Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

🤠🤠🤠🤠🤠Mmiliki mpya kazi anayo bila Kante kua fit asilimia 100 acheze na Mateo hawa jamaa watateseka kama sie tu🤣🤣

YNWA
Nilikuwa naona sisi wabovu
Ila inatia moyo kuona zile timu ambazo ni threat kwetu ni wabovu zaidi yetu🤣🤣🤣
I'm very happy indeed😂😂😂
 
Leo ndo tunazindukia kwenu aise lazima bora hafe mtu pale lakini sio mtufunge.
Nani afe!?
Magwaya huyuhuyu ambaye tumemuongeza kwenye 1st eleven yetu??🤣🤣🤣🤣🤣
Hakuna wa kupambana hapo😂
 

Attachments

  • JamiiForums615966786.jpeg
    JamiiForums615966786.jpeg
    28.8 KB · Views: 10
Nani afe!?
Magwaya huyuhuyu ambaye tumemuongeza kwenye 1st eleven yetu??
Hakuna wa kupambana hapo
Mtakatifu Anne Sadio Mane anajipigia zake magoli tu huko, jana kwenye ushindi wa goli 7-0 ametupia mawili yaani mpaka mashabiki wa timu pinzani wanampigia makofi kwa ufundi anaowaonyesha Wajerumani.
Mwamba anaupiga mwingi kwelikweli huko halafu yuko na furaha kinoma aiseeee, yaani ukimuangalia tu jinsi alivyo na bashasha unajua kabisa huyu Mwamba Liverfool walikua wanamtesa.
Screenshot_20220822_150358.jpg
 
Mtakatifu Anne Sadio Mane anajipigia zake magoli tu huko, jana kwenye ushindi wa goli 7-0 ametupia mawili yaani mpaka mashabiki wa timu pinzani wanampigia makofi kwa ufundi anaowaonyesha Wajerumani.
Mwamba anaupiga mwingi kwelikweli huko halafu yuko na furaha kinoma aiseeee, yaani ukimuangalia tu jinsi alivyo na bashasha unajua kabisa huyu Mwamba Liverfool walikua wanamtesa.View attachment 2331376
Niliona hiyo mechi Jana
Japo ligi zao hazina mzuka


Liverpool ni nyumbani,atarudi tu.
Yupo Jota,Yupo Salah Yupo dogo Diaz japo haibadili ukweli kuwa combination ya Salah na Mane ilikuwa moto sana
 
Hey kops, salam.
Leo usiku tuna sababu kama 4 hivi za kuwatandika united.
1. Kupata ushindi wa kwanza msimu huu wa 2022-20-23.
2. Kurudisha ile winning mentality ya msimu uliopita.
3. Kupunguza gap dhidi ya city ( sio kina Aseno na spurs) maana sio washindani wenzetu. Ref city kadondosha point 1 jana.
4. Kuwapiga united wapinzani wetu kwa Uingereza.
5. Kuwapa furaha wapenzi na washabiki kite duniani.

Chriss Sutton, bbc pundit anasema pamoja na liverpool kuwakosa wachezaji wake bora lakini haoni ni kwa namna gani wataepuka kipigo pale OT. Katabiri game itaisha kwa ushindi mnono wa liverpool wa 5-1.
Mimi natabiri tutapata ushindi wa goals 2-0.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom