Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ngoja kila msimu tufanye catch up game af tuna jifaliji ilibaki kidogo sababu ya ubishi wa klopp na loyalty za kijuaji
Kuna Conte pale spurs hajaja kufeli na hana iyo record mwenzio guadiola kaushtukia mchezo yeye anajiona genius.

Angekua genious leo tusingekua na epl 1
Yeye ni mwamba,anabeba EPL Kimiujiza yaani..
Akina Thiago bila kupumzika watakuja kutengua viuno uwanjani akiyanani
 
Wanachangamoto pia kwenye safu yaya mabeki sisi tunavyosajili mabeki baadhi ya watu wanatuona sisi wajinga
Nyie viungo Wapo , mabeki mpo sahihi kusajiri Maana Koulibaly na Silva Ni over 30 ,

Ila sajirini hata kina Nani bila CF , mtatafuta mchawi

Nimewaangalia toka preseason ,had mech na Everton ,yaani matokeo yenu yatakuwa 0-0,1-0,1-1, au mpigwe nyingi, mkifunga mengi Ni itokee viungo wenu wamefunga .

Everton Kama aliwahenyesha vile , na wasiwasi mech na Spurs Kuna sare, Maana Spurs mviziaji TU , Hadi Sasa sielewi wanaompa ubingwa, au top 4.

Muda utaongea
 
Usikariri maisha kijana team yetu inajisuka ikiwa ndani ya mashindano na kizuri tunapata matokea hata kama tumecheza vibaya tukija kuchanganya utapata aibu
 
Yaani hadi aje afanye kitu sokoni ,City watakuwa washatuacha point nyingi,
Sijui sasa tutamtuma Gerrard akatengue miguu hadi awafunge ili tushinde🤣

Yaleyale ya msimu uliopita.. yaaani tunataka kucompete Kwa miujiza akiyanani LFC ni kibokošŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ™Œ
Klopp ni miracle worker anaishi kwa gambling na MF yake ana kopi kila msimu, tuwe wa kweli EPL taji moja kwa miaka 7 ni aibu kwetu wala tusiseme ni mafanikio tosha unless hawa FSG wawe ni Kroenke wapya kwamba UCL qualification ni ushindi tosha na kocha haulizwi swali lingine as long as tupo big 4.

Kumtoa Gini ilikua janga kubwa kwa kuwaacha Ox na Keita na mpaka sasa sina hakika hata kwa pamoja wanapata gemu alizocheza Gini Liverpool, hii itakupa picha kamili kwamba Klopp alichemka mno kumtoa ever fit Gini na kuleta Thiago na kuwabakisha Keita na Ox.... Thiago ni kama lori la Renault performance sawa ila maintenance yake gharama sana.

Jiulize je pale mbele itakua aje wakiumia kwa mpigo na hua inatokea na ndio hatuna tena sepa Origi, Taikumi.. Kimsingi msimu huu kama hali ya majeruhi ndio hii naona kikosi kimekua finyu mno na mashindano mwaka huu ni mengi sana kwa wale pia wanaokwenda kombe la dunia.

Ndio timu yetu aisee tunaipenda ikiwa na hali yoyote ile. Tumoo sanaaaa.

YNWA
 
Mkuu Kroenke usiwafananishe na fsg ,Kroenke wanatoa pesa Sana TU, Awali walikuwa hawatoi pesa sababu walikuwa hawaimiliki timu 100%,wawekezaji walikuwa kikundi, kulikuwa na kutegeana, baada ya kununua hisa zote 2019,, ndio anahesabika ameanza kuwekeza arsenal na Ndiye Mmiliki was arsenal, Ni kuanzia 2019, wamekuwa wanawekeza Sana tu, hata mishahara wanalipa had 350k,

images (1).jpeg
 
View attachment 2318984
Interesting fact.

Sawa.

Hopefully uwekezaji huu uje na kuingia Big 4 na pengine Ubingwa wa EPL.

Changamoto aliyokutana nayo ,alipoanza kuwekeza baada ya kuwa mmiliki 100%, Kocha alikuwa emery, now kwa Arteta last season walimpa malengo aingie top 6 ,akapewa £150m even hata akiwa wa 6, aka overachieve kuwa 5, wakampiga mkataba, now malengo aingie top 4, had Sasa ametumia £120m ,but Kuna maingizo mawili yanakuja huenda ikafika had £180m had dirisha kufungwa.

