Mbimbinho
JF-Expert Member
- Aug 1, 2009
- 8,328
- 7,804
Na mnakufa kweli, nyundo ya pili tayari, hadi mteme ubongoHawa jamaa watatuua...
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Na mnakufa kweli, nyundo ya pili tayari, hadi mteme ubongoHawa jamaa watatuua...
Inatakiwa mpigwe wikiHawa jamaa watatuua...
Ifike muda Klopp avae miwani labda ataona wengine wanachokiona kuhusu Arnold dogo hawezi ku defend kabisa tazama goli la pili anatembea kama yupo mazoezini aisee.Tayari..... tushapigwa.
Trassordddd. Liverpool 0-1 Brighton



Why on the world Brighton hawana goli nne yaaani...
Niliwahi kusema hapa kuwa tunajificha kwenye kichaka cha JM na JH, kumbe kuna kina TAA, VVD na kina fabinho tunawaonea aibu + mbinu za klop zimeshaishaWhy on the world Brighton hawana goli nne yaaani...
Respect kwa timu pinzani imewachukua almost miaka 5 timu nyingi kumjulia Klopp regardless ya msimu huu tutaishia nafasi ya ngapi lakini we are caught pant down... Hatuna njaa hatuna mipango yaaani tumo tumo na tukumbushane ni Anfield hapa.
Klopp ameyataka mwenyewe kila akiambiwa MF ni dead n buried yeye anaona wamo kina Xavi na Inesta Hahaha.
YNWA
Hahahaa Wazee wa unbeaten isingekua Man u wamengukawa na point 24 mpaka sasa.Maisha yanabadilika kwa kwa kasi sanaa yaaaaani Arsenal wana pointi 21 sisi Liverpool tuna pointi 9 jamani kweli never say never...
DullyJr na Aaron Arsenal hongereni sana kwa ma good times huko Emirates mpambane huyu Kipara msimu huu ubingwa aukose maana hii Ligi sasa ataifanya Farmers League...
YNWA