Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,220
- 39,854
Hawezi himili mikiki 😂😂
Hawezi himili mikiki 😂😂
Tumekua na seasons mbaya kuliko hii
Mchawi huyu hapa,Tatizo nini jamani ni mdondo au kitu gani mbona jogoo kadhoofika sana siku hizi?
Top 10
Definitely we have been through worse and stil we managed to come back and reclaim lost glory...Tumekua na seasons mbaya kuliko hii
New fans wasiumie Sana I understand them a lot aisee, mafanikio yetu yalivuta lots of new fans
Yalifanya watu wa believe kwenye impossibles I completely understand their frustrations
Liverpool will be strong again than ever mi ntakuwepo kipindi tukiwadumbukiza wolves na Brighton mabao yasiyo na idadi I can't wait to see revenge for them
We will be strong again, at the end of storm there is a golden sky
YNWA
😂😂😂😂atazimia uwajani huyu akupe shinda maana stress zake na hii timu zitamdodosha.Hawezi himili mikiki 😂😂
Madrid nao tia maji kama nyie tu, so usiogope, itoshe kusema mtafunganaTena hiyo tunayocheza na Madrid wala siwezi kujichanganya kutazama wakati matokeo yanajulikana mapema kuwa hatuwawezi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sometimes makes me really wonder a few things about Klopp to the extent that some of decision that arise out of this team really surprise many.I too stand with Klopp.
Moja ya jambo bora FSG wanaweza kutuachia ni Jurgen Norbet Klopp. It is his time break seven years curse as he did to the final under LFC.
Best of luck Jurgen even though you hurt us with your decision to keep injury prone in your squad, inequality and aging players as well.
Hili sekeseke lingewakuta msimu uliopita mbona tungeibuka sisi kidedea.Manchester City haoo muda wowote wanasheria wakichemka basi tutajikuta na kombe la EPL hivi hivi.
Saint Anne unaweza kua bingwa wa "mahakamami" wewe subiri tu uone.. Manchester City wapo kwenye kikaango na EPL kuhusu mambo fulani walidanganya sasa ikidhibitika wamedanganya wanaweza kupokonywa pointi kadhaa ama je kombe la EPL watapokonywa 😂😂😂tujikute sie ma 1st runners mara 2 dhidi ya Manchester City tunapewa angalau kombe moja tupoze maumivu ya msimu huu.
Hapo imekaa aje jamaa. Ushindi ni ushindi tu hata kama ni mahakamani
YNWA
Hawajafikia kiwango Cha ubovu wetuMadrid nao tia maji kama nyie tu, so usiogope, itoshe kusema mtafungana
Huwa nalia😂😂😂😂😂😂atazimia uwajani huyu akupe shinda maana stress zake na hii timu zitamdodosha.
YNWA
Sekeseke la Manchester City linaanza mwaka 2009 mpaka 2018.. Haha hilo la kupokonywa ubingwa ni pagumu bhana just kidding.Hili sekeseke lingewakuta msimu uliopita mbona tungeibuka sisi kidedea.
Msimu huu sidhani.
HeeeSekeseke la Manchester City linaanza mwaka 2009 mpaka 2018.. Haha hilo la kupokonywa ubingwa ni pagumu bhana just kidding.
YNWA

,was too young .Machozi mwee upo super emotional mwaya kwa hali hii machozi yataisha maana utakua na amani mwaka huu August msimu mpya wa EPL maana huu wa sasa sio momentum ikirejea aisee.Huwa nalia😂😂
😂😂😂😂😂Yeah uchunguzi huu sio msimu huu mbali ni kuanzia msimu wa 2009 mpaka msimu wa 2018. Kwa kweli Manchester City wajipange si umeona msimu huu Juventus wamepoknywa pointi na kujikuta nafasi ya 11 na kuna kipindi Juventus hao hao walishushwa daraja kwa kukutwa na hatia.Heee
Tangu 2008?
Sijui hata nilikuwa wapi,was too young still.
Yeah I'm too emotionalMachozi mwee upo super emotional mwaya kwa hali hii machozi yataisha maana utakua na amani mwaka huu August msimu mpya wa EPL maana huu wa sasa sio momentum ikirejea aisee.
YNWA


HeeeYeah uchunguzi huu sio msimu huu mbali ni kuanzia msimu wa 2009 mpaka msimu wa 2018. Kwa kweli Manchester City wajipange si umeona msimu huu Juventus wamepoknywa pointi na kujikuta nafasi ya 11 na kuna kipindi Juventus hao hao walishushwa daraja kwa kukutwa na hatia.
YNWA

Was in Siyo jambo geni hata inter alipewa makombe mawili na mahakama huko ItaliaManchester City haoo muda wowote wanasheria wakichemka basi tutajikuta na kombe la EPL hivi hivi.
Saint Anne unaweza kua bingwa wa "mahakamami" wewe subiri tu uone.. Manchester City wapo kwenye kikaango na EPL kuhusu mambo fulani walidanganya sasa ikidhibitika wamedanganya wanaweza kupokonywa pointi kadhaa ama je kombe la EPL watapokonywatujikute sie ma 1st runners mara 2 dhidi ya Manchester City tunapewa angalau kombe moja tupoze maumivu ya msimu huu.
Hapo imekaa aje jamaa. Ushindi ni ushindi tu hata kama ni mahakamani
YNWA