Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Hii timu ni kikundi cha wahuniNa wewe umeanza kuzungumza Kigalatia humu kumbe??..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii timu ni kikundi cha wahuniNa wewe umeanza kuzungumza Kigalatia humu kumbe??..
Kwani alizaliwa hapo?Liverpool Fans wanamuona Klopp kama ni MUNGU wao na ni kwa sababu tu li timu halina Ambition wala Direction lipo lipo tu.
We are going to speak the same language "Klopp out"Kwa hio ni 7th season syndrome ya Klopp imetua kwa kasi ya 5G.
YNWA
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Nina imani na Klopp mpaka pale tutashuka daraja 😂😂😂
It's just a matter of time, we're going to sing the same song![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nina imani na Klopp mpaka pale tutashuka daraja
YNWA
It's just a matter of time, we're going to sing the same song
Subiri uone..
Next week Everton wamkunje tena nitafurahi sana.
Klaba ya Liverpool kushuka daraja ataanza kushuka yeye kwanza.![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Nina imani na Klopp mpaka pale tutashuka daraja
YNWA
Hahaha hakuna aliezaidi ya Liverpool sio kocha, wachezaji wala wamiliki.Klaba ya Liverpool kushuka daraja ataanza kushuka yeye kwanza.
Kwa hali ilivyo naona kila mechi tutakayocheza tutafungwaNext week Everton wamkunje tena nitafurahi sana.
Mhh inamaana next financial year utaonyesha tena 100M as tranfer fee expenses for the some players? Hakuna Auditing huko ulaya? Then what about due diligence, mfano PSV anasema mwaka huu kwenye mapato yetu tumepokea 45M from liverpool kwa mauzo ya Gakpo then Liverpool nyie mnasema tumelipa 10M for Gakpo au mimi sijakuelewa vyema because naona haileti sense kabisa mkuu.sio kwamba watalipa kwa miaka 8.5 hapana, malipo ni namna walivokubaliana na klabu inayouza, ila wao kwenye vitabu vya uhasibu wanazisambaza hizo data kwenye sheet in a way that itasomeka matumizi ya kumnunua mchezaji husika ji 10m for that financial year....
kwaio ukija kuangalia expenses itaonekana zimetumika 10m, so wana evade ffp kwa style hio, thats why uefa wanataka kulimit urefu wa mkataba uwe 5yrs.....
in simple terms, timu inaweza kuspend 1b in a single season, lkn mikataba ya wachezaji wote atawapa ya miaka 10 (sasa say players wapo 10, na kila mmoja kanunuliwa kwa 100m totaling to 1b),
kihasibu itasomeka umetumia 100m a year only kwenye hizo transfer, kiasi ambacho kinakua within limits za ffp
Wazo lako nani amridhi Klopp akiachia ngazi maana sidhani kama FSG wana ubavu wa kumtimua.Klop sio kocha wa makombe haiwezekani kocha una sacrifice msimu mzima kisa mchezaji mmoja
Ni kocha ambaye yuko radhi atengeneze timu kwa miaka minne ili achukue kombe moja
Ni heri aende tuu ili kama ni timu kudondoka idondoke kabisa wapatikane wamiliki wapya
Thomas Tuchel yupoWazo lako nani amridhi Klopp akiachia ngazi maana sidhani kama FSG wana ubavu wa kumtimua.
Klopp is broken man. Wachezaji aidha hawamwelewi game plan ama kuna mgomo baridi pengine kuna mambo yapo chini ya kapeti hayatuyajui.
YNWA
Hakuna cha chini ya kapeti wala niniWazo lako nani amridhi Klopp akiachia ngazi maana sidhani kama FSG wana ubavu wa kumtimua.
Klopp is broken man. Wachezaji aidha hawamwelewi game plan ama kuna mgomo baridi pengine kuna mambo yapo chini ya kapeti hayatuyajui.
YNWA