Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Hahaha Henderson goli la pili kashababisha mwenyewe ule mpira sijui aliwaza yeye ni Pirlo ama namna gani....Poor Liverpool 💔
Dah
Ama kweli wewe ni mbuzi unasema ratiba kupendelea timu,Palace kapigwa na Arsenal akaja kudraw na Liverpool,Fulham kadraw na Liver anaenda kukutana na arsenal...acheni kukariri nyieMkuu watoto hawata kuelewa aisee,wanajua kushinda mechi4 za mwanzo mfululizo ndio tayari wewe ni bingwa .nikiwasikilizaga nacheka sana.
Mimi ubingwa wangu ni baada ya mechi 19 (baada ya round ya kwanza Kuisha) tu, Chelsea msimu uliopita mpaka mechi 12 anaongoza ligi baada ya mechi 19 chali.
Unaweza kuongoza ligi kulingana na ratiba yako (ratiba yako umependelewa kuna baadhi ya timu hujacheza nazo) lakini baada ya mechi 19 itakuwa umeshacheza na kila timu .
Le Caption😂Hahaha Henderson goli la pili kashababisha mwenyewe ule mpira sijui aliwaza yeye ni Pirlo ama namna gani....
YNWA
Origi alikuwa anatuokoa mechi ngumu kwetu kama ya juzi baada ya wengine wote kugonga mwamba.View attachment 2333127
😂😂😂😂😂😂Kabadilishia gear angani haha Klopp bhana kwani si alishasema kafunga biashara huku pengo la MF likionekana sasa mbona anaanza kama anatuma ujumbe kwa ma Yankees haha atulie hivyo hivyo tuone maajabu yake.
Huyo replacement wa Kieta atamtoa soko lipi...
Dirisha baada ya dirisha tunazidi kua weak, tulitoa Gini bila kununua mwingine, tumetoa Origi na Takumi bila kuwa replace sasa haya sasa sio kwa bahati mbaya...
Majeruhi ya Thiago, Matip, Keita sio jambo jipya wanajulikana hawa mili yao ni soft bones
Nwa Klopp knows better vision yake anaujua mwenyewe.
YNWA
Sio kweliGoli nyingi za Salah alizipata kutokana na assist ya Mane.
Hii combination ilikuwa nzuri na ilileta matokeo mazuri... sasahivi imevurugwa Salah amebaki anazunguka na hana nguvu yoyote.
Hata kama hakutoa direct bado alihusika kwa kiasi kikubwa.Sio kweli
Find another striker?? Si mmeshampata Nunez mkuu??Wachezaji waliopo hawana fighting spirit Tena. Na mane aliliona hilo na ndio maana kakimbia. Kama ulimsikiliza interview ya salah juzi ni kuwa anachowaza now ni kuwa mfungaji bora WA muda wote WA Liverpool..... It's not about the team winning anymore.... Na ndio sababu ya kutaka kuongeza mkataba..... It's about him and not the club..... Chambo Milner should not be there msimu huu even keita.. Watu majeruhi kila sekunde but unawabeba WA nini Sasa.
Firminho should have gone and find another striker..... Tutafute watu wapya wenye njaa. Hawa waliopo wameshinda kila kitu wameshiba ndo maana wamebaki kutafuta individuals prize zaidi.
Labda wanachosema ni kweli "Klopp ni bora kwa kutengeneza Timu but RE-BUILD the Team ndio kitu kinamshindaga everytme. Kwa jinsi ligi ya epl ilivyo Sasa kushinda LIGI ni ndoto Sasa hivi. Tutabaki na CL pekee.
🤓🤓🤓🤓Mtoto pendwa wa Klopp yaaani kazi ipo.Le Caption😂
Anatuvusha🤣💔
Hata tupige kelele vipi lakini wapi 😂😂😂🤓🤓🤓🤓Mtoto pendwa wa Klopp yaaani kazi ipo.
YNWA
😂 😂 😂 Hua nacheka sana ishu ya huyu dogo Henderson yaaaaani utasikia wakimsema kwa maneno haya.... What a leader, what a captain, a gentleman man in and out of the field... Hahah ajabu husikii stat zake za pass, magoli nk yaaani duniani bahati ipoooooo.Hata tupige kelele vipi lakini wapi 😂😂😂
Sisi Henderson tunaye hadi mwaka 2027🤣😂😂😂😂😂View attachment 2333744
Aisee... Huku Liverpool bado tunao wachezaji 7 kikosini waliocheza fainali ya UCL mwaka 2018.
Bado wamo hawa hapa
VVD
Salah
Henderson
Milner
Firmino
Robertson
Trent.
Timu imeganda kama barafu haina plan A maana wachezaji ni wale wale mfumo ule ule...
Klopp angemsikiliza Anceloti baada ya Fainali ya mwaka huu UCL naamini angeelewa ilivyo sasa rahisi kukamatika na timu pinzani. Yaaani block Trent na Robbo na hatuna jipya. Nilitegemea sana kuona Klopp akitumia 4 3 2 1 kwa kuja kivingine lakini tumo pale pale na 4 3 3 high intensity na kikosi cha wazee wetu...
Goli la Vinicius lilitokea kwa Robbo na kufungwo upande wa Trent baada ya hapo ni kama sasa kila timu pinzani wanakopi mbinu za babu Carlo Anceloti kutuzima...
Klopp asipojiangalia yatamkuta ya Bill Shankly kuwang'ang'ania wazee huku timu kila kukicha wakitujulia mbinu mpya za kutufunga sababu kweli wanataka kukimbiza lakini mwili hautaki...
Kuanzia VVD, Henderson, Matip, Milner, Thiago hawa wote ni over 30 years na wote wakiwa wazima Klopp humwambiii kitu ataweka wote...
Ni muda rasmi sasa Fabio na Bajetic wapewe nafasi ramsi 1st 11 kwa vile sasa wazee wameonyesha kushindwa kwenda na kasi ya vijana.
YNWA
Atapangwa kuanza mechi zote na hakuna kitu tutafanya😂💔😂 😂 😂 Hua nacheka sana ishu ya huyu dogo Henderson yaaaaani utasikia wakimsema kwa maneno haya.... What a leader, what a captain, a gentleman man in and out of the field... Hahah ajabu husikii stat zake za pass, magoli nk yaaani duniani bahati ipoooooo.
YNWA
Matip wangu jamani🤣View attachment 2333744
Aisee... Huku Liverpool bado tunao wachezaji 7 kikosini waliocheza fainali ya UCL mwaka 2018.
Bado wamo hawa hapa
VVD
Salah
Henderson
Milner
Firmino
Robertson
Trent.
Timu imeganda kama barafu haina plan A maana wachezaji ni wale wale mfumo ule ule...
Klopp angemsikiliza Anceloti baada ya Fainali ya mwaka huu UCL naamini angeelewa ilivyo sasa rahisi kukamatika na timu pinzani. Yaaani block Trent na Robbo na hatuna jipya. Nilitegemea sana kuona Klopp akitumia 4 3 2 1 kwa kuja kivingine lakini tumo pale pale na 4 3 3 high intensity na kikosi cha wazee wetu...
Goli la Vinicius lilitokea kwa Robbo na kufungwo upande wa Trent baada ya hapo ni kama sasa kila timu pinzani wanakopi mbinu za babu Carlo Anceloti kutuzima...
Klopp asipojiangalia yatamkuta ya Bill Shankly kuwang'ang'ania wazee huku timu kila kukicha wakitujulia mbinu mpya za kutufunga sababu kweli wanataka kukimbiza lakini mwili hautaki...
Kuanzia VVD, Henderson, Matip, Milner, Thiago hawa wote ni over 30 years na wote wakiwa wazima Klopp humwambiii kitu ataweka wote...
Ni muda rasmi sasa Fabio na Bajetic wapewe nafasi ramsi 1st 11 kwa vile sasa wazee wameonyesha kushindwa kwenda na kasi ya vijana.
YNWA
Hahaha Matip mwili wake ni pure Japanese biscuits yaaani...Matip wangu jamani🤣
Klopp aendelee kuziba sikio
Au ndio alimpigia Klopp pande kuajiriwa Liverpool 🤣🤣🤣🤣maana binafsi sijawai kuelewa yaaani how mpaka sasa Henderson yupo Liverpool... Ilikua Rodgers amuuze sijui alikwama wapi maana hili balaa lisingekuwepo.Atapangwa kuanza mechi zote na hakuna kitu tutafanya😂💔
Hawa wapo.... Unawaacha Gini na Mane wasepe zao unabakisha wagonjwa hii japo halisemwa kwa sauti ni janga kutoka kwa Edwards na ma Yankees.Sisi Henderson tunaye hadi mwaka 2027🤣😂😂😂😂😂
Babu Milner naye si ajabu atabaki tena