Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Hili lipo wazi ndugu labda Klopp awe na silaha kutoka academy lakini kama ni hawa wa siku zote hakika haitakua business as usual.JAPO WANA LIVERPOOL WENGI MLINIKEBEHI, ILA NILIWEKA MTAZAMO KISOKA ,
HILI TATIZO NALIONA MBELENI LIKIWATOKEA , SABABU MNA MICHUANO MINGI , KIKOSI KIMOJA
VIUNGO WENU WAMETUMIKA SANA MSIMU ULIOPITA ,MMECHEZA MECH NYINGI SANA
Tazama jana Firmino, Fabinho, Thiago,TAA, Henderson, VVD walikua bossed hawakupata utulivu kwani Fulham walijipanga kushinda second balls zote na kufanya recovery pale kati kabla hatujapanga mashumbulizi.
Ukitazama Liverpool top performers hata umri nao umesogea na hii definitely inapunguza ouput kwa kiwango fulani... Tazama umri wao
Allison ana miaka 29
VVD ana miaka 31
Matip ana miaka 30
Salah ana miaka 30
Firmino ana miaka 30
Milner ana miaka 36
Henderson ana miaka 32
Thiago ana miaka 31
Ox ana miaka 28
Robertson ana miaka 28
Fabinho ana miaka 28
Keita ana miaka 27
Angalau hawa hapa wana umri wa kukimbizana Carabao, FA, UCL, EPL nk
Nunez ana miaka 23
Jota ana miaka 25
TAA ana miaka 23
Diaz ana miaka 25.
Upo uwezekano msimu huu Liverpool ikawa ndio timu yenye wazee wengi kikosi cha kwanza.
Umri kua 30+ kimpira haimanishi ndio kiwango bye bye lakini pale mchezaji ametumika kuanzia 2018 mpaka sasa non stop ku challenge all front lazima deep in form na rhythm zionekane mapema kama hivi na majeruhi ya kwa mara kwa mara.
Liverpool tuna DM mmoja tu Fabinho na sasa ameshaanza kua na small injuries ingekua safi kwa Klopp kutosubiri iwe crisis mapema angefanya jambo sokoni.
YNWA