Kabisa, watu wanamlaum tu bure, TAA anahitaji kupumzika ila wao wanalazimisha tuTAA ni bonge la mchezaji kama atacheza Kama midfielders,anajua kupiga pass mbele .....
Southgate alikuwa sahihi kusema TAA hawezi kudefend ,...
ila Leo sijui alikuwa anacheza Namba ngapi...
Ukiaangalia body language ya arnod inasema "nimechoka kucheza nahitaji mapumziko kwanza "....
Southgate kasema ukweli kabisa bora akomae na Trippier au James kuliko Trent sasa Klopp badala aseme dogo amjibu Southgate kwa kuupiga mwingi kuanzia kushambulia na kudefend ndio leo kaharibu kabisa...TAA ni bonge la mchezaji kama atacheza Kama midfielders,anajua kupiga pass mbele .....
Southgate alikuwa sahihi kusema TAA hawezi kudefend ,...
ila Leo sijui alikuwa anacheza Namba ngapi...
Ukiaangalia body language ya arnod inasema "nimechoka kucheza nahitaji mapumziko kwanza "....
KLOOP out...,. Ndio suluhishoIla. Si ndio ule MWAKA WA 7 WA kloop ambao unakuwaga full nuksi. Then Tuchel anachukua mikoba
K
KLOOP out...,. Ndio suluhisho
Ebu tutake radhi ChelseaLiverpool na Chelsea ni mapacha
Ungekuwa ww ungewaweka hao uliowataja? Thubutu yakoAnguko la Klopp ni kama la Legendary Bill Shankly kuwakubatia wazee akiamini hawa wakongwe kua na same old output ya 2017,2018 etc ndio ile ile...
Poor Klopp yupo clueless kabisa how to turn this around...
Hana kifua cha kumuweka a fully fit Henderson, a fully fit Salah au fully fit VVD etc benchi yeye atakomaa nao hata kama nao sasa wanachangia parefu anguko lake.
YNWA
"Eras come to an end"Southgate kasema ukweli kabisa bora akomae na Trippier au James kuliko Trent sasa Klopp badala aseme dogo amjibu Southgate kwa kuupiga mwingi kuanzia kushambulia na kudefend ndio leo kaharibu kabisa...
Haya matatizo anayalea Klopp kuwapa hawa wachezaji hati miliki ya namba.. Wachezaji wafuatao wakiwa wazima lazima Klopp atawapanga tu
VVD sio wa zamani..
Salah sio wa zamani..
Henderson sio wa zamani..
Fabinho sio wa zamani..
Trent sio wa zamani...
Robbo sio wa zamani..
Matip sio wa zamani...
Milner sio wa zamani..
Nk nk
Hao wachezaji wote msimu huu wamenza na kiwango cha kawaida sana na Klopp badala aseme laivu bila chenga utasikia oooh jua lilikua kali sana, au upepo au barafu... Hana kifua cha to call a spade a spade na spoon a spoon...
High intensity football inahitaji damu changa exceptional kua robo tatu ya timu lakini sasa Liverpool hii imejaa wachezaji ambao wana hati miliki ya namba na ambao hata wacheze vipi next gemu wamoooo... Kazi ipo.
YNWA
Hii era haijakaa powa kabisa... Okay tume enjoi kubaki Big four wakati wengine wakitupwa hukooo tangu atue Klopp lakini kwa kushinda Ligi Pendwa ya EPL hakika tumefeli sana. Klopp na FSG aidha ni vipofu ama ni wabishi kusoma trend ya hii ligi. Kwanza ni kuwatazama Manchester City ni vipi wananyakua Epl almost kila miaka miwili once kama sio consecutive jibu ni rahisi tu upana wa kikosi na ubora wa kikosi chenyewe.."Eras come to an end"
Sasa hivi kila ngaliba mnaekutana nae lazima awakekete.
Sadio Mane endelea kushikilia hapohapo mpaka hizi Broiler (kuku tahira) zije kukupigia magoti.
Ungekuwa ww ungewaweka hao uliowataja? Thubutu yako
FSG hawana kifua labda Klopp mwenyewe aseme nimeshindwa. Hawa FSG kwa huyu Klopp ni asset kubwa sana kwao kibiashara ujio wake umepaisha overall value ya Liverpool brand ndani na nje ya uwanja... Sitegemei wao wamtimue unless mapato yashuke sana mashabikii waanze kusema FSG out hapo sasa watamtoa kafara wakati wao ndio kikwazo kushindwa kumpa ela Klopp za usajili wakati sahihi...Sure kilichobakia ni kufukuza kocha...
Tumepatikana msimu huu na ujue sasa ni mechi kila baada ya siku 3 yaani tuwe na subira maana wakati kiwango chetu kipo hovyo sana wenzetu wanapaa hawana utani kabisa....Bado mna hopes na hii team mi nliandika humu
Huu ndo mwisho wa enzi wa klopp na msiwe na expectations zozote nendeni kaangalieni tu mpira ila sio mu expect chochote
Liverpool tumekwisha last season ndo ilikua our highest peak na ilibidi ifanywe re shuffle moja hatari lakini ndo hivyo
No hopes klopp alitubeba now ni mwisho wa Enzi za bwana klopp kabaki kuwa mwanasiasa![]()
"Net spend ya Liverpool dirisha hili haikufika hata £60m"Shinda za hii timu ndugu ni wachezaji kutumika kama ma robot huku timu ina ela za kutosha lakini wala hakuna kununua... Kitambo sana hiki kikosi kilitakiwa kiwe kime evolve kuanzia wachezaji mpaka mfumo..
Mkuu dirisha ngapi za usajili zimepita huyu Babu Klopp akipewa ushauri na pundits kwamba hiki kikosi kimefika mwisho ni wakati sahihi sasa aanze leta damu changa...
Nakumbuka wakati wa usajili ulioisha ma Pundits wa Skysport hua wanasema kila timu inahitaji kuimarisha eneo lipi ili iwe na ushindani.. Kwa Liverpool walisema tunahitaji
Beki wawili(RB n CB)
MF wawili (AM n HAM)
Strika mmoja
Pia wakashauri ni wakati safi Klopp kuwaachie Milner, Kieta na Ox kwa sababu ni failed project ili payroll ipumue na kupisha nafasi kwa wengine especially damu changa below 27yrs...lakini Klopp hakua tayari kusilikiliza hilo suala na Carragher alikomaa sana ishu ya MF.. Dakika za mwisho akaumia Henderson hapo sasa Klopp ndio kwanza akawa mkali hakutaka ataulizwe tena ishu ya usajili MF akisema yeye sio mtu sahihi kujibu swali hilo, matokeo yake wakaanza kutapatapa wakatua Aston Villa kumtaka Luiz haha Steve akakomaa hauzi, wakatua Brighton kwa Caicedo ishu ikawa bei £50m wakasepa, wakatua kwa Tellimans pale Leicester bei ikawa £30m.. Mwishowe haooo Juventus kwa Melo mkopo.. Kimsingi utaona namna gani kulikua na poor planning... Na ukukumbuke Klopp alishajua weakness ya hii timu ni MF ndio maana alitua mapema kwa Tchouameni mazima kabla dogo hajaamua kwenda zake Real Madrid sasa unajiuliza alitegemea muujiza upi kwa hii MF yake isiyoweza kupoza mashambulizi ama kupeleka mashambulizi yaaani ipo ipo matokeo yake defence inakua over worked outrun out muscled tunaishia kuchapika...
Haya ya sasa sio kwa bahati mbaya yapo well documented. Net spend ya Liverpool dirisha hili haikufika hata £60m lakini kwa vile ni timu ya sell to buy hakukua na mchezaji wa kuuza ela kubwa ili Klopp aingie sokoni mazima zaidi ya kusaka mchezaji wa mkopo.
Imagine being Melo unaona gaffer huyooo kwa Milner....
YNWA






Mechi ngumu ni city tu ee!? OkHapo, tough game on paper ni Man City tu.
With Thiago back, and a good rest we should be fine.
Matip & Jota back too, so its looking good.
For the meantime Klopp needs to find a way/kuangalia uwezekano wa kuachana na RCM experiment kwasasa, maybe move to 4231, Thiago+Fabinho in a pivot and Carvalho/Elliot/Firmino as a 10
Against Ajax, we switched to 4231 in the 65th minute, and we managed to play our beautiful football this season.
RCM in a klopp's 433 ni very tricky, especially now we are trying to play with a typical number 9, Salah playing so wide, Trent playing as an inverted RB, ni disaster kwenye ku-defend transitions, as our RCM (Elliot), hana defensive output ya ku-cover line/gap between Salah & Trent. because the kid lacks pace/physicallity, Elliot is special but siyo RCM, ni wide forward au a 10, in Klopp 433, his RCM ahitaji kuwa work-horse/runner na big physical presence, Elliot hana vyote hivi.
Play 4231, october yote, then evaluate/see if its sustainable during the WC, then january jaribu kwa Joao Gomes, tukimpata, revert back to your 433.
Watu hawampendi Keita because of his injury, but he's our best RCM, he lacks pace but ni ana physical presence, good tackler, good hold-up play, transitional merchant, ball carrier etc. attributes alizonazo Keita, ndiyo anazo Thiago, tofauti yao ni passing ability and ball progression, ndiyo they both can play at LCM and RCM kwenye shape yeyote ile ya Klopp, problem kubwa ni kuwa they cant stay fit, though huwa tunamuhitaji Thiago zaidi because of his on-pitch switch-ups, ball retention, controller and most of all LEADERSHIP.
Daily Yanatoa TigoNani hayaogopi majogoo?