Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Diogo Dalot amepewa kisu ameambiwa leo jukumu lake ni moja tu la kumenya Kiazi.
 
Liverpool sasa mtaelewa kwamba mwenye timu alikuwa Sadio Mane.

Japo leo nitapenda mpate sare.
 
Miaka 7 ni mingi, mi naona timu inahitaji challenge mpya, mtu mpya , mawazo mapya.
keita
Thiago
Ox
hawa hata kabla ya kusajiliwa , rekodi zao zilionesha wazi ni injury prone lakini kocha akatoa go ahead wasajiliwe

akaondoa Wijnaldum , Mane ambao wanakupa 90% ya mechi bila replacement sahihi, inabidi aje mtu ambaye hatawaonea aibu hao wamarekani na hao wachezaji wasiostahili kuwa hapo
 
Yani ma forad wafanye kazi ya kushuka kuchukia mipira huku middle zinakula bata-kwa kweli hapana.
 
Miaka 7 ni mingi, mi naona timu inahitaji challenge mpya, mtu mpya , mawazo mapya.
keita
Thiago
Ox
hawa hata kabla ya kusajiliwa , rekodi zao zilionesha wazi ni injury prone lakini kocha akatoa go ahead wasajiliwe

akaondoa Wijnaldum , Mane ambao wanakupa 90% ya mechi bila replacement sahihi, inabidi aje mtu ambaye hatawaonea aibu hao wamarekani na hao wachezaji wasiostahili kuwa hapo
Hahaha Klopp kile kipigo cha Real Madrid naona hakijamuacha salama maana alisema pale pale tukate tiketi za ma good times lakini duh naona kama alikua amepasha kusema yale maneno....

Klopp pride is a major issue... Timu imejaa wazee na meneja anasema hana mpango wa kusajili sababu hajaona mchezaji wa kusajili...

YNWA
 
Huyu ni mpumbavu tumvute Gerrard sasa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom