Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Klopp hapangiwi jamaa....Thiago wiki 5 nje hapo tegemea baada ya WC ndio atarejea, klopp sturbonnes is going to cost him much, na ndipo watu watakuja 8 season 1 pl tittle hatakua na justification zozote zaidi ya failure
Nishasema regardless ya sare ugenini Fulham pale kati pamepoa pamepwaya sijui namna gani patachangamshwa na Klopp maana ni wale wale wagonjwa na loss of form.
Muda hua haukwepeshi tutayaona tu mpaka break ya Kombe la Dunia itajulikana niaje.
YNWA



