Kabisa yana mwisho hayo.Sio mbaya mkuu hata nyie mliaso kama sisi kwaiyo kutesa kwa zamu.
Man City jana wametuonesha nini maana ya kuwa na viungo wanyumbulifu, katika goli 4 unaona kuna 2 za viungo,
Henderson ni mnyumbulifu sana. Rejea msimu wa 2013-2014 wakati anacheza kama attacking midfielder.
Yule kocha wao mpya kumbe Ana uwezo mdogo sana , watamfukuza soon.hafiki December huyo.
We muhuni ngap ngap hukoAngalieni Leo tunavyomla Spurs kiutani utani ..sisi ndio Chelsea Bwana ..leo Ni pira soseji tu ..nyie kuku mkae mkao wa kupigwa ..nyie tutawapigia pira kokoto.
#CFC![]()
Mmeshinda ngapiAngalieni Leo tunavyomla Spurs kiutani utani ..sisi ndio Chelsea Bwana ..leo Ni pira soseji tu ..nyie kuku mkae mkao wa kupigwa ..nyie tutawapigia pira kokoto.
#CFC💙💙💙
Kane kaharibu furaha yetu mpuuzi yuleMmeshinda ngapi
Spurs tumempigia pira soseji . Hii liverkuku tutawapigia pira kokoto..
Injinia... soma hukoooo, ngapi ngapi?Angalieni Leo tunavyomla Spurs kiutani utani ..sisi ndio Chelsea Bwana ..leo Ni pira soseji tu ..nyie kuku mkae mkao wa kupigwa ..nyie tutawapigia pira kokoto.
#CFC💙💙💙
Pass 10000000Spurs tumempigia pira soseji . Hii liverkuku tutawapigia pira kokoto..
Umewapa jina zuriMa robot....
Aafu unasikia Klopp anasema Keita apewe mkataba mpya ndio utajua Klopp hua anakufa na tai shingoni.
Kieta, Thiago na Chamberlain ni failed project kabisaaaaa na hawa ndio anguko la Klopp kutoshinda makombe ya nguvu UCL na EPL mfululizo. History ya majeruhi yao hua hawaamini wenyewe mpaka sasa wapo Liverpool duuh duniani bahati ipo.
YNWA
Maroboti



