Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
We lack steam, we lack consistency, we lack identity winning second balls,..
Tumo tumo tu.
YNWA
Tumo tumo tu.
YNWA
Sisi wenyewe hatutaki sareLiverpool sasa mtaelewa kwamba mwenye timu alikuwa Sadio Mane.
Japo leo nitapenda mpate sare.
All in all we lack players all we have is the group of granniesWe lack steam, we lack consistency, we lack identity winning second balls,..
Tumo tumo tu.
YNWA
Mm nashanga karne hii unategemea tikyak ya firmino na mipira ya kubutua ya babu milnerhii timu kwa sasa bado inamtegemea milner firmino kweli?,,,hadi hapo klop namzidi akili kwenye hilo
Simple as ABC... Hawa Manchester United, Arsenal, Chelsea nk hawatapoteana milele... Hii ndio EPL kutesa kwa zamu... Tulikua na bahati kubwa mno tangu 2015 hizo timu zote hazijakaa sawa na Pep na Manchester City kuona hilo hawakufanya makosa wakawekeza vyema kikosini na kushinda makombe ya kutosha, sawa zama zimebadilika Arsenal, Manchester United, Tottenham wamechoka kua punching bag ya the big boys wanataka heshima yao irejee huku Liverpool tukitegemea kwamba ni business as usual haya sasa matokeo ya gemu 3 za mwanzo ndio haya sare 2,kipigo kimoja hakuna alietarajia haya...Huyu ni mpumbavu tumvute Gerrard sasa
Tulieni dawa iwaingie...umekuja Kule jukwaa LA city nikakwambia nyumbu wanafufukia kwenu....hahahahaaa nacheka kwa huzuniSisi wenyewe hatutaki sare
Tunataka tufungwe hata matano.
Wamiliki na Klopp si wanajidai kujitoa ufahamu..wacha tutandikwe sana tu.
Sent from my TECNO CG6 using JamiiForums mobile app
The moment i saw the England bams(Elliott, Henderson na Milner) on the 1st 11 i knew we are in for a shock of August 2022.All in all we lack players all we have is the group of grannies
No imetosha sasa hii timu ibadilike karibia misimu mitano timu inabadilika kidogo tu......ndo maana fainali 3 za uefa tumeshinda 1...mfumo ulele wa kutumia nguvu mno...mwisho wa siku mechi nyingi ushindi karabao na faSimple as ABC... Hawa Manchester United, Arsenal, Chelsea nk hawatapoteana milele... Hii ndio EPL kutesa kwa zamu... Tulikua na bahati kubwa mno tangu 2015 hizo timu zote hazijakaa sawa na Pep na Manchester City kuona hilo hawakufanya makosa wakawekeza vyema kikosini na kushinda makombe ya kutosha, sawa zama zimebadilika Arsenal, Manchester United, Tottenham wamechoka kua punching bag ya the big boys wanataka heshima yao irejee huku Liverpool tukitegemea kwamba ni business as usual haya sasa matokeo ya gemu 3 za mwanzo ndio haya sare 2,kipigo kimoja hakuna alietarajia haya...
Klopp kama Klopp atakupa raha na atakufanya unune yaaani kazi ipo
YNWA
Huyo mchezaji mliyemsajiri mlimwambia mnahitaji msaada gani?Tumesajir mchezaj kwa gharama kubwa aje atusaidie yeye anatusaidia kuwapiga wapinzan wetu vichwa
HV jota vp naye mda sasa simuon uwanjan au naye trip shamba trip garage
Ox na keita hawakutakiwa kuwa mpaka leo wachezaj ambao nusu ya msimu wanauguza majeraha utadhan wanamimba
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Mm mwenyewe nilishindwa kuelewa unamuacha haaland wa bei chee unaenda beba kinda lisilo na uzoefu kwa $ dola almost 100m plus add on's....daaahTumesajir mchezaj kwa gharama kubwa aje atusaidie yeye anatusaidia kuwapiga wapinzan wetu vichwa
HV jota vp naye mda sasa simuon uwanjan au naye trip shamba trip garage
Ox na keita hawakutakiwa kuwa mpaka leo wachezaj ambao nusunya msimu wanauguza majeraha utadhan wanamimba
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Haha Klopp mzee wa kikosi kiduchu yaaani kwa sasa hata Tottenham wana kikosi kipana kuliko Liverpool...No imetosha sasa hii timu ibadilike karibia misimu mitano timu inabadilika kidogo tu......ndo maana fainali 3 za uefa tumeshinda 1...mfumo ulele wa kutumia nguvu mno...mwisho wa siku mechi nyingi ushindi karabao na fa
Hatoweza maana maingereza yanapewa kipaumbele for nothingKlopp mara 1000 awe anawanzisha Elliott& carvalho kuliko Henderson & milner.
Huyo kocha wenu kituko. Huyo Carvalho ameingia anawasha moto.Klopp mara 1000 awe anawanzisha Elliott& carvalho kuliko Henderson & milner.
Tulieni dawa iwaingie...umekuja Kule jukwaa LA city nikakwambia nyumbu wanafufukia kwenu....hahahahaaa nacheka kwa huzuni




Bila wachezaji hii timu inabidi niache kununua kifurushi kudadekiHaha Klopp mzee wa kikosi kiduchu yaaani kwa sasa hata Tottenham wana kikosi kipana kuliko Liverpool...
Tazama umri wa wachezaji tegemezi wa Liverpool utaelewa nini tutegemee msimu huu kama haya majeruhi yanazidi kuedelea kwa kasi hii.
YNWA