Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Niliwahi kusema hapa kuwa tunajificha kwenye kichaka cha JM na JH, kumbe kuna kina TAA, VVD na kina fabinho tunawaonea aibu + mbinu za klop zimeshaisha
Mkuu hivi umeuona mkataba mpya wa Milner 🤓🤓ni kama vile lazima acheze kila gemu hata kama dakika 3...
Imagine being Nunez kwa benchi ukisubiri kuingia aafu unaona gaffer anasema call Millie this is Millie time yaaani...

Ukweli ni kwamba hii timu zaidi ya Allison wengine bado wapo pre season hatuna mwenye afadhali...

Nwa Klopp anajua mwenyewe wapi anatupeleka sie yetu kununua bado na kulipia vifurushi maana tumeipenda wenyewe....

YNWA
 
Huyo anorld Sasa apelekwe Mido tu aisee. Huku nyuma ameshaamua kupauzA
Ile omission ya timu ya Taifa na tetesi kwamba hayupo kwenye nafasi kwenda kombe la Dunia inazidi kumchanganya na pia ukizingatia kaanza msimu vimbaya ndio kabisa...

Klopp kasema anasimama nae mazima wala hana mpango wa kumwacha benchi afanye recovery wala nini hivyo tuwe na subira hakuna noma.

YNWA
 
Mkuu hivi umeuona mkataba mpya wa Milner ni kama vile lazima acheze kila gemu hata kama dakika 3...
Imagine being Nunez kwa benchi ukisubiri kuingia aafu unaona gaffer anasema call Millie this is Millie time yaaani...

Ukweli ni kwamba hii timu zaidi ya Allison wengine bado wapo pre season hatuna mwenye afadhali...

Nwa Klopp anajua mwenyewe wapi anatupeleka sie yetu kununua bado na kulipia vifurushi maana tumeipenda wenyewe....

YNWA
ila leo tusijesema chachote kuhusu Milner maana tumekandwa mbili akiwa hayupo
 
Kuna watu bado wana imani na Klopp
Huyu Kocha ana roho ngumu sana ukitazama selection ya kikosi na anavyofanya sub ndio utaelewa hiki kinachoedelea Liverpool hata yeye kimemvuruga hana plan B wala plan C....

Individual mistakes zimekua nyingi sana.

Hakuna recovery baada ya kupoteza mipira, hukana urgency, tunakaribisha presha pale nyuma huku mabeki wakiwa nje ya kiwango...

Mtazama Salah anamuwaza zaidi Halland baada ya team work...

Kwa sasa Alisson ndio mchezaji pekee mwenye kujielewa.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom