Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ˜‚πŸ˜­πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Screenshot_20230205_204144.jpg

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Chugga man. Darajani naona mna Messi kumbe.

YNWA
 
View attachment 2507579

Klopp atakua anatolea mfano hawa jamaa kwamba pamoja na uwekezaji wao bado wana hali tete sana uwanjani ...

Kila mmoja ashinde mechi zake hakuna kingine. Mahesabu jioni Mei sio mbali sana.

YNWA
Its not an excuse, chelsea bila ku spend isingekua kama ilivyo before 2005, hata ile uefa yao ya 2021 ni kutokana na kuspend sana
 
Klabuni wachezaji senior pale wakubaki ni Allison
VVD(msimu miwili)
Robertson(msimu mmoja) ,
Trent,
Nunez,
Salah(msimu mmoja),
Diaz,
Jota,
Konate,
Fabinho(msimu mmoja)
Tsimikas (msimu miwili)

Tukumbushane tu pia kununua sana sio kwamba ndio mafanikio uwanjani otherwise ingekua rahisi hivyo Chelsea angekua anaongoza ligi na Nottingham forest wangekua nafasi za juu sana. Hivyo wanahitajika pia wachezaji wa zamani wanaoelwa mfumo ili kuwakaribisha wapya.

YNWA
Kwahiyo kwa sababu Chelsea wamenunua sana na bado hawajafanikiwa,iwe sababu ya sisi kutonunua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its not an excuse, chelsea bila ku spend isingekua kama ilivyo before 2005, hata ile uefa yao ya 2021 ni kutokana na kuspend sana
Upo sahihi uwekezaji klabuni lazima lakini uwepo lakini iwe smart investment ndio maana binafsi nakomaa na Klopp kwa kua jamaa ana jicho la vipaji japo itabidi awe makini zaidi kuepukana ja wachezaji design kama Konate, Melo na Thiago ambao rekodi zao za majeruhi zinafahamika hata kabla hawajaja Liverpool. Mara chache sana huko sokoni Klopp ameharibu sina hakika chini yake kuna flop wanaofika 6 tangu ametua Liverpool.

Kuwekeza ili mradi kuwekeza na bila kushinda makombe kuna madhara yake kuwaulize Barcelona wana hali gani utaelwa. Nina imani Klopp akipewa sapoti sahihi atakua moto sana EPL na kwingineko.

YNWA
 
Kwahiyo kwa sababu Chelsea wamenunua sana na bado hawajafanikiwa,iwe sababu ya sisi kutonunua?

Sent using Jamii Forums mobile app
πŸ˜‚ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Hapana simaanishi hilo mbali namaanisha kuwe uwekezaji wa kimkakati ili kuedana na mahitaji, kipato na vision ya klabu maana kwa sasa ni ngumu kuamini unachokiona uwanjani kama hawa ndio wale wale huitwa consistent monsters ama ni wengine maana hatuna identity hatuna mishe tumepoa sanaa.

Nawaonea huruma mashabiki wanaosafiri na klabu kwenda kutazama mechi huku wakidhani leo tunapidua meza kibabe kumbe ni kipigo naamini nao watapoa tu aisee.

Ushauri wangu ni kuamini tutamaliza nafasi ya 10 endapo watasogea juu zaidi basi itakua ni mafanikio kwa sababu kwa hali tulionayo hatustahili kua nafasi nyingine zaidi ya hii 10.

YNWA
 
Aendelee tu kujitoa ufahamu na wakati ukweli anaujua

Sent using Jamii Forums mobile app
Screenshot_20230203_190557_com.huawei.intelligent_edit_103211663517583.jpg

Nyie haya wakati tunaona wachezaji wameelemewa na kasi ya Ligi mwenzenu Klopp anaona mengine kabisa.

Huyu mzee aanze kuvaa miwani hakuna namna aone mambo yalivyo in black n white sio hizi bla bla zake za kila siku.

Alihojiwa Conte akasema kikosi alichonacho pale Spurs ni cha kupambania nafasi ya 17 ama kutoshuka daraja hivyo kupambania ubingwa hio ndoto kwao hivyo mashabiki na wamiliki wawe realistic waache kudai impossibles..

Klopp akiri kikosi chake kilichompa mafanikio kimepita muda wake na kinahitaji kufumuliwa ili sasa ajenge upya nguvu ya pamoja ya kuingia vitani lakini Klopp being Klopp he is too nice kwa FSG kusema ukweli matokeo yake sasa na maswali ya waandisha wa habari anawakwepa kama jana kagoma kujibu swali la James Pearce haha Klopp utaelewa tu.

YNWA
 
Hapana simaanishi hilo mbali namaanisha kuwe uwekezaji wa kimkakati ili kuedana na mahitaji, kipato na vision ya klabu maana kwa sasa ni ngumu kuamini unachokiona uwanjani kama hawa ndio wale wale huitwa consistent monsters ama ni wengine maana hatuna identity hatuna mishe tumepoa sanaa.

Nawaonea huruma mashabiki wanaosafiri na klabu kwenda kutazama mechi huku wakidhani leo tunapidua meza kibabe kumbe ni kipigo naamini nao watapoa tu aisee.

Ushauri wangu ni kuamini tutamaliza nafasi ya 10 endapo watasogea juu zaidi basi itakua ni mafanikio kwa sababu kwa hali tulionayo hatustahili kua nafasi nyingine zaidi ya hii 10.

YNWA
Sasa sisi hatupo kwenye category yoyote katika hizo
Hatupo kwenye uwekezaji wa kimkakati wala uwekezaji ili mradi .

Yaani kabisa mtu na utimamu wake anasafiri na hii timu?
LoL siwezi hata ningepewa ofa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2507706

Nyie haya wakati tunaona wachezaji wameelemewa na kasi ya Ligi mwenzenu Klopp anaona mengine kabisa.

Huyu mzee aanze kuvaa miwani hakuna namna aone mambo yalivyo in black n white sio hizi bla bla zake za kila siku.

Alihojiwa Conte akasema kikosi alichonacho pale Spurs ni cha kupambania nafasi ya 17 ama kutoshuka daraja hivyo kupambania ubingwa hio ndoto kwao hivyo mashabiki na wamiliki wawe realistic waache kudai impossibles..

Klopp akiri kikosi chake kilichompa mafanikio kimepita muda wake na kinahitaji kufumuliwa ili sasa ajenge upya nguvu ya pamoja ya kuingia vitani lakini Klopp being Klopp he is too nice kwa FSG kusema ukweli matokeo yake sasa na maswali ya waandisha wa habari anawakwepa kama jana kagoma kujibu swali la James Pearce haha Klopp utaelewa tu.

YNWA
Hapa ndipo huwa nachoka zaidi.

Huyu Baba sijui anavutaga bangi za wapi

Niende zangu uzi wa picha nikatoe stress.
Huu uzi unanizidishia presha tu
Poor Klopp

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upo sahihi uwekezaji klabuni lazima lakini uwepo lakini iwe smart investment ndio maana binafsi nakomaa na Klopp kwa kua jamaa ana jicho la vipaji japo itabidi awe makini zaidi kuepukana ja wachezaji design kama Konate, Melo na Thiago ambao rekodi zao za majeruhi zinafahamika hata kabla hawajaja Liverpool. Mara chache sana huko sokoni Klopp ameharibu sina hakika chini yake kuna flop wanaofika 6 tangu ametua Liverpool.

Kuwekeza ili mradi kuwekeza na bila kushinda makombe kuna madhara yake kuwaulize Barcelona wana hali gani utaelwa. Nina imani Klopp akipewa sapoti sahihi atakua moto sana EPL na kwingineko.

YNWA
Ni ukweli, ila ukiangalia kwa umakini uwekezaji wa klop ni ule wa kuwekeza leo kisha unahitaji miaka mitatu au minne mbele kushinda kombe mara moja kisha uanze kuwekeza tena maana anaonunua mpaka wakae vizuri ni miaka minne hapo umri tayari

Cc Nunez na Gapco
 
Kocha la mchongo Klopinyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom