ni kweli ila naona tunajificha sana kwenye kichaka cha henderson na milner, maana kuna siku wanakuwa hawapo ila dizaini ni ile ile, tunawaonea aibu fabinho, VVD, Trent, firmino nk, pengine leo tusitoke bila kuruhu goli ama kutanguliwa kabisa kufungwa , liverpool mtu ni Allison pekee ndio mwenye consinstency
LFC imecheza games 8 mpaka sasa, 6 PL games, and 2 CL games.
Katika League, ukiachana na Bournemouth & Everton, game zote 4 (Fulham, Palace, Utd, Newcastle), tuli-concede goals, na katoka hizo games 5, tulishinda moja tu, with 3 draws and 1 loss.
Goal la pili la Fulham ni direct mistake ya Henderson, goal la Palace ni direct mistake ya Henderson, goals za United ni direct mistakes za Henderson, goal la Newcastle ni direct mistake ya Henderson.
At Goodson Park, Coady's goal was rejected by VAR, but Milner was at fault for that goal, Milner ruined the entire team-tone at Napoli, giving away a stupid penalty ndani ya dk 5, tena away at home and proceeded kutoa one of the worst performances kuwahi kutokea kwenye CL games.
You watch these games as a fan, na bado unahisi watu wanajificha kwenye kichaka cha Henderson & Milner?
Football, ni mchezo wa wachezaji 11 kwenye team moja, kila number kwenye uwanja ina-count, kila number kwenye pitch ina-count, huwezi kutegemea wachezaji wengine waendelee kucheza kwa 100% wakati kuna wenzao hawapo kwenye level inayohitajika, how can you blame VVD kwa performance ya Henderson & Milner away at OT? these are senior pros, but wana-make mistakes za kitoto on daily basis, unadhani senior players wenzao wanajisikiaje? unadhani Salah, Fabinho, VVD, Alisson etc walijisikiaje baada ya Milner kugive out a penalty ndani ya dk 5 tu away at Napoli? na ukizingatia performances za milner games zilizopita? na pia wakijua kabisa tumefanya uzembe kwenye transfer window? VVD, Fabinho na Alisson, wote walijotokeza kwenye medias kuongelea suala la good squad depth, achana na VVD & Alisson, Fabinho ambaye anacheza na Henderson & Milner, ali-demand in-direct quality depth kwenye MF, WHY? because Henderson na Milner ni mizigo right now, and they have proved it this season, unahitaji macho tu kuona hili.
And, its sad, na huwa naumia sana kuona, WC class players wanapolaumiwa kwa performances mbovu za wachezaji wengine, Alisson, VVD, Fabinho, Salah, Firmino, Trent, Robertson, Matip, even Gomez (anapata a lot of sticks now), wapo LFC muda mrefu sana na wamekuwa wakiwabeba hawa bums seasons after seasons, wamechoka now, fatigue & anxiety, tumecheza a lot of games last season, missed out on the league & CL katika space ya week, they knew we needed new blood in the team, but the club stood still, mchezaji wetu bora msimu huu mpaka sasa ni Diaz, hii ni new blood, sasa kama this summer tungeongeza 2 new bloods on top of Nunez, tungekuwa wapi? how can you blame players ambao wamejitoa for years for this team?
Unaamini kuwa Henderson deserved that award over Mane? praises za Mane zilikuwa wapi msimu ule? praises za kina VVD, Salah, Firmino, Gini, Alisson, Trent etc zilikuwa wapi msimu ule? tulikuwa tunaambiwa Henderson ni GLUE ya team, team yenye WC talents kama Alisson, VVD, Matip, Trent, Robertson, Fabinho, Gini, Mane, Salah, Firmino etc, now we are struggling, suddenly tunaonekana tunawaonea kina Henderson? si ni GLUE na ni CAPATAIN? kwanini asinge-step up? au tunasubiria FABINHO awe kwenye good form na ku-cover flaws za Henderson ili tuanze kumsifia tena? au kina VVD ku-put their body on the LINE ili ku-cover his mistakes? NO, they are tired now.
Umeangalia game ya AJAX, Thiago came in, and took the game on his shoulder, elevated everybody around him, Fabinho was playing like himself again, it was VVD best game this season so far, Trent was himself again, no SHOUTING, no POINTING FINGERS at your teammates etc, he was LEADING by PLAYING FOOTBALL.
I have been watching Henderson for more than 11 years, and my opinion on him haijawahi ku-change na HAITAKUJA ku-change, he is just a CHANCER, na he was lucky Rogders attempt ya kumuuza Fulham at that time ili-fail, na he was lucky again for being a regular senior BRITISH player at LFC when SG left us, and he was lucky, Fabinho, Gini, Mane, Salah, Firmino, VVD, Matip, Robertson, etc joined LFC.
Klopp changed Gini playing style to cover Henderson flawas, scored 2 goals that took us to CL final, was paid 70k p/w, when he wanted a pay-raise, FSG refused, Klopp gave his ok, and he got booted out of the Club like he was nothing, failed at PSG because alishindwa ku-move on from his 2nd holding MF role aliyokuwa nayo at LFC, Henderson & Milner got extensions, FOR WHAT?