So kwasasa toka 2019 Wapo committed na timu 100%, Wenger hakupata hii bahati , Kama Klopp tu, Kuna madirisha yalikuwa yanapita unasajiriwa mchezaji mmoja TU.
 
Ngoja kila msimu tufanye catch up game af tuna jifaliji ilibaki kidogo sababu ya ubishi wa klopp na loyalty za kijuaji
Kuna Conte pale spurs hajaja kufeli na hana iyo record mwenzio guadiola kaushtukia mchezo yeye anajiona genius.

Angekua genious leo tusingekua na epl 1

Huu ndio ukweli Kwa kiburi na ubishi wa Klopp hatuchukui EPL msimu huu kikosi tulichonacho midfielder ni kama tunao wawili tu (Thiago Na Fabinho) hao wengine siwahesabu hawana ubora kusema kweli
 
Klopp ni miracle worker anaishi kwa gambling na MF yake ana kopi kila msimu, tuwe wa kweli EPL taji moja kwa miaka 7 ni aibu kwetu wala tusiseme ni mafanikio tosha unless hawa FSG wawe ni Kroenke wapya kwamba UCL qualification ni ushindi tosha na kocha haulizwi swali lingine as long as tupo big 4.

Kumtoa Gini ilikua janga kubwa kwa kuwaacha Ox na Keita na mpaka sasa sina hakika hata kwa pamoja wanapata gemu alizocheza Gini Liverpool, hii itakupa picha kamili kwamba Klopp alichemka mno kumtoa ever fit Gini na kuleta Thiago na kuwabakisha Keita na Ox.... Thiago ni kama lori la Renault performance sawa ila maintenance yake gharama sana.

Jiulize je pale mbele itakua aje wakiumia kwa mpigo na hua inatokea na ndio hatuna tena sepa Origi, Taikumi.. Kimsingi msimu huu kama hali ya majeruhi ndio hii naona kikosi kimekua finyu mno na mashindano mwaka huu ni mengi sana kwa wale pia wanaokwenda kombe la dunia.

Ndio timu yetu aisee tunaipenda ikiwa na hali yoyote ile. Tumoo sanaaaa.

YNWA
Yes ni ukwel usiotaka kusemwa lakin kwa 7 seasons na epl moja bado klopp anadaiwa sana.

Levels tulizo fika sio za ku moan kila siku kama asernal au man u ye sio genious kias icho na izi nyakat sio enzi za kina furguson ni mpira pesa

Nampenda conte kwa sababu hatak kujibembeleza kwa matajiri,yeye kama huwek mpunga mezani anaondoka hatak kufeli kwenye issue zake kisa we bahili .
 
Liverpool tunatakiwa kum sign huyu Matheus Nunes yupo vzur sana.
Why worry tuna Milner, Henderson, Ox, Keita proven serial winnersšŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚....

Lets get used to this mapema the better otherwise labda Klopp aoteshwe kabla dirisha halijafungwo nini kitatokea kukomaa na hawa wagonjwa...

Hivi ni macho yangu tu ama Fabinho amechuja tangu mwaka ugeuke huu ile consistent haipo tena aidha anazidiwa na kazi pale kati ndio hali halisi...

YNWA
 
Yes ni ukwel usiotaka kusemwa lakin kwa 7 seasons na epl moja bado klopp anadaiwa sana.

Levels tulizo fika sio za ku moan kila siku kama asernal au man u ye sio genious kias icho na izi nyakat sio enzi za kina furguson ni mpira pesa

Nampenda conte kwa sababu hatak kujibembeleza kwa matajiri,yeye kama huwek mpunga mezani anaondoka hatak kufeli kwenye issue zake kisa we bahili .
Nasoma MF mdogo mdogo wanaanza kupona hivyo tetesi ni kwamba hakuna haja ya usajili, Keita atakuwepo Jumatatu vs Eagles, Jones hayupo mbali, Ox ni mpaka October. Thiago sijaona timeline.

Muda unasogea tutaona hali ni vipi kimatokeo.

Conte ame assemble kikosi powa sana wasipopata majeruhi ana kikosi kipana cha kuleta upiklnzani. Kimsingi Big 4 msimu huu itakua kaa la moto sare au kipigo hairuhusiwi.

Thiago wiki 5 nje hapo tegemea baada ya WC ndio atarejea, klopp sturbonnes is going to cost him much, na ndipo watu watakuja 8 season 1 pl tittle hatakua na justification zozote zaidi ya failure
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom