Kwa Nunez nasimama nae until proven otherwise...Huyo Nunez ni famba mkuu...A one touch striker can not play in Klopp's Liverpool 433 system...Ingawa timu yote imepoteana but hata ningekuwa mimi siwezi kumpiga bench Firmino kwa ajili ya huyo Nunez
Kwa Nunez nasimama nae until proven otherwise...
Msaidizi wa Klopp preseason aliulizwa vipi ujio wa Nunez unaleta na kubadailisha mfumo ama ni as usual 4 3 3..msaidizi Pep Lijnders akasema ni muda sasa Liverpool kubadilika kutoka 4 3 3 attacking na kwenda 4 2 3 1 ama 4 1 3 2 ajabu mpaka sasa aidha Klopp haamini wachezaji kutekeleza huu mfumo ama amepagawa na mabeki kua na mwanzo wa msimu mbaya kuliko alivyotegemea...
Lipo wazi hili suala bado maina creators ni RB na LB kwa kukosa MF wabanifu na sasa hao ma LB na RB wenyewe wana hali mbaya idara zote sio kukaba wala klosi wapo kama hawapo...
Klopp is a confused man. Sub ya Milner ni kielelezo tosha.
YNWA
😂 😂 😂 Tukifungwo na Milner akiwa uwanjani hua nakua na amani safi kabisa wala sina presha wala nini.Kama hataki kumuweka benchi Milner. Basi Acha tu tufungwe
Next gemu EPL ni vs Arsenal then vs Manchester City mambo yanakwenda kwa kasi kali sana.Leo midfielders walikuwa nafuu .
Shida ilikuwa defence
Sure kilichobakia ni kufukuza kocha...😂 😂 😂 Tukifungwo na Milner akiwa uwanjani hua nakua na amani safi kabisa wala sina presha wala nini.
Sina high hopes tena na huu msimu kwa haya yanayoedelea sasa sio kwa bahati mbaya. Klopp aliambiwa na ma pundits wakongwe walisema mchana kweupee Liverpool wanahitaji all round MF mmoja ama wawili lakini Klopp mtenda miujiza akadhani ni business as usual sasa he is caught pant down hana pakujificha...
Leo we are lucky sana kupata hii sare on another day tungechapwa hata 7 nyumbani Anfield we have to say thanks Allison...
Klopp sijui anataka ku prove nini na kwa nani kukomaa na Elliott, Milner saga yaaani wana impact ndogo sana towards our course...
Timu hii imechoka sana kukosa benchi la uhakika since 2018 kumefanya hawa wachezaji watumike ama wawe over used kiasi sasa ni kama karibia wote wanacheza kama wapo over 37yrs..tazama Arnold anapoteza mpira badala akimbie mwenyewe a akua pedestrian hii ni ajabu.. Sipati picha kwa Kipara ana Fergie kama huyu dogo hata benchi angeligusa kwa sasa...
Kwenye mpira attitude is everything...
YNWA
Nilikuwa nina mpango wa kununua kin'gamuzi cha canal (uefa) ila bora hiyo hela nikanywe pombe tuI love you liverpool, lakn kwa yanayo endelea sasa sito tazama mechi maana mnanitia aibu.
Bado mna hopes na hii team mi nliandika humu![]()
![]()
Tukifungwo na Milner akiwa uwanjani hua nakua na amani safi kabisa wala sina presha wala nini.
Sina high hopes tena na huu msimu kwa haya yanayoedelea sasa sio kwa bahati mbaya. Klopp aliambiwa na ma pundits wakongwe walisema mchana kweupee Liverpool wanahitaji all round MF mmoja ama wawili lakini Klopp mtenda miujiza akadhani ni business as usual sasa he is caught pant down hana pakujificha...
Leo we are lucky sana kupata hii sare on another day tungechapwa hata 7 nyumbani Anfield we have to say thanks Allison...
Klopp sijui anataka ku prove nini na kwa nani kukomaa na Elliott, Milner saga yaaani wana impact ndogo sana towards our course...
Timu hii imechoka sana kukosa benchi la uhakika since 2018 kumefanya hawa wachezaji watumike ama wawe over used kiasi sasa ni kama karibia wote wanacheza kama wapo over 37yrs..tazama Arnold anapoteza mpira badala akimbie mwenyewe a akua pedestrian hii ni ajabu.. Sipati picha kwa Kipara ana Fergie kama huyu dogo hata benchi angeligusa kwa sasa...
Kwenye mpira attitude is everything...
YNWA

Milner kaja kufanya nini sasa na goal limefungwa kwake klmyKwa Nunez nasimama nae until proven otherwise...
Msaidizi wa Klopp preseason aliulizwa vipi ujio wa Nunez unaleta na kubadailisha mfumo ama ni as usual 4 3 3..msaidizi Pep Lijnders akasema ni muda sasa Liverpool kubadilika kutoka 4 3 3 attacking na kwenda 4 2 3 1 ama 4 1 3 2 ajabu mpaka sasa aidha Klopp haamini wachezaji kutekeleza huu mfumo ama amepagawa na mabeki kua na mwanzo wa msimu mbaya kuliko alivyotegemea...
Lipo wazi hili suala bado maina creators ni RB na LB kwa kukosa MF wabanifu na sasa hao ma LB na RB wenyewe wana hali mbaya idara zote sio kukaba wala klosi wapo kama hawapo...
Klopp is a confused man. Sub ya Milner ni kielelezo tosha.
YNWA
Na pia anawaza record Za magoli ya club so hayupo kitimu ushindi yuko ki individual zaidiSalah anamuota Halland kiatu cha ufungaji bora mpaka anacheza hivi yaaani msimu huu tutaona mengi sanaaaa.
YNWA
Ni muda wa kumuaga enough is enoughIla. Si ndio ule MWAKA WA 7 WA kloop ambao unakuwaga full nuksi. Then Tuchel anachukua mikoba
Anguko la Klopp ni kama la Legendary Bill Shankly kuwakubatia wazee akiamini hawa wakongwe kua na same old output ya 2017,2018 etc ndio ile ile...Milner kaja kufanya nini sasa na goal limefungwa kwake klmy
Ni bora uhonge tuNilikuwa nina mpango wa kununua kin'gamuzi cha canal (uefa) ila bora hiyo hela nikanywe pombe tu

...