Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp namwamini lakini tuwe realistic kwa hali hii ya wachezaji hatuna uwezo huo wa big 4 labda wapone Arthur, Jota, Diaz, Firmino na walete nguvu na ari mpya kikosini lakini kama mambo ni haya haya ya kwenda kutazama mechi tukijua ni kipigo basi Klopp akumbali yaishe mapema kwamba mashabiki tusiwe na ndoto ya big 4.

Kumwamini Klopp sawa je wachezaji wanaaminika sasa kucheza mbinu anazotaka Klopp maana wenyewe ni kama wameshanyanyua mikono kwamba msimu huu wapo wapo kushiriki lakini sio kushindana.

YNWA
Hapa umeongea nini mkuu yani hawa wachezaji usio waamini sio wa Kloop?

Majeruhi walipo na nafasi tuliopo bado havifanani kwamwe timu imepoteza morali jifanyeni hamuoni tu
 
327187747_3826223114325982_136593765466184983_n.png
 
Manchester City haoo muda wowote wanasheria wakichemka basi tutajikuta na kombe la EPL hivi hivi.
Saint Anne unaweza kua bingwa wa "mahakamami" wewe subiri tu uone.. Manchester City wapo kwenye kikaango na EPL kuhusu mambo fulani walidanganya sasa ikidhibitika wamedanganya wanaweza kupokonywa pointi kadhaa ama je kombe la EPL watapokonywa tujikute sie ma 1st runners mara 2 dhidi ya Manchester City tunapewa angalau kombe moja tupoze maumivu ya msimu huu.

Hapo imekaa aje jamaa. Ushindi ni ushindi tu hata kama ni mahakamani

YNWA
unapata ushindi ukiwa umelala
 
unapata ushindi ukiwa umelala
Aisee naona Kipara akiwaacha jamaa wa Ethad maana ikidhibitika kweli walifanya udanganyifu sioni akibakia pale kwa sababu hii ishu inakuja mara ya pili na mara ya kwanza alisema walimhakikishia hakuna makosa yoyote yalitokea ama kukiuka utaratibu na sheria za ligi.

YNWA
 
Hapa umeongea nini mkuu yani hawa wachezaji usio waamini sio wa Kloop?

Majeruhi walipo na nafasi tuliopo bado havifanani kwamwe timu imepoteza morali jifanyeni hamuoni tu
Noted Mkuu.

Mambo ni mengi sana. Morali, momentum, uwezo, fatigue nk hazipo tena klabuni. Namna mambo yatarejea kama zamani only Klopp na wachezaji wanajua nini kifanyike. But one thing i know hatupo compact pale nyuma na hatupo clinical pale mbele kati nako same old same old..

YNWA
 
Ulianzaje kuipenda liverpool FC?

Mimi nilikuwa darasa la 6 , nikanunuliwa jezi ya torres (9) ikawa kwisha habari yangu , hadi now nimemaliza chuo still YNWA.
Nilikuwa naenda kuangalia mechi na bro zangu,walikuwa wanashabikia liver.
Nikawga nampenda sana Gerrard,
Kipindi hicho hata sielewi hata football wala miongozo yake .
Was jus enjoying
 
Mhh inamaana next financial year utaonyesha tena 100M as tranfer fee expenses for the some players? Hakuna Auditing huko ulaya? Then what about due diligence, mfano PSV anasema mwaka huu kwenye mapato yetu tumepokea 45M from liverpool kwa mauzo ya Gakpo then Liverpool nyie mnasema tumelipa 10M for Gakpo au mimi sijakuelewa vyema because naona haileti sense kabisa mkuu.
ni mambo ya uhasibu hayo mkuu, vigumu kuelewa kama hujapitia
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom