Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
Msimu huu mnatakiwa mfanye expectations zenu ziwe lowHey kops, salam.
Leo usiku tuna sababu kama 4 hivi za kuwatandika united.
1. Kupata ushindi wa kwanza msimu huu wa 2022-20-23.
2. Kurudisha ile winning mentality ya msimu uliopita.
3. Kupunguza gap dhidi ya city ( sio kina Aseno na spurs) maana sio washindani wenzetu. Ref city kadondosha point 1 jana.
4. Kuwapiga united wapinzani wetu kwa Uingereza.
5. Kuwapa furaha wapenzi na washabiki kite duniani.
Chriss Sutton, bbc pundit anasema pamoja na liverpool kuwakosa wachezaji wake bora lakini haoni ni kwa namna gani wataepuka kipigo pale OT. Katabiri game itaisha kwa ushindi mnono wa liverpool wa 5-1.
Mimi natabiri tutapata ushindi wa goals 2-0.
City msimu huu sio mshindani wenu nyie nao mko na kina Chelsea, Spurs na Arsenal ndo watakuwa washindani wenu.
Kwa hii midfield yenu ya kuunga unga na hawa injury prone wenu msimu huu mtajua hamjui na kilicho wafanya muwe na kiburi kushindwa kumuongezea Mane mshahara msimu huu had mkamuuza iyo dhambi itawatafuna mdg mdg.


