Financial Analyst
JF-Expert Member
- Nov 27, 2017
- 1,936
- 3,941
Kama mlivyokuww hapaSisi tupo na hiiView attachment 2544595
Kama mlivyokuww hapaSisi tupo na hiiView attachment 2544595
Tuwakumbushe tu vizuri bata FC nyie ni kina naniSisi tupo na hiiView attachment 2544595
Sisi tunabeba UEFA,hatutaki kupoteza mudaKweli Chugha man umeishiwa yaaani mpaka unafurahia ushindi wa penati hahaha.
Haya sogea sogea kwenye EPL msimamo angalau upate kushiriki Conference League.
YNWA
Hii kipigo ya Livakuku ilikuwa ni 7-2 hii yenu ni 7-0 yani saba kwa nunge 😀😀😀😀 hehehe unaelewa maana ya nunge wewe?!Kama mlivyokuww hapaView attachment 2544597
Sawa nakutakia ushindi kusonga mbele ndugu...Sisi tunabeba UEFA,hatutaki kupoteza muda

#LFC
Klopp also confirmed that “Luis Diaz will train next week”.Atakuwa haelewiHii kipigo ya Livakuku ilikuwa ni 7-2 hii yenu ni 7-0 yani saba kwa nungehehehe unaelewa maana ya nunge wewe?!

Wazee wa gengeniTuwakumbushe tu vizuri bata FC nyie ni kina naniView attachment 2544600
Klopp kaisha jiaminisha kwa Henderson hvyo nahc tutakua nae kwenye first eleven leo![]()
Bora kaanza kuelewa somoView attachment 2546032
No Henderson