Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ni ukweli, ila ukiangalia kwa umakini uwekezaji wa klop ni ule wa kuwekeza leo kisha unahitaji miaka mitatu au minne mbele kushinda kombe mara moja kisha uanze kuwekeza tena maana anaonunua mpaka wakae vizuri ni miaka minne hapo umri tayari

Cc Nunez na Gapco
Ndio maana nasema sapoti ya sokoni Klopp apewe na atakua moto ksa sababu proven winners ambao hawa hitaji muda kuja kushinda makombe wata command wages kubwa sana na pia bei itakua ishu kingine hao proven winners wengi umri umesgoea kitu ambacho unaona hata sasa kinatugharimu kwa Thiago ...

Kwa mfano leo hii Klopp akimtaka Mateo Kovacic atampata kwa bei nafuu fulani lakini akija kwenye wage lazima akomae alipwe sababu anajua umri umekwenda na hii mikataba inaedelea kuadimika kwake.. Ila tazama huyo Kovacic akicheza na Caiceido dogo atapata uzoefu kutoka kwa Kovacic hivyo by the time Kovacic asepe zake Liverpool dogo Caiceido anakua ameshakua levo zingine.

We need to spice up old n young boys ili tupate complete package.

YNWA
 
Sasa sisi hatupo kwenye category yoyote katika hizo
Hatupo kwenye uwekezaji wa kimkakati wala uwekezaji ili mradi .


Yaani kabisa mtu na utimamu wake anasafiri na hii timu?
LoL siwezi hata ningepewa ofa .

Sent using Jamii Forums mobile app
Baba Swalehe ebu mpige ofa huyu Miss Liverpool aje kuitazama mechi Liverpool vs Real Madrid.

YNWA
 
Hapa ndipo huwa nachoka zaidi.

Huyu Baba sijui anavutaga bangi za wapi

Niende zangu uzi wa picha nikatoe stress.
Huu uzi unanizidishia presha tu
Poor Klopp

Sent using Jamii Forums mobile app
👋 👋 Wape huko kwa sasa huku kuna hitaji uwe na roho ya paka maana muda wowote tutakuja kuchezea mvua wewe subiri tu kwa hii combination ya Matip na Gomez ni kama kukalia bomb muda wowote ukisimama linalipuka.

YNWA
 
Bond. James Bond
IMG_20230206_120544.jpg
 
Manchester City have been charged by the Premier League for numerous breaches of financial rules, reports @martynziegler.

Possible Man City sanctions:

  • Points deduction(s)
  • Expulsion from the league
  • Trophies rescinded
  • European ban
  • Transfer ban
  • Hefty fine(s)

| Manchester City will not have PL titles stripped from them for the period relating to the financial breach.
1b85e19b-1d68-43b6-bcfe-df952c3cb36f.jpg
 

I too stand with Klopp.
Moja ya jambo bora FSG wanaweza kutuachia ni Jurgen Norbet Klopp. It is his time break seven years curse as he did to the final under LFC.

Best of luck Jurgen even though you hurt us with your decision to keep injury prone in your squad, inequality and aging players as well.
 

I too stand with Klopp.
Moja ya jambo bora FSG wanaweza kutuachia ni Jurgen Norbet Klopp. It is his time break seven years curse as he did to the final under LFC.

Best of luck Jurgen even though you hurt us with your decision to keep injury prone in your squad, inequality and aging players as well.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom