Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ishu ni nyingi sana hii klabu
Kwa mfano Salah anaelewa vyema mfungaji bora yupo Manchester City lakini bado utamuona anajaribu kufunga magoli kwenye impossible angle yaaani japo Klopp anamtetea kwamba kukosekana kwa ma comrade wenzie wawili pale mbele Firmino na Mane kumemuadhiri kiasi chake.

YNWA
Mane kuondoka Combo yao ilivurugika.
Salah bila Mane hana nguvu,ndo ukweli huu.

Kwa Ego zao za kijinga wakamuacha aende,haya sasa
Tupigwage tu hivihivi hadi mwisho.
 
Screenshot_2023-02-05-18-57-20-133_com.mobilefootie.wc2010.jpg

Mkishinda match 5 hapa nakuwa shabiki wenu...

Niko paleeeee....
 
Tuchelewe hana pigo za kishamba za kuwaplease mababu
😂 😂 😂 😂 Klopp ni babu anakomaa na ma babu wenzie changamoto sasa eti hakuna kombe ngazi ya klabu hawajashinda hivyo wanajiona ni ma legend pale Kops...

Binafsi kama kweli Klopp ataona amefika mwisho wa kibarua chake Liverpool na akaamua kuachia ngazi basi ningepedelea atue Zidane, proven winner.

Kwa akili za FSG naona kabisa wakikomaa na Pep Lijnders au utaona wanatua kwa Gerrard kwa kua hawa wanapenda makocha watakaowasikiliza wao tu na si vinginevyo.

YNWA
 
Klopp ni babu anakomaa na ma babu wenzie changamoto sasa eti hakuna kombe ngazi ya klabu hawajashinda hivyo wanajiona ni ma legend pale Kops...

Binafsi kama kweli Klopp ataona amefika mwisho wa kibarua chake Liverpool na akaamua kuachia ngazi basi ningepedelea atue Zidane, proven winner.

Kwa akili za FSG naona kabisa wakikomaa na Pep Lijnders au utaona wanatua kwa Gerrard kwa kua hawa wanapenda makocha watakaowasikiliza wao tu na si vinginevyo.

YNWA
Aondoke na FGS wake
Watafute pahala pengine pa kuendekeza ubahili na Klopp kufanya miujiza na ramli

Li Matip Jana limenikera,
Hebu tupia sasa kale ka Selfie ka six pack.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama lukaku wa 90m alimtoa sembuse kina Gomez! Hata wamiliki akili zitawashika kwamba hawafanyi kazi na mr yes man
Hivi ule usajili wa Lukaku ndio ilisemekana haukua na baraka zake.

Gomez na alipewa mkataba mpya. Hii timu japo Committee ya usajili inapata sifa sana kuna baadhi ya maeneo wamefeli vibaya sana kwa mfano mikataba ya wachezaji wenye zaidi ya miaka 29 ilitakiwa wapewe mifupi kama vile miaka miwili na hapo wangeweza ku view performance kila baada ya msimu kuona kama wabaki ama waachiwe.

Huyu Gomez angeshauzwa long time.

YNWA
 
Aondoke na FGS wake
Watafute pahala pengine pa kuendekeza ubahili na Klopp kufanya miujiza na ramli

Li Matip Jana limenikera,
Hebu tupia sasa kale ka Selfie ka six pack.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sina cha 6 pak hii timu imenikodesha sana tangu mechi ya Brentford naona maruerue tu sielewi ujue...

Matip jana ilionekana shingo tu hakuna kingine pale.

Matip, Gomez, Keita, Milner Henderson mpaka sasa ma wakala wao waambiwe wakasake ugali kwingine tu maana tumechoka kuchekwa.

Hii timu ikiwezekana wabaki wageni tu walionunuliwa.
Wengine waondoke.,isipokuwa under 25 kama TAA.

Hebu tuone diet ya liver ilivyofanya maajabu ya weight loss

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu ikiwezekana wabaki wageni tu walionunuliwa.
Wengine waondoke.,isipokuwa under 25 kama TAA.

Hebu tuone diet ya liver ilivyofanya maajabu ya weight loss

Sent using Jamii Forums mobile app
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Klabuni wachezaji senior pale wakubaki ni Allison
VVD(msimu miwili)
Robertson(msimu mmoja) ,
Trent,
Nunez,
Salah(msimu mmoja),
Diaz,
Jota,
Konate,
Fabinho(msimu mmoja)
Tsimikas (msimu miwili)

Tukumbushane tu pia kununua sana sio kwamba ndio mafanikio uwanjani otherwise ingekua rahisi hivyo Chelsea angekua anaongoza ligi na Nottingham forest wangekua nafasi za juu sana. Hivyo wanahitajika pia wachezaji wa zamani wanaoelwa mfumo ili kuwakaribisha wapya.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom