Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

City hawana depth but they have quality.

Kama unakikosi quantity over quality, baada ya 3-1 ingekamilika hivyo hivyo.

Napaona St. James Park pakiwa mahali pachungu kwa vigogo.
Kuwapoteza Jesus na Sterling dirisha hili sio jambo ndogo lakini Pep kama Pep anamuiga Klopp mzee wa kupenda kikosi kiduchu, hii itawacost The Citizens...

Au Mansour kagoma kutoa mpunga jamani...

YNWA
 
Kuwapoteza Jesus na Sterling dirisha hili sio jambo ndogo lakini Pep kama Pep anamuiga Klopp mzee wa kupenda kikosi kiduchu, hii itawacost The Citizens...

Au Mansour kagoma kutoa mpunga jamani...

YNWA
Naam Naam Kop. Uwepo wa Jesus na Sterling kulimfanya Pep awe na option kadhaa za kuchange plans zake.

Huenda Pep ameamua kumuiga Klopp kua na kikosi kiduchu , au maboss wamepunguza mpunga. Yote huenda yakawa majibu.

Next anakutana na Viera pale Selhurts bonge moja la mechi, usikose kwenda kuona ufundi panapo majaaliwa.

YNWA
 
Eddie Howe, mtaalamu aliyeachana na kazi ya uhasibu na kugeukia ukocha. Mtaalamu wa mbinu na mpira wa kukimbizana whole 90 mins.
Jamaa toka yupo Bournemouth alikua mgumu bahati mbaya hakua na watu wa kazi.
Leo Foden amewachelewesha.
Foden sijui anatafuta record zake mwenyewe anapiga angle ambazo ni ngumu wakati haaland yupo kwenye position nzuri kabisa .....jana haaland alitakiwa kutoka na goli zaidi ya 2
 
Naam Naam Kop. Uwepo wa Jesus na Sterling kulimfanya Pep awe na option kadhaa za kuchange plans zake.

Huenda Pep ameamua kumuiga Klopp kua na kikosi kiduchu , au maboss wamepunguza mpunga. Yote huenda yakawa majibu.

Next anakutana na Viera pale Selhurts bonge moja la mechi, usikose kwenda kuona ufundi panapo majaaliwa.

YNWA
Viera kani prove wrong aisee wakati anaaridhi mikoba ya Roy nilijua ndio Palace watapoteana kwa kuwa EPL sio mahala pa amateur managers lakini jamaa kaja kivingine wapo vizuri sana.

Pep atakutana na Mansour kesho kutwa pale Nou Camp wana mechi ya kirafiki na Barcelona kwa ajili ya Charity purposes hivyo namuona akijenga hoja apewe ela zaidi asajili.

YNWA
 
Leo ndo tunazindukia kwenu aise lazima bora hafe mtu pale lakini sio mtufunge.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom