Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,780
Kama hukula kwenye mechi ya man u usitegemee tena kula kwa livaHawa mbuzi kila siku kutuchania mikeka tu


Kama hukula kwenye mechi ya man u usitegemee tena kula kwa livaHawa mbuzi kila siku kutuchania mikeka tu


Sasa ndiyo mmvalishe gauni?View attachment 2539280
Huyu ana kiti cha kudumu pale Liverpool Hall Of Fame.
Legend King Salah aka The Last Pharaoh.
YNWA
Hahaha walisema wamerudi haha
Ukiona mgonjwa aliyekuwa anakaribia kufa kala vizuri na kuongea sana ujue anawaaga.
Vipi majogoo, tunafukia au tunakunywa supu?
Interesting...10 step forward 5 step behind.
YNWA
Hahahaha kwa Liverpool hii ndugu ni ushauri rahisi..enjoy while you can kwa kua we ain't out of the woods yet.. Wachezaji ni wale wale mara wanaelewa mwalimu anataka nini mara hawaelewi hivyo tupo tupo ndugu.Mlivyo tuchabanga man u goal 7 mkajua mmeanza ligi kiko wapi Sasa kazi kutukamia Manchester tu.
Safi sana Bournemouth mmetuliza kelele zq hawa liverkenge.
Man utd ni mbovu sawa,Ila kila inayofungwa na utd ni mbovu zaidi sindio?Liverpool msimu huu wabovu
Manjesta ni timu mbovu inayofichwa na form uchwara
Kaangalie mech na Real Betis ,manjesta alifanya makosa mengi Sana kiasi kwamba ukazuka mjadala mkali wa Degea ,ila kwakuwa walikutana na timu ya kawaida ,utaambiwa manjesta wapo vzr
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ukiona mgonjwa aliyekuwa anakaribia kufa kala vizuri na kuongea sana ujue anawaaga.
Vipi majogoo, tunafukia au tunakunywa supu?
Manjesta anacheza kwa kubahatisha bahatisha ,huo mpira alikuja nao Conte msimu uliopita ukampeleka had UCL league wachambuz uchwara wakasema na usajili alioufanya msimu huu Basi atagombea EPL , Sasa hivi anajipanga kutimuliwaMan utd ni mbovu sawa,Ila kila inayofungwa na utd ni mbovu zaidi sindio?
😂😂😂Sio gauni inaitwa 'Royal Mantle'Sasa ndiyo mmvalishe gauni?