manjesta kulambwa 7 hakubahatishwa , Vs Betis ni sababu timu ya kawaida ,ila walishazawadiwa goals 2 na Degea , makosa ambayo Liverpool waliyatumia .
Nishasema arsenal mngecheza na Nyie uo mpira wa ujanja ujanja hata msimu mmoja mngekuwa na UCL na ueropa hata moja.

Nyie mpira wenu mzuri umewapa nini miaka yote Iyo

No EPL Cup 18 years
No ueropa for life
No ucl for life

Uo mpira mzuri mnachezea nani hata uefa mna miaka mingapi mjaenda.
Ok tuseme tuachane na yote hayo Kwanini mjacheza uefa miaka yote hiyo.
 
Wazee wa msambwanda mmebanduliwa
JamiiForums-1633379473.jpg
 
Nishasema arsenal mngecheza na Nyie uo mpira wa ujanja ujanja hata msimu mmoja mngekuwa na UCL na ueropa hata moja.

Nyie mpira wenu mzuri umewapa nini miaka yote Iyo

No EPL Cup 18 years
No ueropa for life
No ucl for life

Uo mpira mzuri mnachezea nani hata uefa mna miaka mingapi mjaenda.
Ok tuseme tuachane na yote hayo Kwanini mjacheza uefa miaka yote hiyo.
JamiiForums-1689493570.jpg
 
Sisi tumeanza kutengeneza timu miaka mitatu hii ,Arteta era

Emery alipoleta mpira Kama mnaocheza manjesta hakuchukua muda alitimuliwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom